Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Alinikataza kusuka...eti anapenda mademu wenye vipara
[emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alinikataza kusuka...eti anapenda mademu wenye vipara
Ni wazuri tu mbona[emoji23]Hatupendi kabisa hiyo kauli tunaihusisha na mwanamme asiyetaka kukuhudumia[emoji1787]
Ulikua unapimwa, umeshafeli[emoji23]Niache kufanya kazi halafu kuhudumia kwenyewe Kwa masimango[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mfyuuu zake
Potelea mbali...Hela za kujitafutia mwenyewe tamu unajuaUlikua unapimwa, umeshafeli[emoji23]
Mkuu sio kweli, kuna watu wana degree na wanapost ujinga humu na kuna watu hawana hyo degree na wanapost madini matupu.Jf mods naunga mkono aliyesema degree kiwe kigezo cha kujiunga jf... Juzi kati kuna bnt amefungua uzi namna wats app inavomsumbua..yaaan inakuwa ni HOME OF TABURALASA
Kama umeweza basi ni vizuri, mwanaume wako hatoteseka.....Potelea mbali...Hela za kujitafutia mwenyewe tamu unajua
Mbona kasema walishaachana au haujui kusoma vizuri.I hope bado mko pamoja hamjaachana mkuu
Kitambo sana ilikua hiyo, mwaka 2015 huko, now ana familia yake.Nipigie ilo pande mkuu
😂😂 ndioo😂 Nawewe ni kada
Ccm😂😂 ndioo
ndio
huyo atakua bahiri, anaogopa gharama za kusuka😂😂🙌Alinikataza kusuka...eti anapenda mademu wenye vipara
Fala Sana😂😂😂huyo atakua bahiri, anaogopa gharama za kusuka😂😂🙌
nmechekaa jamani 😂😂😂😂, eti hujui ulikosea wapi dah🙈😅 nilishamsifiaga kuwa akiwa na short hair anapendeza akaniacha sijui nilikosea wap
bora ulimuacha, watu wabahiri wabahiri dawa yao kuwaacha tu 😅Fala Sana😂😂😂
Hahaha bila shaka ulikuwa Mchepuko wake.Mimi aliniambia nisiwe nampigia Simu Usiku kuanzia saa mbili kuendelea [emoji23]