Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Wewe ndo nakutaka ili nikunyanyase,make hutanifokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 



hahahaha niliwah ifanya na mie hyo ya kusafirisha mtu aende for interview mkoa na kulipia had lodge tetete! yaliyonikuta siamin ikama nipo hai had leo dadek! hha!hahaha!pole... mie hata sasa hv niambiwe una 500 hapo nasema sina hata mia!

stry yako imenirudisha kihisia sana mwaka mmoja nyuma dah!tukome tu
 
Kwa kweli hata mimi wivu ni shida,kutaka kuchart kila muda.Napenda kupigiwa simu au kupiga mara nyingi niongee nisikie sauti ya nimpendae.Napenda kupitiliza mpaka naumia mwenzangu asipojali hisia zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwel!! mim hata mia sitatoa tena kwa kwel.. cwez rudia tena huo upuuz nimejifunza kutokana na makosa.. tenda wema uende zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwel!! mim hata mia sitatoa tena kwa kwel.. cwez rudia tena huo upuuz nimejifunza kutokana na makosa.. tenda wema uende zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo wangu ni dhaifu sana.. nimeamua kuwa peke yangu naona ndo nakuwa huru na mwenye aman sana... maana nikiwa na mtu namfikiria sana mpaka nakonda.. sasa na relax acha niitwe tu selfish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi weakness yangu huwa nikiwa kwenye mahusiano namchoka mwanamke baada ya Muda fulani, hii weakness naona itanipeleka pabaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…