Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

Sijali pia asee naona kama sipotezi kitu ata tukiachana hii inanifanya nisisettle kabisa.
Asant kwako X for this cold heart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijali pia asee naona kama sipotezi kitu ata tukiachana hii inanifanya nisisettle kabisa.
Asant kwako X for this cold heart.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaani hii ya kutojali mkuu naambiwa kila siku mwanaume gani sina wivu maana wivu ndo mapenzi..mara simpendi yaani ful kujishtukia

ila ukweli unakuta nampenda sana tu ila ile akizingua anatemwa dk chache
 
Itakucost usipojirekebisha. Wanawake wa kiafrika ukiwa gentleman sana inakula kwako,ugentleman waachie wahindi na wazungu. Huku kwetu watasema amekukamata.

Be careful.
 
Wivu kama nkimpenda mtu alaf nakua too caring ile kutaka kuchat kila saa kutaka kuwasiliana kila mda inakua kama ni usumbufu kwa mwingne

Sent using Jamii Forums mobile app
Naboreka sana na mtu anayetaka kuchat kila wakati ,hasa mida ya kazi au bize na mambo mengine.

Kujuliana hali hiyo inaruhusiwa hata mara 4 kwa siku inatosha .sio kila dakika ni kujibu texts zisizo na kichwa wala miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…