Unaujua utajiri wa dangote kiasi gani na una uhakika anaweza kukopeshwa hyoo pesa...ushapitia taasisi wanaotoa mikopo kiasi hiko vigezo vyao??.Mfano dangote amejenga oil refinery ya usd billion 18
Minaamini oil refinery ni affordable kuliko hata natura gas refinery
Na oil refinery inakupa LPG na pia bomba la mafuta la uganda litaishia Tanga kwa hiyo kupata crude oil itakua ni rahisi
Miradi mikubwa duniani inafanywa na mikopo ya bank na sehemu nyingine kama ulikua hulijui ni michache sana inafanywa bila mkopoU
Unaujua utajiri wa dangote kiasi gani na una uhakika anaweza kukopeshwa hyoo pesa...ushapitia taasisi wanaotoa mikopo kiasi hiko vigezo vyao??.
For your information, dangote amekopa pesa isiyozidi USD 5.5B...hizo pesa ulizosema wametoa/wamekopa shareholders wengine.. hawezi kopeshwa hyo pesa yote dangote kwa uwezo wake.. taratibu za mikopo taasisi kubwa zina mengi na utaratibu wake,kajifunze bossMiradi mikubwa duniani inafanywa na mikopo ya bank na sehemu nyingine kama ulikua hulijui ni michache sana inafanywa bila mkopo
Utajiri wa dangote hata hujafika usd billion 18 hizo fedha anazitolea wapi kama sio mkopo mambo mengine yanahitaji matumizi ya akili tu
Point ni amekopa mbona unapenda ligi za kitoto sanaFor your information, dangote amekopa pesa isiyozidi USD 5.5B...hizo pesa ulizosema wametoa/wamekopa shareholders wengine.. hawezi kopeshwa hyo pesa yote dangote kwa uwezo wake.. taratibu za mikopo taasisi kubwa zina mengi na utaratibu wake,kajifunze boss
Inakopwa vizuri tu, sio kukopa kwa mara moja. Unafahamu kiasi ambacho tumekopa kwa miaka mitano? Btw tatizo halipo hapo tatizo ni lile lile la siku zote, baada ya mradi serikali anachukua nini kutoka kwa makampuni yanayofanya extraction?Unazijua lakini usd Bilioni 42 wewe, nani atukopeshe hio hela? Toka Nchi ipate Uhuru maraisi wote 6 kwa Ujumla wamekopa $34B usd halafu unasema kuna mkopo wa $42B usd?
Mradi unategemea kuzalisha for 30 years, percent ya tutachopata hakilingani ndio maana mazungumzo yamesimamaKwani hizo pesa si zipo kwenye gesi? Zitarudi kupitia gesi. Na wanaokopa si ni makampuni ya gesi yenyewe.
Pamoja na kuamsha swala muhimu katika mada yako, lakini inaonyesha unachanganya mambo.Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine billion 42 ni nyingi sana kwa mradi mmoja tu na kwa nchi maskini kama Tanzania
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical plant
Hiyo miradi uliyoitaja hapo ipo kwa reserve kiasi gani katika nchi yetu ukilinganisha na gesi?Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine billion 42 ni nyingi sana kwa mradi mmoja tu na kwa nchi maskini kama Tanzania
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical plant
Achana Na miaka 5 toka nchi ipate uhuru Jumlisha Alichokopa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli hadi Samia haifiki Dola Bilioni 42. Sgr na Stiglers zimetutoa kijasho miradi ya 3.6B usd tukahaha hadi kuchukua mikopo ya Riba kubwa. 42B usd zipo nje ya uwezo wetu let's be realistic.Inakopwa vizuri tu, sio kukopa kwa mara moja. Unafahamu kiasi ambacho tumekopa kwa miaka mitano? Btw tatizo halipo hapo tatizo ni lile lile la siku zote, baada ya mradi serikali anachukua nini kutoka kwa makampuni yanayofanya extraction?
Mkataba ungekua umeshakua finalised, NWM baada ya kuingia hiyo nafasi as a minister pia ndio aligomea baadhi ya terms ambazo awali zilikua zimekubaliwa na aliyepita JM
Sasa hivi Mwana Sheria WA Sirikali ni Nani?? Na yupi aliyetaka mzunguko zaidi ? Na yupi wapi sasaTanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine billion 42 ni nyingi sana kwa mradi mmoja tu na kwa nchi maskini kama Tanzania
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical plant
Namsaidia kujibuMkuu pole sana kwa kusoma masomo ya sayansi!!
Umekuja na mada nzuri sana, but maelezo hayajitoshelezi.
Umeandika as if kila mtu anaelewa kwamba Kuna mradi umekwama.
Usipofanya hivyo utapata wachangiaji wachache.
Jazia nyama.
1.Mradi tarajali uko mkoa Gani, na una ujazo cubic meter milioni ngapi, or trion ngapi.
2.Mradi uko mezani Toka lini??
Nini sababu za kukwama kutosainiwa.
3.Ni taifa gani na Kampuni ambayo inataka kutekeleza mradi???
4.Miradi mbadala uwekezaji wake shilingi ngapi?? na tija yake ikoje??
Aksante 🙏🙏
Mambo hayapo hivyo ndio maana nimekuuliza unajua kwa miaka ya karibuni tumekopa kiaso gani? Unapaswa kujua hiyo $42bil haikopwi mwaka mmoja au miwiliAchana Na miaka 5 toka nchi ipate uhuru Jumlisha Alichokopa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli hadi Samia haifiki Dola Bilioni 42. Sgr na Stiglers zimetutoa kijasho miradi ya 3.6B usd tukahaha hadi kuchukua mikopo ya Riba kubwa. 42B usd zipo nje ya uwezo wetu let's be realistic.
Usibishe jambo usilolijuaMimi naongea najuwa ni kweli gharama kubwa sana lakini sio 42B na uhakika na hilo ila sio pesa ya kitoto.
Lugha gongana? Hapo inazungumzwa LNG plantLakini mpaka sasa tunasafirisha makinikia kwenda nje inamaana kweli tunakosa 42 bilioni ya kutengeneza iyo smelter.
Hakika.Kinyume cha hapo ni kutupigia kelele kama nzi wa chooni
Wanachotaka kufanya Equinor ni kama walichotaka kufanya wale wa EPC+f. Serikali akae katikati kama mdhamana wa mikopoPamoja na kuamsha swala muhimu katika mada yako, lakini inaonyesha unachanganya mambo.
Uwekezaji katika mradi huo siyo MKOPO kwa serikali..
Lakini ninakubaliana na wewe juu ya hicho kiasi cha Bilioni $42; ambacho kimeongezeka maradufu toka kiasi cha mwanzo bila kuwepo maelezo yanayo eleweka. Hizi ni njama za hao wawekezaji ili waweze kuvuna faida zaidi katika uwekezaji wao.
Huko kuchelewa unako kuzungumzia wewe, ni pamoja na uhusika wa siasa. Huyo Wakili wa Serikali aliye pelekwa hapo hivi karibuni ni maandalizi ya kuusukuma mradi huo, mara tu mambo ya kisiasa yatakapo kuwa yamepita hapo 2025.
Tutapigwa sana kama taifa baada ya 'Chura Kiziwi' kunyakuwa kwa nguvu kubaki madarakani, siyo tu kwenye mradi huo pekee.
Lakini si unajuwa kuwa Ntorya tayari ilikwisha chukuliwa na waomani. Unajuwa masharti yake yapoje huko? Hiyo ndiyo namna 'Chura Kiziwi' alivyo amua kulinajisi taifa hili, kimya kimya. Hataki kelele.
Sasa umejibu kitu gani? Si uweke hizo details ambazo nimeuliza? Nyie pongapinga sasa mnakuwa wendawazimuHakika.
Ndiyo maana tukawa na 'Chura Kiziwi', na kumbe washauri wake wakuu ndiyo nyinyi!
Fanya mambo gizani ili uepukane na "nzi wa chooni". That's the type of arrogance you think is going to work for you!
Ninakuelewa, pamoja na kutokuwa na uhakika wa unachodhani huyo NWK ataweza kukisimamia. Huyo yupo hapo kwa muda mfupi tu. Anashikilia nafasi ambayo wakati wowote anaweza kuondolewa, kupisha mipango iendelee.Wanachotaka kufanya Equinor ni kama walichotaka kufanya wale wa EPC+f. Serikali akae katikati kama mdhamana wa mikopo
NWM mpya nimemsifu kwenye hili maana Equinor wamemlalamikia baada ya yeye kuingia tu akasimamisha mkataba ambao ulikua ushafika mwisho bado kusaini.
From $30bil to $42bil kutoka 2015 hadi 2021 haipo sawa. So NWM ashikilie Hapo hapo. Ndani ya miaka 6 haiwezekani gharama ikaongezeka zaidi ya Trillion 30
Ok, hebu analyse hizo alternatives unazozipendekeza, uwezo wa kuzalisha na gharama za uendeshaji wa zote hii unayokata na unazopendekeza.Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine billion 42 ni nyingi sana kwa mradi mmoja tu na kwa nchi maskini kama Tanzania
Mfano usd billion 42 unaweza tengeneza miradi ifuatayo na itakua na faida kubwa sana
- Aluminium smelter
- Copper smelter
- Pig iron smelter
- Glass smelter
- Spinning
- Paper pulp
- Oil refinery
- Petrochemical plant
Nime kueleza mnavyo fanyia mambo gizani ili tusiyajue, halafu unanitaka nikupe 'details'!Sasa umejibu kitu gani? Si uweke hizo details ambazo nimeuliza? Nyie pongapinga sasa mnakuwa wendawazimu