Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

tukiwa na viongozi kama wewe tz itakufa masikini. Eti tanzania haina uwezo wa kuchimba ges? Ila uwezo wa kununua magari piki piki na baiskeli za mama tunao. Ni ajabu kama taifa kusema hatuna uwezo wa kuchimba ges wakati tuna madini bahari aridhi nzuri mbuga za wanyama na vyanzo vingi vya mapato lakini tunawapa wageni eti sisi hatuna uwezo navyo. Inasikitisha sana.
Nakupa elimu ya bure tu hakuna hata nchi moja inachimba yenyewe visima wanatoa contract wa kampuni binafsi kuchimba wewe unalipa tu na unatoa drilling program, wao wanafuata drilling program yako 100% wakimaliza program hakuna kitu au wamepata lakini kidogo inakula kwako hawana responsibility. Huko offshore kisima kimoja kinaweza kula mpaka 15M$ bado on surface facility. Ukatoe zile pesa zote kwenye reserve Bank sijui 5B na hujengi LNG sasa tuambie pesa itatoka wapi? na hata ukiwa na pesa utawalipa zote wageni maana hata vifaa vya kuchimba vizima vya maji 100% vinatoka nje sisi tunatengeneza nini? ice za ukwaju au? ma Tank tu ya mafuta yametushinda kuendesha tumeingia ubia sababu ya tabia za wizi. Nini tumeweza orodhesha hapa.....
 
tumefeli kila mahali kwa sababu ya kukosa viongozi wenye maono na akitokea mwenye maono shariti afe
 
Lakini naona hata huongelei chochote kuwa kwa vile tunayo mipango tayari, watu kama Samia hatuwahitaji, wabaki tu huko huko Kizimkazi kulea wajukuu!
Mkuu utapata ugonjwa wa akili au sonona bila sababu. Samia haendi Kizimkazi kama unavyotaka. Yupo Dodoma na Magogoni hadi 2030.

Mungu akitaka uwe Rais wa Tanzania, utakuwa tu na kama Mungu hataki basi huwezi kuwa. Na ndivyo ilivyokuwa kwa Edward Lowassa (RIP), alitaka sana lakini hakupata
 
Huwa niko allergic na machawa, hata kuwajibu huwa naona uvivu sababu kichwani mwenu mmejaza makamasi badala ya ubongo hivyo hatutaelewana.

Hili kuonesha kuwa mmejaza makamasi kichwani, kwanza huwa mna chuki sana na viongozi wazalendo na mara nyingi huwa mnatoa kauli za kebehi na dharau kwa viongozi hao.. mfano kama wewe hapa ulichokifanya.

Eti amefanya nini Cha maana?? Sina muda wa kujibu swali la kiwack kama hili, Rudi darasani ukasomea historia ya Libya kabla na baada ya Gaddafi
Sihitaji kusoma historia ya Libya. Wakati Gaddafi anaingia madarakani kwa kumpindua King Idris wa Benghazi nilikuwa nina miaka 10 na nilijua kilichotokea kupitia Redio.

Umemeza hadithi za uwongo kuhusu Gadaffi. Angekuwa anatakiwa asingeuliwa na watu wake
 
tumefeli kila mahali kwa sababu ya kukosa viongozi wenye maono na akitokea mwenye maono shariti afe
Wala sio viongozi tu wewe kama una kampuni yako binafsi ajiri wa Tz kwenye vitengo muhimu kama hawajakufilisi. Ni misingi ya family nzetu tunashida ndio maana tunapata viongozi wezi wana reflect sisi kama watu.
 
tumefeli kila mahali kwa sababu ya kukosa viongozi wenye maono na akitokea mwenye maono shariti afe
Family zetu ukiwa kitengo cha pesa hujaiba utasemwa na family nzima, jinga ona mwenzako kaanza juzi tu kanunua majumba pale na pale ana viwanja 10 kasaidia wazazi wake wewe huna kitu. Sasa tunalaumu nini kuwa na kiongozi mwizi ni sababu hata hawa viongozi wametoka huku kwenye mizizi.
 
Wala sio viongozi tu wewe kama una kampuni yako binafsi ajiri wa Tz kwenye vitengo muhimu kama hawajakufilisi. Ni misingi ya family nzetu tunashida ndio maana tunapata viongozi wezi wana reflect sisi kama watu.
Au angalia tu Watanzania wanavyohujumu miundombinu ya SGR ili wakauze kwenye chuma chakavu.

Kwa UPUMBAVU huu wa Watanzania kweli tushangae kwanini DP WORLD anapewa kuendesha bandari? Au kwanini Equinor anapewa kuchimba LNG plant??
 
Ni ukweli mchungu sana lakini tutazoea tu hii hali, kwa sasa tuzalishe kizazi kipya chenye uwoga kuwa wizi ni aibu lakini kwa sasa tukubali tu tunavuna tulichopanda. Watu wanaiba na kujichukulia mali za uma toka tumepata uhuru hakuna hata mmoja kakutwa na hatia kafungwa, kufilisiwa ili iwe mfano halafu tutegemee viongozi bora. Mwizi huna uthubutu wa kumuonyeshea mwenzako kidole, tofauti yetu ukubwa wa wizi kuna anaiba kitumbua na kuna anaiba mabilioni lakini wote ni waizi tu.
 
tumefeli kila mahali kwa sababu ya kukosa viongozi wenye maono na akitokea mwenye maono shariti afe
Korea ya kusini hawana mchezo na mali ya uma au rushwa wanakubaliza kisheria ndio maana leo mitaa ya Seoul acha kitu chochote barabarani hakuna wa kukichukuwa utakikuta tu, China nchi kubwa sana watu wengi lakini hakuna wizi sababu ni aibu na sheria ni kali sana kwa wote juu mpaka chini. Hapa tunachekeana tu mtumishi wa uma ana chini ya miaka 5 anamiliki mali za kutisha bado tunamsifia bila kujiuliza umepataje? umekopa? onesha kama umekopa au onesha source ya pesa yako. Niache hili somo napata hasira tu. ndio tuje kuchimba Gas?
 
Na pia natamani kujua kama Kuna enough awareness kuhusiana na huu mradi kwa watanzania, haijalishi uwezo wao kuchambua mambo ukoje.

Huu ni mradi ambao maamuzi yake yana impacts kubwa kwenye ustawi wa taifa letu huko mbeleni...hivyo, halitakiwi kufanyika kimyaa kimya tu kama biashara ya madawa haramu.
Hapa ndipo Tanzania ina kasoro kubwa sana, na CCM na serikali yake wanatumia mwanya huu kufanya uchafu wowote wautakao wao.
NGOs za hapa nazo zimekuwa kama sehemu ya serikali. Wasomi wenye uelewa, wao wanajisalimisha na kuwa "maprofesa walio okotwa majalalani".
Serikali imehakikisha Mahakama hakuna kitu, hata kama kutakuwepo na mtu au kundi litkalo pinga chochote kinacho fanywa na serikali bila ya taratibu kutimizwa.
Rejea IGA ya DPWorld ilivyo vungwa vungwa hadi Bungeni!

Hii ya hapa, ni tofauti kabisa na kule Kenya. Shuhudia jinsi Adani na uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta ilivyo kaliwa kooni hadi sasa!

CCM na viongozi wake wa serikali wanasubiri tafaruku kubwa, ndipo wajue kuwa hali imekuwa mbaya sana.
Tazama wanayo fanya na uchaguzi wa serikali za mitaa! Hawa watu kweli bado wanazo akili timamu vichwani mwao?
 
Mkuu utapata ugonjwa wa akili au sonona bila sababu. Samia haendi Kizimkazi kama unavyotaka. Yupo Dodoma na Magogoni hadi 2030.

Mungu akitaka uwe Rais wa Tanzania, utakuwa tu na kama Mungu hataki basi huwezi kuwa. Na ndivyo ilivyokuwa kwa Edward Lowassa (RIP), alitaka sana lakini hakupata
EEEeeenHEEeeee!
Samia akiwa rais hadi 2030, huo utakuwa ni muujiza wa kipekee sana. Hili tuliachie hapa.

Mimi sijajitangaza popote kuutaka urais, na hainizuii kukataa Samia kutokuwa rais kwa sababu hana uwezo wa kazi hiyo.
Kuhusu "kupata ugonjwa", wewe huna chochote unacho kijua kuhusu taaluma hiyo, kwa hiyo usijihangaishe na kurudia tu yanayo semwa bila ya kuwa na elimu husika juu yake.
 
Uwezo anao na ndiyo maana kuanzia March 19, 2021 alipoapishwa baada ya Magufuli kukata moto yeye ndiye anatawala mpaka sasa.

Amewhindwa nini kwa mfano? Au untaka naye awe mropokaji kwenye majukwaa kama mwendazake wenu??
 
Hujui alicho shindwa?
Kwani hapa tumejadili nini kati yako na mimi hadi uendelee kuniuliza swali kama hilo?

Na umejua vipi kuwa 'mwenda zake' alikuwa wetu?
 
Hujui alicho shindwa?
Kwani hapa tumejadili nini kati yako na mimi hadi uendelee kuniuliza swali kama hilo?

Na umejua vipi kuwa 'mwenda zake' alikuwa wetu?
Ndiyo kila kikitokea kitu mnasema "angekuwapo Magu" angetatua hili
 
Ndiyo kila kikitokea kitu mnasema "angekuwapo Magu" angetatua hili
Hivi unajibishana na mimi; au na hao waliomo kichwani mwako?
Kwa hiyo wewe unataka nikutambue kuwa umo kwenye kundi linalompigania Samia kwa sababu zenu maalum?
 
Hivi unajibishana na mimi; au na hao waliomo kichwani mwako?
Kwa hiyo wewe unataka nikutambue kuwa umo kwenye kundi linalompigania Samia kwa sababu zenu maalum?
Samia chaguo la Mungu, lazima tumpiganie kwa makubwa aliyoyafanya miaka hii 3. Hii nchi iingekuwa mikononi mwa Ndugai au Bashiru Ally sasa hivi tungekuwa kama Yemen au Zimbabwe
 
Sihitaji kusoma historia ya Libya. Wakati Gaddafi anaingia madarakani kwa kumpindua King Idris wa Benghazi nilikuwa nina miaka 10 na nilijua kilichotokea kupitia Redio.

Umemeza hadithi za uwongo kuhusu Gadaffi. Angekuwa anatakiwa asingeuliwa na watu wake
Ndio maana nikakwambia huwa sipendagi kabisa kubishana na nyie machawa, maana hamnaga kitu kichwani.

Vizuri umejitanabaisha wewe mwenyewe kwamba wakati Gaddafi anaingia madarakani mwaka 1969 ulikuwa na umri wa miaka 10 so mpaka Sasa hivi hapo ulipo wewe ni mzee wa umri wa miaka 65 na umeshuudia regimes nyingi sana za kisiasa na matukio yake hapa Afrika.

Muammar Gaddafi baada ya kushika madaraka alifuta Kila kitu ambacho kiliachwa na mfalme Idriss akianza na sera zake ambazo zilionekana kuwanufaisha Zaid ma imperialists wa ulaya hasa wabritain, alipunguza kabisa haki za uchimbaji mafuta kwa makampuni ya kingereza na serikali kuwa ndio mwenye miliki nyingi kwenye uchimbaji... Na kama hiyo haitoshi akakataa offer ya $550m kutoka kwa benki ya Uingereza akiwaambia kwamba rasilimali zilizopo Libya zinatosha kuiendesha Libya na ndio kipindi hicho hicho akafanya wide economy diversification ya Hali ya juu... Haya yote yalifanyika 1970s

Katika kipindi chote Cha utawala wa Gaddafi wanainchi wa Libya hawakuwahi kujua bill ya umeme Wala maji, elimu ilikuwa ni Bure kwa level zote, kumiliki makazi ilikuwa ni haki ya msingi ya asili ya Kila mwanainchi(natural human right), wanainchi wa Libya walipata mikopo bila riba kutoka kwenye mabenki,walitibiwa Bure kwenye hospital za pale pale Libya na kama kuna ulazima wa kwenda kutibiwa nje basi serikali ya Libya ndio iligharamikia matibabu yote na yote haya yalifanyika kwa pesa zinazotokana na rasilimali za pale pale Libya na Wala sio mikopo ya kiholela holela.

Chini ya utawala wa Gaddafi Libya haikuwahi kuwa na megenge ya uhalifu au wizi uliokithiri miongoni mwa raia.

Kwa ufupi tu ni kwamba Gaddafi alikuwa ni aina ya kiongozi mwenye akili nyingi aliyefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuifanya Libya kuwa self-sufficient ambapo Kila Mwanainchi alinufaika na rasilimali za taifa effectively..... Haya niambie ni viongozi wangapi wa kiafrika wanaweza kufanya hivyo tukianza na Hawa tulionao hapa wa CCM?????

Viongozi wengi wa kiafrika wanachoweza kufanya ni kushirikiana na ma imperialists wa ulaya na Marekani kuzikomba rasilimali za taifa kupitia mikataba mibovu ambayo inawanufaisha viongozi hao binafs huku wakiwaacha majority ya wanainchi wakiishi kwenye umasikini wa kutisha.

Tunafahamu nyie machawa huwa hamtaki na mnatumia kuona viongozi mahiri na wazalendo wakipewa maua yao, na badala yake mnapenda sifa kama hizi ziende kwa viongozi dhaifu na wajinga wajinga wasiokuwa na hata chembe ya uzalendo wanaouza rasilimali za taifa ovyo ovyo kama Samia a.k.a Chura Kiziwi.

Na Cha mwisho licha ya uzee wako lakini unaonekana Bado una akili changa sana, nani amekwambia kuwa Gaddafi aliliuliwa na watu wake? Kwamba licha ya kuishi miaka mingi ila mpaka leo hujui kabisa mikakati ya kumuua Gaddafi ilipangwa na akina nani na ilitekelezwa vipi?? Kweli wewe ndio maana ni chawa maana hata akili ya kudadisi tu hili kujua ukweli wa mambo huna.

Kiongozi Kama Gaddafi suala la kufa lilikuwa ni given, na ilikuwa afe tangu miaka ya 1980s huko kipindi kile anapambania movement ya Pan-Arabism, lakini amewakwepa mpaka ilipofika mwaka 2011 baada ya marekani kutengeneza kundi la wapenda demokrasia feki.

Hao ma imperialists huwa wanapenda afrika iwe na viongozi dhaifu ambao watakuwa ni madalali wazuri wa rasilimali zetu na Kila wanachoambiwa wanakubali, mfano kama mama yenu ambayo wewe na machawa wenzio Kila siku huwa mnamtetea na kumpamba kwa sifa ambazo Hana.

Umewahi kujiuliza hata siku moja ni kwanini viongozi mahiri wenye elements za kizalendo huwa hawakai sana Wala kuishi muda mrefu kulinganisha na Hawa viongozi walafi na wezi kama akina mzee Kikwete na wengineo??

Tanzania kwa huge potential iliyonayo endapo kama tungekuwa na watu makini kwenye key positions za kuamua mustakabali mzima wa taifa letu, basi walau wanainchi wake tungeweza kuishi hata nusu tu ya aina ya maisha walioishi walibya kipindi Cha Gaddafi....umetolewa mfano wa Saud Arabia hapo kwamba familia ya kifalme imejitahidi sana kufanya maisha ya wanainchi wa Saud yawe Bora kiasi kwamba hawatamani hata kuwabugudhi watawala wa taifa Hilo kama ambavyo sisi Kila siku tunashinda mitandaoni humu kuwasema na kuwalaani viongozi muda mwingine mpaka kuwaombea vifo.
 
Samia chaguo la Mungu, lazima tumpiganie kwa makubwa aliyoyafanya miaka hii 3. Hii nchi iingekuwa mikononi mwa Ndugai au Bashiru Ally sasa hivi tungekuwa kama Yemen au Zimbabwe
Ona hii kenge kumanina zako, kwamba huyo bibi tozo asiyekuwa na hata chembe ya uzalendo ndio unamuita chagua la Mungu??????????? Una akili kweli we mzee??

Futa hiyo kauli hapo kwenye bold, sema unampigania wewe kwa ajili ya maslahi yako binafsi na familia yako basi.... Yaani nchi anaipeleke shimoni wewe unasema ni chaguo la Mungu? Mungu gani huyo wa huko kwenu ushetanini au?

Nyie machawa hasa wazee mnatia hasira sana nyankundo
 
"Mungu" ndiye wewe, au na kundi lako?
Hiyo kauli yake imenikera sana, nimepoteza na hamu ya kula kabisa, na huyo ni mzee wa miaka 65.

Halafu nimekuja kubain Hawa machawa ni hatari kwa ustawi wa taifa kuliko hata Samia mwenyewe, maana wao kadri anavyozidi ndio wanavy msifia tu wajinga Hawa.
 
Back
Top Bottom