Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

So sad. Mtoto ni wako au wa mume wake wa kufikia? Inauma sana lakini piga moyo konde. Mara moja moja uwe unapiga naye story na kumplease. But kama wewe ni muislam still unaweza ukafanya mpango umuoe kama mke wa pili ili kumpunguzia stress ya kukuwaza.
 

ni wangu.i provide everything for the kid except that i cant be with him any time i want.nikikaa nae karibu hata kwa 10 mins najua 'hakuna usalama'.....siku zinavyozidi kwenda nagundua bado nampenda sana sana sana..illa dah.tuwe makini na maamuzi yetu wakuu...
 
So sad!
 


Bidada dagaa, hilo ni suala la muda tu. Huyo jamaa lazima akuvue chupi tu. Tayari usha-cross red line....sensing danger already. Utupe mrejesho basi...
 
kumuacha mrembo alienipenda kwa dhati ya moyo...kumbe ana mimba yangu na sasa siwez kuwa nae sababu ya mazingira na bahati mbaya hamtaki yeyote mwingine isipokua mimi..she's so innocent,hastahili maumivu niliompa.sad that i cant change anything now

Pole sana kaka. Kama bado unampenda nadhani unaweza kufanya kitu. Hakuna kitu kinatesa kama mapenzi.
 
Najuta kuachana na bf wangu baafa ya kuona hatuna future. Sasa hiv anataka kumuoa mwanamke mwingine kila nikiwaza ninavyompenda bado natamani kupasuka au nipotee nisishuhudie ndoa yao. Nimegundua ye ndo pekee ninaemuona kama mume kwa sasa. Huwa namwambia mwanamke alie nae ana bahati sana.
 
Zitupie kwangu na utakuwa huru milele. (utani).
 
Dah! Mimi najutia sana kwenda kusoma coz ya ajabu ajabu kweli UDOM...niliacha coz ya maana ya SUA Na Mzumbe nikakimbilia DOM..... Hilo jambo najutia hadi huu mda ninavyoandika hapa ....labda badae Mungu akinisaidia nitaacha kujutia.....
Uliacha course gani hizo za maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…