Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Kuzaliwa Tanzania ambayo inaongozwa na shetani ccm
Hilo si kosa..!!

Post inasema ni kosa gani ulilowahi kulifanya ambalo unajutia mpaka leo hii kila ukilikumbuka

Sasa mtu kuzaliwa sehemu flani sio kosa, na kama ni kosa basi ni la mwenyezi Mungu ambalo wengi tunajutia.
 
Ordained
daughter

...katika ubora wake, yule jamaa ni mwenye bahati sana.
 
Pole sana hapo kwenye rangi maamuzi mazuri kwa kweli hakuna sababu ya kumpiga mwanamke. Unapoamua kumpiga unakuwa na hasira za kufa mtu ngumi moja pwaaaah! kaanguka chini amka amka na wewe! UMEUA! unajiharibia maisha yako yote hapa duniani na kubaki na majuto mjukuu, labda mgeyaongea tu yaliyokuudhi leo hii mngekuwa bado mko pamoja kama mke na mume na watoto wenu wazuri.

najutia kukosa subira dhidi ya ex wangu ambaye ni wife material.NILIMPIGA TUKASEPARATE NA HAKUNISAMEHE MPAKA KESHO SITARUDIA TENA KUPIGA MWANAMKE .MUNGU NIJAALIE SUBIRA.
 
hahahahahaha lol! Pole sana bintishomvi ila nimecheka sana hapo kwenye rangi dah! Pole sana.

 
Kuolewa kwenye familia nisiyoifahamu.....
Lady japokuwa hujafunguka ila nimekuelewa sana tu. Hii sehemu mabinti wengi sana tunaangukia pia. Yani sisi as long as tumependana na tumeulizwa "will you marry me", aah basi tunajua kazi imeisha . Hujui familia/ukoo wao ukoje, kuna vitu gani vya asili (mila na desturi), maagano, wanaishije (kuna upendo au utengano)n.k. Kuna familia mama ndo final say, baba katulia tu, watoto wote wanajitegemea huko ila mama ndo remote yao, kaolewe sasa utake kumcontrol mumeo ndo mpambane na mama mkwe vizuri.

Wengi tunakutana kimjini mjini, tunaamini tutaishi hivyo hivyo kimjini mjini, ila ukija kukutana na familia yake ndo unachoka mwili na roho. Na wengine huwa tunajiaminisha tunaolewa na mume, kumbe unaolewa na familia nzima mwee
Kuolewa kwenye familia nisiyoifahamu.....
 
Dah! Pole sana na hongera kwa kumtunza mwanao, hongera sana.

 

Yaan wewe ni mtabiri, as if unaifahamu hiyo familia. Oooh Lord have mercy, Mungu tu aingilie kati.
 
Yaan wewe ni mtabiri, as if unaifahamu hiyo familia. Oooh Lord have mercy, Mungu tu aingilie kati.
Uuh pole my dear, usichoke kuomba. Mkabidhi Mungu vita iliyopo juu Ya ndoa na kizazi chako. Mkabidhi yeye akashughulike nayo.

1 PETRO 5:6-7
7. Huku mkiutwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu
 
Najuta sana anaponikumbusha kwa uchungu kwa nini nilikua kimyaa akajua nimemwacha bikra yake ikatolewa na mwanaume mwingine
I hate distance na intolerence
 
Sina cha kujutia kwa sababu nilipo pitia ndio kuliko nisababishia kufika hapa.
 
mkuu, hii NYUNDO uliyopiga hapa umebomoa umemaliza kabisa...siongezi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…