Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

Pole sana Rafiki.....duh....20!!!
 
Pole sana hii nadhani tuliwahi kuizungumza mtaa wa pili...Ushauri wangu SAMEHE...ningumu kweli ila kama unataka kuendelea mbele samehe...MOYO wa Mwanadamu haukuumbiwa Maumivu...Sababu unavyomuweka Moyoni ndivyo unavyozidi kuumia ukichukulia yeye anaendelea na Maisha yake chakufanya we we Jikubali kuwa umepoteza Omba TOBA. Endelea kumuomba Mungu wako akufungulie Milango ya Baraka urudi kama Zamani...nakuhakikishia ukimtoa MOYONI utakuwa na AMANI sana...mbona Mimi nilifunguliwa Kesi yakutengeneza nikaenda JELA nilipotoka huyo MTU alihama mji akidhani naweza kumfanya Vibaya lkn wapi...nimeachana nae na Maisha yangu sasa yamerudi kwenye Mstari...please my Rafiki...siku nitakuja Inbox kukuambia zaidi..pole
 
Dah! Mimi najutia sana kwenda kusoma coz ya ajabu ajabu kweli UDOM...niliacha coz ya maana ya SUA Na Mzumbe nikakimbilia DOM..... Hilo jambo najutia hadi huu mda ninavyoandika hapa ....labda badae Mungu akinisaidia nitaacha kujutia.....
Koz gan mkuu,mi mwenyew nilifanya hio mistake lakn nikahama chuo baadae,
 
Mimi mwenzenu kwanza kila siku lazima nilie na Mungu, maishayangu ni shida sina ajira vyet nnavyo, ndoa yangu haina amani sjui nifanyeje niwe na raha mana napungua kilo kila siku.
 
Mimi mwenzenu kwanza kila siku lazima nilie na Mungu, maishayangu ni shida sina ajira vyet nnavyo, ndoa yangu haina amani sjui nifanyeje niwe na raha mana napungua kilo kila siku.
Pole sana mkuu. Kwa kuwa Mungu hamtupi mja wake, ipo siku atakufungulia njia. Usichoke kumuomba.
 
Mkuu hi stori yako ina fanana na yangu 90% more than
 
Nilivyolewa bia na kumtongoza mamdogo(26) mimi(23) miaka ya nyuma
 
Ilikuwa mwaka gn mkuu, mi pia nastory kama hii naijutia sn ila nilofanikiwa tena but ningekuwa mbali sn
 
Mimi mwenzenu kwanza kila siku lazima nilie na Mungu, maishayangu ni shida sina ajira vyet nnavyo, ndoa yangu haina amani sjui nifanyeje niwe na raha mana napungua kilo kila siku.
Ulisomea kozi ipi mkuu??
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mabumunda.afu wale wafanyabiashara nje ya kanisa ndio walikuwa wanasababisha yote haya.
Bible is real... Jibu lako na la Adamu bustanini ni the same thing asee.
Yaani umejitoa kwenye dhambi ukairushia kwa wamama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…