Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

Tatizo lako una wivu...we endelea kukaa kwenye kiota chako bana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Waende hapo Upanga kwenye zile flats waone interior ilivyo
 
Open kitchen kwa wabongo haifai, uchafu mwingi sana. Unaweza jaza moshi na harufu za samaki nyumba nzima

Kwa sababu majiko yetu hawaweki ile ya kutolea mosh sijui inaitwaje
 
Kila mtu na design yake
 
Aisee mimi sijui, ila fundi aliniambia tulisahau wiring ya solar, sasa alichomaanisha ni nini hapo?
Labda huyo fundi alimaanisha utatumia vifaa vya DC ukiwa unatumia solar mfano taa, tv na vingine.
Lakini unaweza kubadili DC kwenda AC na ukatumia vifaa vyako vyote kama una umeme wa TANESCO. Kujenga wiring mbili ni kuongeza gharama zisizo za lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…