Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Materials nilikuwa nanunua mimi mwenyewe na uzuri nina idea za ufundi ilikuwa si rahisi kunidanganyaKumwamini fundi
na kumwachia pesa
na kujenga bila mimi kumsimamia au kuwepo
Ni kosa kubwa sana kwa mafundi hawa wa sasa hivi.
Wakati naanza ujenzi alikuta tayari nimeshanunua tofali, kokoto na mchanga. Cement na nondo nilikuwa nimeshazilipia tayari hardware ya jirani