Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa


`Makonda hata hajakaaa kwenye kiti Anaanza kuwagombezaa mawaziri na wakuu wa Mikoa …Nadhani hata katibu mkuu watapishana Tu
 
Unajifanya huamini ushirikina ni upumbavu tupu, wazungu, wachina, wahindi wamejaa hirizi tupu sembuse wewe uliyezaliwa Ikungi Singida! Misikiti na Makanisa vililetwa na wakoloni, uchawi hata kwenye bible umetajwa.
HAKUNA UPUMBAVU KWA ASIAMINI USHIRIKINA, ILA KUAMINI USHIRIKINA NDIYO UPUMBAVU.
ONA YAANI BADO UNAONA NAJIFANYA TU ILA HIYO NDIYO MOJA YA TABIA ZA KIPUMBAVU ZA WAAMINI USHIKINA KUHISI.

USHIRIKINA UWE UNA FANYWA NA MZUNGU MWARABU, MCHINA AMA MUHINDI, BADO UTABAKI KUWA JAMBO BAYA TU, HIVYO JAMBO BAYA, SI VYEMA WATU WOTE TULIFANYE, SABABU NI UPUMBAVU TU.
 
Kajifunze kuandika kwanza wewe chawa
 
mpaka mseme bado hamjadema na mtasema.
 
Ulitabiri
 
Ushauri umechukuliwa kwa sehemu,mengine yanafanyiwa kazi taratibu.
Kwa sababu ya kuoneana aibu bado mapungufu mengineu liyoyabainisha hayajafanyiwa kazi.
Awamu ile ilibainishwa kuwa wateuliwa wanatakiwa kupatiwa mafunzo ya uongozi(Leadership skills),ili kuwasaidia kujisimamia kwa kuzingatia kufuata sheria kanuni na taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…