Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
Sasa wananchi WA Mbeya ingeenda helicopter ya kawaida wasingeogopa mkuu wangejua Ni Mbowe amefika Kwa wahuni[emoji23][emoji23][emoji23]Ndugai kabla ya kutimuliwa alikuwa Mhimili gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wananchi WA Mbeya ingeenda helicopter ya kawaida wasingeogopa mkuu wangejua Ni Mbowe amefika Kwa wahuni[emoji23][emoji23][emoji23]Ndugai kabla ya kutimuliwa alikuwa Mhimili gani ?
Captain??Umeona na Captain kaanguka Salute moja hatari
Huyo binti siyo raia wa kawaida kama wewe mburumatare ambae nyuma hakuchezi mbele hakutikisiki.Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?
Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )
Naomba Majibu .
View attachment 2810972
For your information and without fear of contradictions, let me confirm to you Dr.Tulia Ackson is going to be the President and Commander in Chief of defense Forces of the United Republic of Tanzania. Don't ask me is it2025 or 2030.Kama ni hivyo ni kipi kilifanya Ndugai atimuliwe mithili ya nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto njiti ?
Tatizo nchi yetu haina vita sasa hizo ndege zinakaa parking tu miaka yote mpaka zinaota kutu hivyo acha wanaccm wazitumie kupiga misele angalau zitumie kidogoIkiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?
Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )
Naomba Majibu .
View attachment 2810972
Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?
Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )
Naomba Majibu .
View attachment 2810972
Ndyo captain au mkuu nianze kufundisha maana ya captain?!Captain??
Perfectly Clear and crystalFor your information and without fear of contradictions, let me confirm to you Dr.Tulia Ackson is going to be the President and Commander in Chief of defense Forces of the United Republic of Tanzania. Don't ask me is it2025 or 2030.
what you see now are just very biginning preparation
Hata wewe kwenye Mafuriko unapanda.
Huyo amekuja kama shujaa akitoka kuiwakilisha Taifa, Hiyo Jesgi la wananchi wamempa heshima(hajaomba) ya kumsafirisha mpaka jimboni kwake.
Kumbuka huyu ni Kiomgozi wa Mhimili mzee, Anayeweza kushika madaraka ya kuongoza nchi.
Yanga walialikwa Ikulu na mkuu wa nchi, sasa kama amiri jeshi mkuu aliagiza apewe hiyo heshima kuna shida.
Yanga wakichukua Champions League Africa, wakirudi wakapokelewa na kupelekwa dodoma kwa ndege ya jeshi kama heshima ni vibaya.?
Mbona tunapandaga Defender kama lift?
Vipi pale Mwenge , hujawagi ona Raia wamepewa lift kwenye Karandinga au Bus ya JWTZ?
Tuache ujinga , hilo ni jeshi la Wananchi wa Tanzania, lipo kwa ajili yetu.
Mpumbavu huachwa alivyo.Wewe ndiye.Hata wewe kwenye Mafuriko unapanda.
Huyo amekuja kama shujaa akitoka kuiwakilisha Taifa, Hiyo Jesgi la wananchi wamempa heshima(hajaomba) ya kumsafirisha mpaka jimboni kwake.
Kumbuka huyu ni Kiomgozi wa Mhimili mzee, Anayeweza kushika madaraka ya kuongoza nchi.
Yanga walialikwa Ikulu na mkuu wa nchi, sasa kama amiri jeshi mkuu aliagiza apewe hiyo heshima kuna shida.
Yanga wakichukua Champions League Africa, wakirudi wakapokelewa na kupelekwa dodoma kwa ndege ya jeshi kama heshima ni vibaya.?
Mbona tunapandaga Defender kama lift?
Vipi pale Mwenge , hujawagi ona Raia wamepewa lift kwenye Karandinga au Bus ya JWTZ?
Tuache ujinga , hilo ni jeshi la Wananchi wa Tanzania, lipo kwa ajili yetu.
Makamanda nimeona mpo Arusha nundu zimenona. Ruzuku taamu sana 😂😂Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya kijeshi ( siyo inayofana ) Raia ?
Sijui kama naeleweka , Ni hivi , inakuwaje Raia aliyekatazwa kuvaa fulana ya Jeshi la Marekani aliyoinunua kwenye mitumba , kama zile walizozivaa Wenge Musica kwenye Album ya Pentagon , lakini aruhusiwe kutumia vifaa halisi vya kijeshi ikiwemo Ndege ( hatujui kama kwenye ndege ile mlikuwa na makombora yaliyobebwa au la )
Naomba Majibu .
View attachment 2810972
Mbunge huyo au hujui mbunge anapigiwa salute??Anaepigiwa salute hapo ni nani? Na kwa nini?
Ni Spika yupi mwingine aliwahi kufanya hivyo , au uspika kaanzisha Tulia ?Huyo binti siyo raia wa kawaida kama wewe mburumatare ambae nyuma hakuchezi mbele hakutikisiki.
Huyo binti si wa kawaida kabisa, ni mkuu wa mhimili mmoja wa dola na ni Rais wa a Mabunge ya Dunia.
Huyo binti anapewa mpaka ndege ya Rais wa Tanzania.
Msiwe mnaongea kijinga.
Kama hiyo haitoshi, mbona mara nyingi sana raia wanapewa lifti ndege za jeshi.
Spika aliagiza Walimu warejeshwe mzee.Nchi imevurugwa hii. Contradictions ni nyingi Sana. Huyu mama (Tulia Akson) akiwa naibu spika alicheza hadharani muziki uliopigwa marufuku na BASATA wa Diamond Platinum uitwao "Nyege......Nyege" lkn hakuvuliwa unajibu spika.
Huko Tunduma walimu na wanafunzi wamecheza muziki wa Zuchu ulioruhusiwa na BASATA (uitwao Honey) walimu wakuu wakavuliwa madaraka
Ndo nauliza. Toka lini? Kwa maagizo ya nani? Maana nijuavyo mimi hizo ni heshima za wanausalamaMbunge huyo au hujui mbunge anapigiwa salute??
Haya mambo mbona hatukuyaona enzi za akina Amir Kificho na Pius Msekwa , kwamba wale wazee walikuwa Wajinga ?For your information and without fear of contradictions, let me confirm to you Dr.Tulia Ackson is going to be the President and Commander in Chief of defense Forces of the United Republic of Tanzania. Don't ask me is it2025 or 2030.
what you see now are just very biginning preparation