Ni kwanini bado Waarabu wanatubagua, hata Mwafrika anapokuwa Muislam wanamkatalia kumuoa binti yao?

sasa mwarabu koko wa tanga,o tabora unataka kumfananisha na saudia,ndo maana wanawabagua mpaka kwenye misikiti yao.
Ndio maana huwa mnapuuzwa, hakuna Msikiti wa waarabu wala msikiti unaobagua nchi hii, kama upo utaje, uwe ni Msikiti wa Sunni main Body ya Uisilamu na sio mapandikizi.
 
Nasema hivi muarabu anamtumikisha mzungu fatatiria utajua ukweli ulipo
 
Kama wewe ni mzungu sawa, ila kama ni mwafrika basi acha jamii zingine zitudharau tu

Umethibitisha upumbavu wetu
 
Kama wewe ni mzungu sawa, ila kama ni mwafrika basi acha jamii zingine zitudharau tu

Umethibitisha upumbavu wetu
Upumbavu Gani wakati ni ukweli na uhalisia?
Waafrika hatuna cha kujivunia, hata scripts za jamiiforums zimetoka kwa wazungu.
Africans and Arabs didn't invent anything, they are just innovators.
Take note of that
 
Kupanga ni kuchagua.
 
Upumbavu Gani wakati ni ukweli na uhalisia?
Waafrika hatuna cha kujivunia, hata scripts za jamiiforums zimetoka kwa wazungu.
Africans and Arabs didn't invent anything, they are just innovators.
Take note of that
Mjadala ni dharau za mwarabu kwa mwafrika, kwa kuona hatuteteeki ukalazimisha kututetea kwa kumuingiza mzungu.

Sisi tuna matatizo makubwa
 
Mjadala ni dharau za mwarabu kwa mwafrika, kwa kuona hatuteteeki ukalazimisha kututetea kwa kumuingiza mzungu.

Sisi tuna matatizo makubwa
Kwanza kitendo cha watu weusi kila siku kulalama kuwa wanabaguliwa ni upumbavu,fahamu upumbavu ni kipaji
 
Hakuna cha ajabu hapo, hata kabila kwa kabila kuna watu bado hawataki kuoa au kuolewa na kabila tofauti, hata dini, rangi, utaifa, uchumi etc vyote vinatumika kwenye kuchagua na kubagua ndoa, ni akili za kijinga tuu za mwanadamu, upuuzi mwingine kwanini mwanaume wa kiislam anaweza kuoa dini yeyote lakini mwanamke wa kiislam lazima aolewe na mwislam, unajiuliza ni kweli mungu alisema hivyo au mfumo dume tuu uliounda uislam? miaka ya zamani US mtu mweusi alikuwa hawezi kuoa au kuolewa na mtu mweupe na adhabu yake ilikuwa jela, wakristu nao na vituko vyao mwanamke hawezi kuwa pastor au kiongozi wa kanisa... ni mambo ya akili fupi za binadamu tuu wasiojitambua
 
Kwan lazima uoe hao siuoe watu wako tu watu weusi wana matatizo [emoji23] hao wanawake wao wenyew walivyoboring sasa bora wanawake wakiafrika,
 
Mbona wanasema kuna binti wa Asas kaolewa na mweusi
 
Kama haujawah tembea unaweza kuona waarabu ni watu wabaya na wanaoishi kwa masharti magumu, waarabu wapo simple tu wanakula mpaka madawa ya kulevya ,bangi mirungi kama mbuzi, wapo wakristo wapo waislamu , wanawake wao wapo simple sana tena wanatupenda sana sisi ngozi nyeusi mpaka kaka zao wanapanic .
 
sio kweli
 
Huyo nae ni mpuuzi kwani lazima uoe Mpemba? Wanawake wako wengi sana
 
Ubaguzi upo dunia nzima
Km nakumbuka vzr wazazi wetu walikua wanaona nakuolewa na kabila/familia wanayoijua kua.
-haina magonjwa ya kifamilia
-uzazi wao nisalama hakuna upotokaji wa kimaadili
-nikabila moja au ni family members
-tamaduni zao zipo sawa
Haya sisi tumeacha lkn wenzetu nimuhimu sn ilikutopoteza kizazi chao nakuepusha gomvi ktk familia
 
Mtoa mada unaweza kwenda kuoa kwa kikwete, Magufuli, mkapa Mengi, bo
Ilionea msuya, Dangote nk kirahisi rahisi tu. Kisa wewe mbongo mwenzao?
Mie mama yangu ni masikini ila alimkatalia kijana wa kikulya kuoa binti yake hivi hivi. Yaani jamaa alinibembeleza yule eti nikamuombee kwa wazazi, wapi!
SEMBUSE MWARABU !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…