Ni kwanini jamii ya wahindi imesahaulika kwenye teuzi za kisiasa?

Tajiri mkubwa kbs na wa kwanza ktk orodha za matajiri ni Mhindi Boss Ambani !!
Uliza mzaliwa wa wapi???
 
kwani usnart upo kwenye kufaulu mitihani tu
 
Actually Ila uchumi wa India ni tayari wapo middle income country Kwa miaka mingi sasa na uchumi wao unaperform vizuri zaidi Kwa miaka ya hivi karibuni na pia wanayo technology kutuzidi Sisi . Japo uchafu ni wachafu Sana hawa jamaa wa kihindi
 
Sass huyo Tajiri Amban anahusiana na nini na hii post hapa ? Ambani ni mhindi wa TZ?au umeshindwa kuelewa au ufahamu wako mdogo kuhusu mtiririko wa Comments zilizopo.
FYI, bila kukuKwazaa !! Naomba upanue au utanue kifuwa chako..,na wigo waufahamu!!
Wahindi kwa jumla ni taifa lenye malengo ya kuongeza kiuchumi tangu enzi hizoooo!!
Hivi sasa wamesha thibitisha huko North America na Asia nk nk...
Na wengi wao ni waalikwa wa nje ya bara HINDI,
( yeye iko dugu vao tanjania zaliwa pale )
God bless them...
 
unhen pahale shahar ke kendr se baahar nikalakar hamaare saath ghulana-milana chaahie, nahin to ham unhen raajaneeti hee nahin, har cheej par chhod denge.
 
Kama Taifa kwanza waondoke kule kwenye CASTE SYSTEM ambayo wanayo hilo la kwanza waondoke kwenye uprimitive walio kuwa nao.

India is not self reliant kama wanavyo jimwambafai Covid-19 imewaprove hawa wezi kujitegemea bila kusaidia na mataifa makubwa.
 
Tumewazidi kufaulu mtihani? Mbona tukija kwenye application ya elimu kwenye maisha ya kawaida waafrika tuko hoi, nafuu hata wahindi? Kumbuka tunaenda India kutibiwa? Fact: Tuache kasumba ya kukaririri shuleni ili tupasi mitihani.
 
Jemmy ndg yangu.. tusiumize kichwa tuwache hawa jamaa siyo size yetu!!!! Na wala tusicheke majanga yao!! Wala tusidhihaki tamaduni na mila za wengine..
God bless Tanzania
 
Kuna kufaulu darasani na kuweka kwenye practice ulichosoma darasani. Kama mliwapita darasani huko kwao tuna nini kama nchi cha kuonyesha maendeleo ya computer science kulinganisha na wao? Any way cha msingi ni kuwa, kama mhindi anauwezo, asinyimwe nafasi ya uteuzi kwa sababu ya uhindi wake.
 
Mimi nafikiri tuna kaubaguzi sana kwenye ajira za siasa
Angalia kama mtu ni mzaliwa na ana haki zote kama mtanzania mwingine ila akiingia siasa utasikia majina na maneno ya kila aina

Sio kama hawataki kuingia siasa bali serikali ndio haitaki kuwahamasisha na kuwavuta kwenye medani za Siasa

Wenzetu wazungu watu wanahimizwa kuingia Jeshi na hata siasa kama wakisoma vizuri na kujihusisha na siasa wanakubalika na jamii na Serikali pia

Kama serikali ikihimiza na kuwapa nafasi wanaweza sana ila hata kama leo Rais akamchagua Mtanzania mwenye asili ya Kihindi awe Waziri lazima watu povu litawatoka sana kwa sababu sio mazoea ya kuwapa nafasi hizo
 
INFIRIORITY COMPLEX either wewe ulieandika hii thread wewe ni MUHINDI unataka kujifanya nyie ni smart kuliko wahindi.

Ushindwe na ulegee.
Sisi weusi tuko smart kuliko unavyotegemea.


Mpu.mbv.. wewe
 
Esema Ni wahindi hivyo sio waafrika Wala wa Tanzania wateuliwe ili iweje? Mbona huko India ngozi nyeusi haziteuliwi?
 
Ulipokwenda Jeshini (JKT), uliwaona Wahindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…