Yesu alikuja Kwa watu wote. Si wa wakristo pekee.Hahaaa biblia inasema asiye kinyume nasi basi yuko upande wetu.hii ni hekima ambayo inaleta maarifa
HAhaha mimi najua wew ni nabii wakitapeli na ndio maana nakupiga na vitu vizito wasipopeleka hizo hela na hiyo kazi mnaacha siku hiyohiyo hahhahahaha kuna mwenzio huko anauza nyumba mbinguni kaoteshwa maana waumini wenu ni vichaa kama nyie wenyewe viongoziSasa kupeleka cholo kama sadaka ndio unaona ni Ibada hiyo?
Pesa ya kusaidia wajane na yatima utatoka wapi ikiwa mnatoa cholo🤔
Hapa wengi hawatakuelewa.Haya maneno huwa yanawakera watoto wa kiroho na wanaitazama biblia kama philosophical book
Ila ukijua kwamba biblia ni kitabu kilicho hai na inahitaji uwe hai kiroho ili kukisoma basi hutapata shida
Acha utoto weweKuna bosi mmoja ni Muislamu mwenzetu alipozidiwa na uchawi ofisini akaliita jina la Yesu Ktisto na akapona
Nilipopata macho ya kiroho,Hapa wengi hawatakuelewa.
Na ndio ukweli.
Ili uisome na kuielewa Biblia ni lazima uvue macho ya Kifalsafa na kuvaa macho hai
Muujiza au wa kutoa mapepo haupo kwenye jina tu.yesu anasema "mkikaa ndani yangu nami ndani yenu lolote mtakaloliomba kwa jina langu baba atalifanya"Hivi hiyo miujiza ipo kwenye jina kama jina au haijalishi ni jina gani unatumia ilimradi tu ni huyo unayemkusudia? Maana mie naona kuna majina mengi tofauti, huyu anasema Jesus linamiujiza na yule anasema Yesu lina miujiza n.k
Ni Kweli, Huwa wanakuja kuombewa, wengine Kwa SiriAcha utoto wewe
Acha utotoNi Kweli, Huwa wanakuja kuombewa, wengine Kwa Siri
Kitendo cha kutumia "issa" kiroho maana yake huyo yuko nje ya yesu na hawezi access hiyo power iliyoko ndani ya jina la yesuHivi mtu akitaka kutoa pepo kwa kutumia jina la Isa kwa kukusudia Yesu je pepo halitotoka mpaka aseme Yesu au Jesus?
Wapunga Pepo ni Waganga wa kiebyeji na wauza majini, nadhani wawafahamu.Yale matangazo ya VIWETE watatembea! VIPOFU wataona! MABUBU wataongea! Siku hizi hakuna tumebaki TUNAPUNGA MAPEPO!....
Sio bangI mkuu,Acha utoto
Sasa mbona kuna mtu humu kasema kuna muislamu katamka tu jina la Yesu kapona uchawi? Inaonyesha jina kama jina lenyewe ndio lenye miujiza ukilimtamka tu.Muujiza au wa kutoa mapepo haupo kwenye jina tu.yesu anasema "mkikaa ndani yangu nami ndani yenu lolote mtakaloliomba kwa jina langu baba atalifanya"
Neno"mkikaa"ni condition of certification ya kutumia mamlaka ya jina la yesu.ili uweze ku access power iliyoko ndani ya jina la yesu basi lazima uwe ndani ya yesu na yeye awe ndani yako.
Maryam alimuita mwanae yesu?..kama hapana,jina lipi litakimbiza pepo Kati ya yesu na yahshua aliloitwa na mama yake?Kitendo cha kutumia "issa" kiroho maana yake huyo yuko nje ya yesu na hawezi access hiyo power iliyoko ndani ya jina la yesu
Kunufaika na yesu katika nini!?Sio bangI mkuu,
Wanufaika wa yesu ni wengi kuliko unaowaona makanisani na mungu hana tatizo kama mioyo yao imeshamuelekea kristo.
Acha fix hizo mkuu,,,Wapunga Pepo ni Waganga wa kiebyeji na wauza majini, nadhani wawafahamu.
Nimeona viziwi wa Kuzaliwa wakiponywa Kwa Jina la YESU.
Ili umtoe Pepo aliye ndani ya mtu, sharti wewe usiwe na Pepo, uwe na Roho mtakatifu ndani Yako.Hivi mtu akitaka kutoa pepo kwa kutumia jina la Isa kwa kukusudia Yesu je pepo halitotoka mpaka aseme Yesu au Jesus?
Maneno yaliyo kwenye blacket ni muhimu sana maana hata Yesu mwenyewe hakuwahi kusema yeye ndiye Mungu. Siku zote alisema anafanya yale aliyotumwa na baba yake na wakati mwingine aliomba nguvu kutoka kwa Mungu akionyesha kuna mkuu na mwenye nguvu zaidi yakeMitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, kuponya waliorogwa/uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza.
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
Wanatoka vzuri niliwahi huzuria tamasha kama hilo bombeyi linatoka sanaHilo jina linafukuza viumbe wa kufikirika (imaginary) huku Africa tuu embu jaribu kumtoa pepo Donald Trump au wazungu wengine na Wahindi au Wachina kwa jina la Yesu
Unahitaji kujifunza center of relation kati ya mungu na roho ya mtu ni moyo.kama moyo wa mtu ameshautoa kumuamini yesu haijalishi anavaa mavazi yanayomnadi kuwa ni wa dini fulani,akiliitia jina la bwana kwa imani atapata muujiza.Sasa mbona kuna mtu humu kasema kuna muislamu katamka tu jina la Yesu kapona uchawi?
Ni kwamba imani ipo kwa Yesu ila anatumia jina la Isa, au kwamba ni lazima tu utumie Yesu au Jesus?Kitendo cha kutumia "issa" kiroho maana yake huyo yuko nje ya yesu na hawezi access hiyo power iliyoko ndani ya jina la yesu