Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Hahaaa biblia inasema asiye kinyume nasi basi yuko upande wetu.hii ni hekima ambayo inaleta maarifa
Yesu alikuja Kwa watu wote. Si wa wakristo pekee.

Islam wamuamini na kulitumia Jina la YESU huko huko msikitini Ili wapate uponyaji.

Ubarikiwe 🙏
 
Sasa kupeleka cholo kama sadaka ndio unaona ni Ibada hiyo?

Pesa ya kusaidia wajane na yatima utatoka wapi ikiwa mnatoa cholo🤔
HAhaha mimi najua wew ni nabii wakitapeli na ndio maana nakupiga na vitu vizito wasipopeleka hizo hela na hiyo kazi mnaacha siku hiyohiyo hahhahahaha kuna mwenzio huko anauza nyumba mbinguni kaoteshwa maana waumini wenu ni vichaa kama nyie wenyewe viongozi
 
Haya maneno huwa yanawakera watoto wa kiroho na wanaitazama biblia kama philosophical book

Ila ukijua kwamba biblia ni kitabu kilicho hai na inahitaji uwe hai kiroho ili kukisoma basi hutapata shida
Hapa wengi hawatakuelewa.
Na ndio ukweli.
Ili uisome na kuielewa Biblia ni lazima uvue macho ya Kifalsafa na kuvaa macho hai
 
Hapa wengi hawatakuelewa.
Na ndio ukweli.
Ili uisome na kuielewa Biblia ni lazima uvue macho ya Kifalsafa na kuvaa macho hai
Nilipopata macho ya kiroho,

Tangu mwanzo Hadi ufunuo, Anaongelewa Yesu tu, I was shocked🤔
 
Hivi hiyo miujiza ipo kwenye jina kama jina au haijalishi ni jina gani unatumia ilimradi tu ni huyo unayemkusudia? Maana mie naona kuna majina mengi tofauti, huyu anasema Jesus linamiujiza na yule anasema Yesu lina miujiza n.k
Muujiza au wa kutoa mapepo haupo kwenye jina tu.yesu anasema "mkikaa ndani yangu nami ndani yenu lolote mtakaloliomba kwa jina langu baba atalifanya"

Neno"mkikaa"ni condition of certification ya kutumia mamlaka ya jina la yesu.ili uweze ku access power iliyoko ndani ya jina la yesu basi lazima uwe ndani ya yesu na yeye awe ndani yako.
 
Hivi mtu akitaka kutoa pepo kwa kutumia jina la Isa kwa kukusudia Yesu je pepo halitotoka mpaka aseme Yesu au Jesus?
Kitendo cha kutumia "issa" kiroho maana yake huyo yuko nje ya yesu na hawezi access hiyo power iliyoko ndani ya jina la yesu
 
Yale matangazo ya VIWETE watatembea! VIPOFU wataona! MABUBU wataongea! Siku hizi hakuna tumebaki TUNAPUNGA MAPEPO!....
Wapunga Pepo ni Waganga wa kiebyeji na wauza majini, nadhani wawafahamu.

Nimeona viziwi wa Kuzaliwa wakiponywa Kwa Jina la YESU.
 
Muujiza au wa kutoa mapepo haupo kwenye jina tu.yesu anasema "mkikaa ndani yangu nami ndani yenu lolote mtakaloliomba kwa jina langu baba atalifanya"

Neno"mkikaa"ni condition of certification ya kutumia mamlaka ya jina la yesu.ili uweze ku access power iliyoko ndani ya jina la yesu basi lazima uwe ndani ya yesu na yeye awe ndani yako.
Sasa mbona kuna mtu humu kasema kuna muislamu katamka tu jina la Yesu kapona uchawi? Inaonyesha jina kama jina lenyewe ndio lenye miujiza ukilimtamka tu.
 
Kitendo cha kutumia "issa" kiroho maana yake huyo yuko nje ya yesu na hawezi access hiyo power iliyoko ndani ya jina la yesu
Maryam alimuita mwanae yesu?..kama hapana,jina lipi litakimbiza pepo Kati ya yesu na yahshua aliloitwa na mama yake?
 
Hivi mtu akitaka kutoa pepo kwa kutumia jina la Isa kwa kukusudia Yesu je pepo halitotoka mpaka aseme Yesu au Jesus?
Ili umtoe Pepo aliye ndani ya mtu, sharti wewe usiwe na Pepo, uwe na Roho mtakatifu ndani Yako.

Na ikiwa huamini uungu wa Yesu, Roho mtakatifu hawezi kuwa ndani Yako.

Ukiamini Yesu ni Mungu, utapokea Roho mtakatifu atakayekupa mamlaka ya kutumia Jina la YESU.

Practice huko huko ndani ya Uislam, kemea Pepo na majini Kwa Jina la YESU yatatoka, ubarikiwe!!
 
Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.

Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, kuponya waliorogwa/uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba, na mengine mengi ambayo wachawi hawakuyaweza.
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe aliyepewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na hata kufukuza mapepo nk.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
Maneno yaliyo kwenye blacket ni muhimu sana maana hata Yesu mwenyewe hakuwahi kusema yeye ndiye Mungu. Siku zote alisema anafanya yale aliyotumwa na baba yake na wakati mwingine aliomba nguvu kutoka kwa Mungu akionyesha kuna mkuu na mwenye nguvu zaidi yake
 
Hilo jina linafukuza viumbe wa kufikirika (imaginary) huku Africa tuu embu jaribu kumtoa pepo Donald Trump au wazungu wengine na Wahindi au Wachina kwa jina la Yesu
Wanatoka vzuri niliwahi huzuria tamasha kama hilo bombeyi linatoka sana
 
Sasa mbona kuna mtu humu kasema kuna muislamu katamka tu jina la Yesu kapona uchawi?
Unahitaji kujifunza center of relation kati ya mungu na roho ya mtu ni moyo.kama moyo wa mtu ameshautoa kumuamini yesu haijalishi anavaa mavazi yanayomnadi kuwa ni wa dini fulani,akiliitia jina la bwana kwa imani atapata muujiza.
Kuna waislamu wana mahubiri kwenye simu,kwaya,biblia na wanatoa sadaka kwa njia ya mitandao na wanashika kweli kanuni za upendo wa kristo ila kwa nje wanavaa kanzu,juba,nikabu,baraghashia.hawa kibiblia technically wanaitwa wanafunzi wa yesu ila wa siri hata nyakati za yesu walikuwapo.
Huyu akiomba kwajina la yesu lazima apokee muujiza maana ndiko moyo wake ulipo
 
Kitendo cha kutumia "issa" kiroho maana yake huyo yuko nje ya yesu na hawezi access hiyo power iliyoko ndani ya jina la yesu
Ni kwamba imani ipo kwa Yesu ila anatumia jina la Isa, au kwamba ni lazima tu utumie Yesu au Jesus?
 
Back
Top Bottom