Hili Andiko umelipata wapiAsante sana umeeleza vyema. Wengi wanachanganya sana hawajui jina Mungu ni cheo (nomino ya kawaida) kama kusema Baba ,Rais ,kiongozi, mheshimiwa nk.
Lakini jina YESU ni jina specific la MUNGU muumba wa vyote.
Ndio maana hatukemei pepo kwa jina la Mungu bali kwa jina la YESU KRISTO.
HAKIKA MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDILO JINA LAKE.
Amen.
Ni wazi kuwa we ushazoea kutapeliwa na wasaka umaarufu. Ushawahi kuona daktari ana-record mahojiano yake na mgonjwa wake na kuyafanya public? where is doctor patient confidentiality?Weka video tafadhali 🙏
Ana U-Tube channel nione huduma yake?
Yaani nimwache Yesu Kisha nimfuate mpunga Pepo Kweli🤔Umeona ndio maana nikakwambia wenzio sio wapiga kelele kama vichaaa mfuate na sio unataka video
Muda wa adhabu ya milele ya shetani na mapepo Bado ,ni Hadi ifike siku ya mwisho.Hivi kwanini hilo jina lisiue kabisa hizo pepo badala yake linafukuza tu kama kuku na mapepo yanarejea?
Kila siku wachungaji wanafukuza mapepo lakini hayaishi?!
Mpaka hapa umethibitisha ukichaa wako kwaheri>!Yaani nimwache Yesu Kisha nimfuate mpunga Pepo Kweli🤔
Matibabu Si Siri, ndio maana Matendo ya miujiza ya Yesu alifanya hadharani na habari zikaandikwa.Ni wazi kuwa we ushazoea kutapeliwa na wasaka umaarufu. Ushawahi kuona daktari ana-record mahojiano yake na mgonjwa wake na kuyafanya public? where is doctor patient confidentiality?
Hakuna tiba ya maonesho katika Ruqya! una shida nenda kasomewe, na kama ni mwanamke nenda na mumeo ama ndugu zako ili ukipandisha mashetani wakushike, Shekhe hashiki mke watu kwa kigezo cha tiba sasa vp unategemea amuanike mtu kwenye youtube!?
Uko sawa kabisa,Mpaka hapa umethibitisha ukichaa wako kwaheri>!
Kwahiyo Ukisikia Mungu Baba huelewi kuwa Baba ni Jina au title ya uanzilishi?Hili Andiko umelipata wapi
We uko sawa kweli au napoteza muda wangu tu? matibabu ni faragha ya mtu hata hospitalini matibabu ya watu hayaanikwi kwa yeyote!Matibabu Si Siri, ndio maana Matendo ya miujiza ya Yesu alifanya hadharani na habari zikaandikwa.
Huyo anayetibu sirini ni mganga kama Waganga wengine wa kiebyeji
Na anasoma Dua Kwa Jina lipi?
Kwani pia si kuna Mungu Mwana?Kwahiyo Ukisikia Mungu Baba huelewi kuwa Baba ni Jina au title ya uanzilishi?
Hujui Baba analo Jina?
Mbona unefungwa uelewa?
Mungu ni mmoja na YESU KRISTO ndilo jina lake.Kwani pia si kuna Mungu Mwana?
Hili Andiko umelitoa wapi?Mungu ni mmoja na YESU KRISTO ndilo jina lake.
Akiwa katika nafasi ya uumbaji tunasema Mungu Baba, akiwa katika nafasi ya ukombozi wa mwanadam tunamuita Mungu mwana (YESU).
Akiwa katika nafasi ya kufundisha kuufunulia ulimwengu juu ya siri zake tunamwita ROHO MTAKATIFU.
Mungu ni mmoja hakika
Amen!
Biblia takatifu .Hili Andiko umelitoa wapi?
Ni kama tu KunaKwani pia si kuna Mungu Mwana?
Kuna dini wanaabudu nayo,Alieumba mbigu na ardhi ...ndio alie waumba malaika na mapepo na wanyama na binadamu
Hakuna dini iliyoleta mapepo wala majini
Wakristo mnajisahau xnaa