Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Hili Andiko umelipata wapiAsante sana umeeleza vyema. Wengi wanachanganya sana hawajui jina Mungu ni cheo (nomino ya kawaida) kama kusema Baba ,Rais ,kiongozi, mheshimiwa nk.
Lakini jina YESU ni jina specific la MUNGU muumba wa vyote.
Ndio maana hatukemei pepo kwa jina la Mungu bali kwa jina la YESU KRISTO.
HAKIKA MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDILO JINA LAKE.
Amen.