Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Asante sana umeeleza vyema. Wengi wanachanganya sana hawajui jina Mungu ni cheo (nomino ya kawaida) kama kusema Baba ,Rais ,kiongozi, mheshimiwa nk.
Lakini jina YESU ni jina specific la MUNGU muumba wa vyote.
Ndio maana hatukemei pepo kwa jina la Mungu bali kwa jina la YESU KRISTO.

HAKIKA MUNGU NI MMOJA NA YESU KRISTO NDILO JINA LAKE.

Amen.
Hili Andiko umelipata wapi
 
Hivi kwanini hilo jina lisiue kabisa hizo pepo badala yake linafukuza tu kama kuku na mapepo yanarejea?
Kila siku wachungaji wanafukuza mapepo lakini hayaishi?!
 
Weka video tafadhali 🙏

Ana U-Tube channel nione huduma yake?
Ni wazi kuwa we ushazoea kutapeliwa na wasaka umaarufu. Ushawahi kuona daktari ana-record mahojiano yake na mgonjwa wake na kuyafanya public? where is doctor patient confidentiality?

Hakuna tiba ya maonesho katika Ruqya! una shida nenda kasomewe, na kama ni mwanamke nenda na mumeo ama ndugu zako ili ukipandisha mashetani wakushike, Shekhe hashiki mke watu kwa kigezo cha tiba sasa vp unategemea amuanike mtu kwenye youtube!?
 
Hivi kwanini hilo jina lisiue kabisa hizo pepo badala yake linafukuza tu kama kuku na mapepo yanarejea?
Kila siku wachungaji wanafukuza mapepo lakini hayaishi?!
Muda wa adhabu ya milele ya shetani na mapepo Bado ,ni Hadi ifike siku ya mwisho.

Ndio maana yanafukuzwa, ingawa kufa mapepo huuliwa pia ukitamka iwe hivyo Inakua.
 
Ni wazi kuwa we ushazoea kutapeliwa na wasaka umaarufu. Ushawahi kuona daktari ana-record mahojiano yake na mgonjwa wake na kuyafanya public? where is doctor patient confidentiality?

Hakuna tiba ya maonesho katika Ruqya! una shida nenda kasomewe, na kama ni mwanamke nenda na mumeo ama ndugu zako ili ukipandisha mashetani wakushike, Shekhe hashiki mke watu kwa kigezo cha tiba sasa vp unategemea amuanike mtu kwenye youtube!?
Matibabu Si Siri, ndio maana Matendo ya miujiza ya Yesu alifanya hadharani na habari zikaandikwa.

Huyo anayetibu sirini ni mganga kama Waganga wengine wa kiebyeji

Na anasoma Dua Kwa Jina lipi?
 
Mpaka hapa umethibitisha ukichaa wako kwaheri>!
Uko sawa kabisa,

Mtu wa Giza aliye na mapepo, Mimi kuniona KICHWA, hajakosea kabisa maana Nuru na Giza kamwe havichangamani.

Karibu nuruni. Amen
 
Hakuna mtu anayetumia jina la Yesu kufukuza mapepo wale wote wanaodanganya watu kwamba wanatumia jina la Yesu kufukuza mapepo ni Wachawi na majizi(matapeli)tu.
 
Matibabu Si Siri, ndio maana Matendo ya miujiza ya Yesu alifanya hadharani na habari zikaandikwa.

Huyo anayetibu sirini ni mganga kama Waganga wengine wa kiebyeji

Na anasoma Dua Kwa Jina lipi?
We uko sawa kweli au napoteza muda wangu tu? matibabu ni faragha ya mtu hata hospitalini matibabu ya watu hayaanikwi kwa yeyote!

Pili ndo pale niliposema wewe unakosa elimu sahihi! ... huwezi hata kutofautisha kati ya miujiza na simulizi inayoelezea miujiza! kweli Yesu alifanya miujiza kama ambavyo walifanya mitume mingi kabla yake lakini muujiza ni kwa yule aliyeshuhudia sio wewe ulio simuliwa! Hii ndo sababu Yesu alipokuja hakusimulia miujiza ya Musa bali alifanya yake!

Ili muujiza uwe wako ni lazima uushuhudie wewe mwenyewe! ... ndo pale sisi waislamu tunapokuwa na utulivu wa nafsi kwa kuwa muujiza ulioletwa na Mtume Muhammad (SAW) bado tupo nao na tunaushuhudia (Quran). The fact that what was said inathibitishwa na sayansi karne 14 baadae, and several other evidences in it proving that it can only be coming from the creator of heaven and earth, muujiza unapswa uwe na sifa hizo kaka, sio simulizi tu za asiejulikana nani anaesimulia.
 
Kwani pia si kuna Mungu Mwana?
Mungu ni mmoja na YESU KRISTO ndilo jina lake.
Akiwa katika nafasi ya uumbaji tunasema Mungu Baba, akiwa katika nafasi ya ukombozi wa mwanadam tunamuita Mungu mwana (YESU).
Akiwa katika nafasi ya kufundisha kuufunulia ulimwengu juu ya siri zake tunamwita ROHO MTAKATIFU.

Mungu ni mmoja hakika
Amen!
 
Hili Andiko umelitoa wapi?
 
Kwani pia si kuna Mungu Mwana?
Ni kama tu Kuna

Mwili NAFSI na Roho. Mtu ni MMOJA yule yule

Baba, neno na Roho mtakatifu Bado anabaki Mungu Mmoja, Si watatu.

Ukielewa Hilo hutapa mkanganyiko.
 
Alieumba mbigu na ardhi ...ndio alie waumba malaika na mapepo na wanyama na binadamu
Hakuna dini iliyoleta mapepo wala majini
Wakristo mnajisahau xnaa
 
Alieumba mbigu na ardhi ...ndio alie waumba malaika na mapepo na wanyama na binadamu
Hakuna dini iliyoleta mapepo wala majini
Wakristo mnajisahau xnaa
Kuna dini wanaabudu nayo,

Hao ndio wanaoleta shida duniani Badala ya kuungana na wakristo kutakemea Kwa Jina la YESU kuyafukuza.
 
Sijasoma comments zenu,ila nishuhudie jambo, nimewahi fukuza Pepo kwa kutumia jina la Mungu ,nilikuwa namuombea mtu,nikamkumbusha Mungu maajabu aliyoyafanya,ikiwemo Ile nguvu ya Elia na manabii wa baali mia nne, nikagusia nguvu ya Mungu na ujiti wa Musa Kisha nikamalizia na kifungu ambacho Mungu mwenyewe alijitambulisha kama yehova, Mungu wa vita,,,,,baada ya hapo,nilichokishuhudia ndio msukumo wa Mimi kulog-in Sasa hivi, maana nilikuwa nasoma kama guest user
 
Back
Top Bottom