Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Kwani Yesu anaitwa nani jina lake la ukweli alilopewa na wazazi wake ambalo alikuwa akiitwa anaitika?
 
Wewe nae ndo umeongea ujinga tu
 
Biblia Isaya 9: 6; Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. "
Kwa kifupi Yesu ni Mungu na alikuja duniani kwa mfano wa binadamu na ndio maana wayahudi wengi walimkataa kwasababu walitegemea ujio wa Mungu ungekuwa wa kipekee lakini Mungu akaja kwa style hiyo ili neno lake litimie. Wengi walikuja kuamini ktk kifo na kufufuka kwake kama ilivyoandikwa katka vitabu vya dini na manabii waliotangulia.
Biblia, marko 17:17; Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya"
Kama kweli yesu hakuwa Mungu ni kitu gani isipokuwa mungu chenye uwezo huo?
 
Unaweza kuandika vizuri zaidi ya hivi ulivyoandika man

Hivi nani aliwajaza ujinga kwamba Yesu ni Mungu au ni sawa na Mungu?Yesu katika masimulizi ya bible alikufa.Je,Mungu aliwahi kufa.Yesu ni mwana wa Daudi kwa ahadi katika ufalme.Je,Mungu ni wa ukoo wa Daudi? Yesu kazaliwa na bikra Maria kwa uwezo wa roho mtakatifu.Je,Mungu alizaliwa?.

Allah sio shetani man jaribu kuheshimu imani za watu haitapunguza au kuongeza chochote katika safari yako hapa duniani

Asante
 
Huwa hamkosi cha kuandika na kujitetea..
 
Ubarikiwe 🙏

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA LAKE. AMEN.
 
Kakika kuran imeadikwa yesu atakuja kuuhukumu ulimwengu, je ni nani mwenye mamlaka ya kuhukumu ulimwengu au wanadamu?
 
Kwenye TV, lakin huku mtaani halina maajabu

Pia jina limeshindwa kuonyesha uwezo kwa kuwaletea watanzania kiongozi alie chaguo la Mungu badala yake SHETANI ndo kashikilia mamlaka ya kuteua viongozi wa taifa letu TANZANIA
 
Kuheshimu iman za mtu/watu si maana ya kukubali huyo allah si shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…