ngoja ngoja
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 673
- 1,526
Mbona. Hata kwa jina langu pepo linatoka unataka jibu gani tenaMbona swali hapo juu halijibiwi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona. Hata kwa jina langu pepo linatoka unataka jibu gani tenaMbona swali hapo juu halijibiwi?
Waitwa nani weye!!Mbona. Hata kwa jina langu pepo linatoka unataka jibu gani tena
Na nikupe elimu tu wote sio wapumbavu mpaka waanze kupiga kelele kama wehu.Mbona swali hapo juu halijibiwi?
Kwani Yesu anaitwa nani jina lake la ukweli alilopewa na wazazi wake ambalo alikuwa akiitwa anaitika?Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Hapa nimepata jibu kumbe ni wake manabii wakitaperi hingera mimi natumia jina kangu mkuu na mapepo yana kimbiaWaitwa nani weye!!
Tumia Jina YESU kama funguo ya matatizo yote yanayokutatiza.
Karibu
Jibu swali hapo juu.Na nikupe elimu tu wote sio wapumbavu mpaka waanze kupiga kelele kama wehu.
Wewe nae ndo umeongea ujinga tuUnaposema Yesu unamaanisha Mungu aliye hai kwa hiyo lazima mapepo majini na vyote vya giza vitii jina hilo maana kwanza vimeumbwa na yeye ila baadae viliasi. allah ni shetani ibilisi kwa hiyo shetani hawezi kufukuza majini, mapepo ila anaweza yatuliza kwa muda. Ndiyo maana aliyepagawa na mapepo akienda kwa sheikh, sheikh anachokifanya ni kumtupia huyu aliyepagawa na mapepo mapepo mengine yenye nguvu zaidi yatakayoweza kuyatuliza hayo yaliyopo awali kwa aliyepagawa.
Biblia Isaya 9: 6; Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. "Salaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Unaweza kuandika vizuri zaidi ya hivi ulivyoandika manUnaposema Yesu unamaanisha Mungu aliye hai kwa hiyo lazima mapepo majini na vyote vya giza vitii jina hilo maana kwanza vimeumbwa na yeye ila baadae viliasi. allah ni shetani ibilisi kwa hiyo shetani hawezi kufukuza majini, mapepo ila anaweza yatuliza kwa muda. Ndiyo maana aliyepagawa na mapepo akienda kwa sheikh, sheikh anachokifanya ni kumtupia huyu aliyepagawa na mapepo mapepo mengine yenye nguvu zaidi yatakayoweza kuyatuliza hayo yaliyopo awali kwa aliyepagawa.
Huwa hamkosi cha kuandika na kujitetea..Mitume kila mmoja alitumwa duniani kwa kazi maalum
Yesu alitumwa duniani kipindi ambacho watu walikuwa wana amini uchawi, na kumuasi Mungu.
Mungu akaona atume mjumbe ampe nguvu ya kufanya zaidi ya wachawi ili wamwani Mungu.
Yesu akapewa uwezo, wa kufukuza mapemo, uchawi na hata kuponya magonjwa ambayo yalikuwa hayana tiba
Na ndio sababu ukitumia jina la Yesu ambaye ndiye mjumbe alipewa hiyo nguvu, unaweza kuponya na kufukuza mapepo.
(Kwa bahati mbaya, watu waka mwamini kuwa Yesu ndiye Mungu badala ya Kumuamini Mungu aliyemtuma)
Aliyekufunulia Siri hii, ni Mungu aliye juu ya yote.Yesu ni Mungu,Yesu ni Yehova,Yesu ni Yeye Yule Jana na hata milele (Mwenye sifa hizo mi Mungu pekee) ,Yesu ni Mungu!
Muite Arsis wako.Itoshe kusema kwamba mtoa mada ni serengeti wa mwamposa📌🔨
Ubarikiwe 🙏Biblia Isaya 9: 6; Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani. "
Kwa kifupi Yesu ni Mungu na alikuja duniani kwa mfano wa binadamu na ndio maana wayahudi wengi walimkataa kwasababu walitegemea ujio wa Mungu ungekuwa wa kipekee lakini Mungu akaja kwa style hiyo ili neno lake litimie. Wengi walikuja kuamini ktk kifo na kufufuka kwake kama ilivyoandikwa katka vitabu vya dini na manabii waliotangulia.
Biblia, marko 17:17; Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya"
Kama kweli yesu hakuwa Mungu ni kitu gani isipokuwa mungu chenye uwezo huo?
Kakika kuran imeadikwa yesu atakuja kuuhukumu ulimwengu, je ni nani mwenye mamlaka ya kuhukumu ulimwengu au wanadamu?Unaweza kuandika vizuri zaidi ya hivi ulivyoandika man
Hivi nani aliwajaza ujinga kwamba Yesu ni Mungu au ni sawa na Mungu?Yesu katika masimulizi ya bible alikufa.Je,Mungu aliwahi kufa.Yesu ni mwana wa Daudi kwa ahadi katika ufalme.Je,Mungu ni wa ukoo wa Daudi? Yesu kazaliwa na bikra Maria kwa uwezo wa roho mtakatifu.Je,Mungu alizaliwa?.
Allah sio shetani man jaribu kuheshimu imani za watu haitapunguza au kuongeza chochote katika safari yako hapa duniani
Asante
Kwenye TV, lakin huku mtaani halina maajabuSalaam, shalom!!
Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau.
Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa Jina la YEHOVA au Allah!!
Kwanini Jina YESU Lina nguvu kiasi hicho?
Karibuni🙏
Kuheshimu iman za mtu/watu si maana ya kukubali huyo allah si shetaniUnaweza kuandika vizuri zaidi ya hivi ulivyoandika man
Hivi nani aliwajaza ujinga kwamba Yesu ni Mungu au ni sawa na Mungu?Yesu katika masimulizi ya bible alikufa.Je,Mungu aliwahi kufa.Yesu ni mwana wa Daudi kwa ahadi katika ufalme.Je,Mungu ni wa ukoo wa Daudi? Yesu kazaliwa na bikra Maria kwa uwezo wa roho mtakatifu.Je,Mungu alizaliwa?.
Allah sio shetani man jaribu kuheshimu imani za watu haitapunguza au kuongeza chochote katika safari yako hapa duniani
Asante
Hata wewe ulipokuwa shuleni uliitwa mwanafunzi.Labda nikuulize vizuri jina la muhusika mwenyewe kabisa ni Nani? Maana kila inchi wanajina lake wakati mtu ni mmoja