gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Akamlilia mungu wakeNa stori zinasema mmiliki wa hilo jina alidanja kwa misumari.
Yani wanatuambia jina lake ni kinga lakini wanasahau kuwa huyo mwenye jina pia aliwahi kukutana na msala
Na hilo jina lake halikuweza kumsadia kuepuka misumari pale alipobananishwa kwenye angle za wayahudi.
Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje na mahubiri yao.
2025 ajaye ni mlawi.Kwenye TV, lakin huku mtaani halina maajabu
Pia jina limeshindwa kuonyesha uwezo kwa kuwaletea watanzania kiongozi alie chaguo la Mungu badala yake SHETANI ndo kashikilia mamlaka ya kuteua viongozi wa taifa letu TANZANIA
Mamlaka zimewekwa na Mungu kama ilivyo katika amali zingine kama ardhi, madini n.k lakini vyote aliambiwa shetani avimiliki kwa lengo maalumu ambalo mungu alikusudidia. Ndio maana vitu vizuri vyote utavipita kwa njia mbili Mungu au Shetani isipokuwa uzima wa milele huo unapatikana kwa mungu pekee. Chagua wewe njia sahihi ya kuvipata hivyo vitu yakiwemo madaraka. Jina la Yesu halishindwi kitu ila lazima uwe na imani thabiti.Kwenye TV, lakin huku mtaani halina maajabu
Pia jina limeshindwa kuonyesha uwezo kwa kuwaletea watanzania kiongozi alie chaguo la Mungu badala yake SHETANI ndo kashikilia mamlaka ya kuteua viongozi wa taifa letu TANZANIA
Hakika Mungu aliamua kumchukuws mapema maana alitisha we mtu adi covid 19 inakaaHata magufuli wanamuogopa sana. Kumbuka magu alikua akitoa maagizo daslam watu mpaka kigoma wanatetemeka. Lile jina lina nguvu mpaka kesho.
Baada ya kuona jina lake ni uselessAkamlilia mungu wake
Mungu ni MMOJA NAFSI Moja.Yesu kristo ni mwana WA Mungu nafsi ya pili ya utatu mtakatifu aliyejifanya mtu ili kuwakomboa wanadamu.....
Pepo hawezi mtoa Pepo mwenzie.Labda kwa kua ni jina huyo pepo mkubwa maana ,,kuna mwamba aliwahi leta uzi humu kua yesu lina maana ya lucifer na lucifer ni pepo linaloabudiwa na watu wa secret society
Yanatoka Kwa Sala na maombi kutumia funguo ya Jina lipi?kuna mapepo yanatoka kwa sala na maombi tu
Yanatoka Kwa Sala na maombi kutumia funguo ya Jina lipi?
Baba yetu uliye Mbinguni, JINA lako litukuzwe.Kwani Yesu alipofundisha sala alisema watu wasali kwa nani?
Baba yetu uliye Mbinguni, JINA lako litukuzwe.
Katika Sala, unalitaja Jina la Mungu ndipo Sala ifike na kusikizwa.
Jina la la Baba, Mwana na Roho MTAKATIFU ndilo YESU.
Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO/ YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Jina la baba ndilo YESU. Hulijui Hilo? Nikupe andiko?Kama unadhani BABA ndiye YESU basi kajifunze tena biblia
YEHOVA maana yake "Mwenyezi Mungu" ni Jina la office ya Mungu Si Jina personal la Mungu.Kwani Yesu na Yehova nani Mkuu ..
Mwenye hukumu ni Mungu. Yesu anakabidhiwa hukumu mbona unachanganya mambo kiongoziKakika kuran imeadikwa yesu atakuja kuuhukumu ulimwengu, je ni nani mwenye mamlaka ya kuhukumu ulimwengu au wanadamu?