Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Na stori zinasema mmiliki wa hilo jina alidanja kwa misumari.

Yani wanatuambia jina lake ni kinga lakini wanasahau kuwa huyo mwenye jina pia aliwahi kukutana na msala

Na hilo jina lake halikuweza kumsadia kuepuka misumari pale alipobananishwa kwenye angle za wayahudi.

Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje na mahubiri yao.
Akamlilia mungu wake
 
Kwenye TV, lakin huku mtaani halina maajabu

Pia jina limeshindwa kuonyesha uwezo kwa kuwaletea watanzania kiongozi alie chaguo la Mungu badala yake SHETANI ndo kashikilia mamlaka ya kuteua viongozi wa taifa letu TANZANIA
2025 ajaye ni mlawi.

Shukuru Kuzaliwa Nchi hii ya AGANO, Israel ya Rohoni ,Taifa takatifu.

Tusubiri.
 
Kwenye TV, lakin huku mtaani halina maajabu

Pia jina limeshindwa kuonyesha uwezo kwa kuwaletea watanzania kiongozi alie chaguo la Mungu badala yake SHETANI ndo kashikilia mamlaka ya kuteua viongozi wa taifa letu TANZANIA
Mamlaka zimewekwa na Mungu kama ilivyo katika amali zingine kama ardhi, madini n.k lakini vyote aliambiwa shetani avimiliki kwa lengo maalumu ambalo mungu alikusudidia. Ndio maana vitu vizuri vyote utavipita kwa njia mbili Mungu au Shetani isipokuwa uzima wa milele huo unapatikana kwa mungu pekee. Chagua wewe njia sahihi ya kuvipata hivyo vitu yakiwemo madaraka. Jina la Yesu halishindwi kitu ila lazima uwe na imani thabiti.
 
Labda kwa kua ni jina huyo pepo mkubwa maana ,,kuna mwamba aliwahi leta uzi humu kua yesu lina maana ya lucifer na lucifer ni pepo linaloabudiwa na watu wa secret society
 
Sisi Waafrika hakuna tunachoweza kufanya bali kila kitu tumaminishwa na watu weupe kuwa ni Bora!! Sisi tuliishi kwa amani enzi za ujima pasina matatizo yeyote! Walipoanza kuja weupe ndiyo shida ilipoanza!! Tumeaminishwa na tumeyabeba bila kutafakari kwa kina na tumebaki kubishania!! Tunaowahusudu na kuwanyenyekea walituua katika ardhi zetu bila makosa yeyote, kutunyanyasa na kutuona sisi hatufai kuishi kwa uhuru Bali kuwatumikia wao!! Mwenye nguvu kuliko wote na asiye na mshindani na yeyote angependa walio chini yake Haki na Usawa vitawale katika maisha yao ili wawe na amani na kumtambua yeye mwenye nguvu na sio kikundi cha wanyonge wawe Bora ya wenzao!
 
Labda kwa kua ni jina huyo pepo mkubwa maana ,,kuna mwamba aliwahi leta uzi humu kua yesu lina maana ya lucifer na lucifer ni pepo linaloabudiwa na watu wa secret society
Pepo hawezi mtoa Pepo mwenzie.

Na Hilo likitokea, ufalme huo utakuwa umefitinika.

Rudi darasani na ahsante Kwa mchango wako.
 
Kwani Yesu alipofundisha sala alisema watu wasali kwa nani?
Baba yetu uliye Mbinguni, JINA lako litukuzwe.

Katika Sala, unalitaja Jina la Mungu ndipo Sala ifike na kusikizwa.

Jina la la Baba, Mwana na Roho MTAKATIFU ndilo YESU.

Mungu ni MMOJA, na YESU KRISTO/ YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
 
Kwani Yesu na Yehova nani Mkuu ..
YEHOVA maana yake "Mwenyezi Mungu" ni Jina la office ya Mungu Si Jina personal la Mungu.

Ni sawa kusema Rais, ni Jina la office kuu ya nchi lakini Jina personal la Rais ni kingine na ni mamlaka Moja.

Mungu analo Jina personal tulilopewa WANADAMU litupasalo kuokolewa kwalo.

Jina Hilo la Mungu ni YESU.

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen.
 
Back
Top Bottom