Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Ni kwanini Jina la YESU linafukuza mapepo tofauti na Jina Allah au Yehova?

Yale matangazo ya VIWETE watatembea! VIPOFU wataona! MABUBU wataongea! Siku hizi hakuna tumebaki TUNAPUNGA MAPEPO!....
Kile ambacho hujawahi kuona ama kusikia haimanishi kwamba hakipo.miujiza inatendeka ila kwa kusudi maalumu la kuwaimarisha watakatifu waliopo na kujenga imani mpya kwa wasiomjua yesu na mungu ili wapate uzima wa milele
 
Nilipopata macho ya kiroho,

Tangu mwanzo Hadi ufunuo, Anaongelewa Yesu tu, I was shocked🤔
Yohana (Joh) 8:58
Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, "mimi niko"
Kutoka (Exo) 3:14
Mungu akamwambia Musa, "MIMI NIKO" AMBAYE NIKO; akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; "MIMI NIKO" amenituma kwenu.
Mwanzo 18:1... Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.
2 Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,
..........
hayo maandiko niliyo weka
yanathibitisha kauli yako.
"Mimi Niko" amenituma kwenu.
 
Unahitaji kujifunza center of relation kati ya mungu na roho ya mtu ni moyo.kama moyo wa mtu ameshautoa kumuamini yesu haijalishi anavaa mavazi yanayomnadi kuwa ni wa dini fulani,akiliitia jina la bwana kwa imani atapata muujiza.
Kuna waislamu wana mahubiri kwenye simu,kwaya,biblia na wanatoa sadaka kwa njia ya mitandao na wanashika kweli kanuni za upendo wa kristo ila kwa nje wanavaa kanzu,juba,nikabu,baraghashia.hawa kibiblia technically wanaitwa wanafunzi wa yesu ila wa siri hata nyakati za yesu walikuwapo.
Huyu akiomba kwajina la yesu lazima apokee muujiza maana ndiko moyo wake ulipo
Sasa hilo litawezekana vp kwamba mtu aamini Yesu halafu bado akabaki kuwa ni muislamu? Ni sawa na mtu aamini Allah na Muhammad halafu akabaki kuwa mkristo?
 
Maria aliyemzaa Yesu,alikuwa mwanafunzi wa Yesu na alimwamini Yesu, na Yuko Mbinguni.

Usitumie Jina Maria kukemea Pepo, hayo ni makufuru, Mariamu alikuwa mtu tu aliyeumbwa na NENO ambaye ndiye Yesu.

Jina ni Moja tu. YESU,

Mungu ni MMOJA na YESU KRISTO/YESHUA HAMASHIACH ndilo JINA lake. Amen
Hujui kitu. Nenda kawaulize professional exorcist wakwambie. Mapepo wanamuogopa balaa yani. Mungu kampa nguvu kubwa sana.
 
HAhaha mimi najua wew ni nabii wakitapeli na ndio maana nakupiga na vitu vizito wasipopeleka hizo hela na hiyo kazi mnaacha siku hiyohiyo hahhahahaha kuna mwenzio huko anauza nyumba mbinguni kaoteshwa maana waumini wenu ni vichaa kama nyie wenyewe viongozi
Mimi ni mtumishi wa Mungu wa Kweli.

Hadi wakati huu hujaona popote nikimtapeli mtu zaidi ya kuhubiri INJILI na kuwafahamisha watu umuhimu wa kulitumia Jina la YESU hata ndani ya uislamu Ili wapone huko huko wasihangaike kutangatanga huku na huko kutafuta msaada ilhali Jina la YESU lipo na linafanya KAZI Kwa ubora wa juu kabisa.
 
Ni kwamba imani ipo kwa Yesu ila anatumia jina la Isa, au kwamba ni lazima tu utumie Yesu au Jesus?
Ndiyo mkuu,mimi sio mtaalamu sana wa lugha ila kiroho yesu sio issa.katika utambulisho wa lugha ya kiswahili yesu anajulikana kama yesu tu na sio issa.
Kwahiyo kwa lugha yetu ya kiswahili kama ukiomba kwa jina la issa basi ina maana ya kitu kingine kabisa
Katika mathayo anasema "lolote mtakalolifunga/kukubaliana hapa duniani kwa ajili ya jina langu basi hata mbinguni limefungwa/limekubalika.
Sasa makubaliano ya jamii ya kitanzania au east africa kwa kiswahili yesu tunamwita yesu.ndo makubaliano yetu na mbinguni inajulikana hivyo na imefungwa hivyo.ukiomba tofauti basi utakutana na kitu kingine
 
Nuru na giza havikai pamoja,ukimuweka mtu nuruni basi hilo pepo litaondoka tu,na hatulibembelezi ni jina la yesu tu
Ndio unajuaje hebu elezea mtu aliyetokwa na pepo anakuaje au ni dalili zipi zenye kuonyesha pepo katoka?
 
Muujiza au wa kutoa mapepo haupo kwenye jina tu.yesu anasema "mkikaa ndani yangu nami ndani yenu lolote mtakaloliomba kwa jina langu baba atalifanya"

Neno"mkikaa"ni condition of certification ya kutumia mamlaka ya jina la yesu.ili uweze ku access power iliyoko ndani ya jina la yesu basi lazima uwe ndani ya yesu na yeye awe ndani yako.
Huyo aitwa Yesu au YESU haitwi yesu maana ni jina la kipekee.
 
Mimi ni mtumishi wa Mungu wa Kweli.

Hadi wakati huu hujaona popote nikimtapeli mtu zaidi ya kuhubiri INJILI na kuwafahamisha watu umuhimu wa kulitumia Jina la YESU hata ndani ya uislamu Ili wapone huko huko wasihangaike kutangatanga huku na huko kutafuta msaada ilhali Jina la YESU lipo na linafanya KAZI Kwa ubora wa juu kabisa.
Wewe ndiye ulisema mwezi May Daslam itamezwa na maji, watu wahame au sio wewe?😂
 
Hujui kitu. Nenda kawaulize professional exorcist wakwambie. Mapepo wanamuogopa balaa yani. Mungu kampa nguvu kubwa sana.
Acha Ujinga wewe.

Kuanzia mwanzo Hadi ufunuo, maria hajapewa mamlaka yoyote, ni mfuasi na mwanafunzi wa Yesu mtiifu.

Acheni uchawi wa kujaribu kumchagua Mariam aliyemzaa Yesu ambaye alimtii Na kumpenda na kumwamini Mungu.
 
Mimi ni mtumishi wa Mungu wa Kweli.

Hadi wakati huu hujaona popote nikimtapeli mtu zaidi ya kuhubiri INJILI na kuwafahamisha watu umuhimu wa kulitumia Jina la YESU hata ndani ya uislamu Ili wapone huko huko wasihangaike kutangatanga huku na huko kutafuta msaada ilhali Jina la YESU lipo na linafanya KAZI Kwa ubora wa juu kabisa.
HAhahahahhaah bado unataka kutapeli uliingia kwa masheikh ukaona hawatoi majini ukosefu wa elimu na maarifa ndio unao waponza wafuasi wenu! Kiongozi. Na usifikiri kila mtu ni mpiga kelele narudia sio kila mtu ni mpiga kelele kama kichaa
 
Kile ambacho hujawahi kuona ama kusikia haimanishi kwamba hakipo.miujiza inatendeka ila kwa kusudi maalumu la kuwaimarisha watakatifu waliopo na kujenga imani mpya kwa wasiomjua yesu na mungu ili wapate uzima wa milele
Sasa kama hakijaonekana si hakipo..
 
Kuna majini yasiopenda bangi ndio Huwa yanakimbia.

Ila yapo mapepo mavuta bangi hayo unayo😀

Ukitaka kuacha bangi, tumia Jina YESU kuyafukuza utarudi kuwa timamu tena.

Ubarikiwe 🙏
Alaa kumbe! Hivi kuna majini mengine yanapenda msuba kama kawaida eee 😄😄😄😄
 
Sasa hilo litawezekana vp kwamba mtu aamini Yesu halafu bado akabaki kuwa ni muislamu? Ni sawa na mtu aamini Allah na Muhammad halafu akabaki kuwa mkristo?
Katika vitu vimewafunga wengi ni tofauti ya dini na imani
Yesu wakati anakuja alikuta DINI ipo au ZIPO yeye alileta IMANI.
Kwahiyo kama umemwamini yesu kama bwana na mwokozi wako basi haijalishi uko wapi na nani,una rangi gani ila kiroho wewe ni wa yesu na utaweza kutumia nguvu iliyoko ndani ya jina la yesu
 
Wewe ndiye ulisema mwezi May Daslam itamezwa na maji, watu wahame au sio wewe?😂
Mungu alitumia ujumbe kuahirisha jambo Hilo Kutokea baada ya TOBA ya watu kusikia na nilileta Uzi huo humu.

Mungu hasemi uongo. Ungependa nikutag kuhusu ujumbe wa Mungu kuahirisha kuangamia dar Kwa muda kabla ya deadline?
 
Sasa hilo litawezekana vp kwamba mtu aamini Yesu halafu bado akabaki kuwa ni muislamu? Ni sawa na mtu aamini Allah na Muhammad halafu akabaki kuwa mkristo?
Wapo wamwaminio Yesu ndani ya uislamu na wamebaki huko na wanafanya Ibada ya Kweli kiroho na wapo huko, Mungu kawaficha huko huko.
 
Wewe ndiye ulisema mwezi May Daslam itamezwa na maji, watu wahame au sio wewe?😂
Kuna kitu hujui mkuu,mungu hajawahi kuleta maangamizi bila ONYO.
JAMII ilipata onyo na wakapatikana watu wachache wa kwenda mbele za mungu kwa jina la yesu wakaomba REHEMA basi hiyo jamii itapona kwenye maangamizi hata kama haijabadilika.
REHEMA inafunua NEEMA za mungu.MSAMAHA WA DHAMBI ni sehemu ya NEEMA
 
Alaa kumbe! Hivi kuna majini mengine yanapenda msuba kama kawaida eee 😄😄😄😄
Yapo majini Hadi yanayokula kinyesi, na yapo majini yanayovaa kanzu nyeupee, masafi Kweli Kweli yanahudhuria msikitini ingawa yote ni ya ufalme wa Giza.
 
Back
Top Bottom