The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hili swali huwa najiuliza sana pasi na kupata majibu. Niwaombe wanabodi kwa utulivu kabisa mnisaidie kujua nini kiini cha hali hii!
Ni takrinani kwenye majimbo mengi yaliyowahi kuongozwa na wapinzani, ni walewale walioongoza huko nyuma wana nafasi kubwa sana ya kugombea tena hizo nafasi na pengine hata kushinda.
Mf. Msigwa , Sugu , Lema , Mbowe , Kiwanga , Wenje , Zito ,Bwege , Mnyika , nk hapo nimeacha tu wale wadada waliojichanganya ambao hawatabiriki Kwa sasa ingawa nao bado wangekuwa hawajajivuruga walikuwa na nafasi kubwa sana za kushinda kwenye majimbo yao.
Hali Iko hivyo pia Kwa baadhi ya vyama juu ya wagombea urais unakuta mgombea ni huyohuyo mihula yote.
Sababu yaweza kuwa nini hasa?
Je
Vyama havina mkakati wa kuibua viongozi wapya?
Je ni Kwa sababu ya ubora wahao viongozi Kwa maana ya kwamba ni bora hawana mbadala?
Je ni Kwa sababu ya kukandamizwa wanaoibukia?
Je ni Kwa sababu ya uwekezaji wao mkubwa ndani ya vyama Kwa hiyo wako hapo kulipwa fadhila?
Au ni jambo la kawaida tu hamna shida.