Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

Hata mbunge wa ubungo ...ambaye pia ni waziri ..kiasili ni mtu wa moshi kitila mkumbo
 
Daa kuna upendeleo hapa naona. Kuna waziri anatokea Lindi,mtwara ,mbeya rukwa katavi morogoro singida ama taboara.hebu mlikeni huko muone kama Umepata mwakilishi serikalini
 
Wachaggaa hatutakii taaa,kujiwa bwaksiii na mbege zetu zinazingua
 

Shukuru hizo taa hazipo maana ni kero kwa maeneo walikoziweka, by the way hizo roundabouts mlizonazo wekeni nyingine nyingi, jifunze toka Ubungo mataa wakati wakijenga FO
 
Corner ya Majengo Police,Plaza Cinema,Junction ya kwenda Bonite Mama Changbay,Mahakama ya Mkoa Jct na Corner ya Uru Rd. Njiapanda HimoPanahitaji... Traffic Lights...
 
Si rahisi kwa magu kufanya chochote cha maendeleo Moshi, sababu anazijua mwenyewe.
 
Moshi mji mdogo huwezi linganisha na singida au shytown..
 
ongezea Musoma + shinyanga + kigoma
 
Nafikiri Moshi ilitakiwa kuwa makao makuu ya Nchi.
umeandika kama utani ila ukweli ni huu watu wasiojua.Mkoa wa Kilimanjaro watawala wetu walitaka upewe uhuru wake kutokana na watu wake kuwa na mwanga sana kielimu.Mkoa wa kilimanjaro wana wimbo wao wa kitaifa(kimkoa).Nyerere alivyokuwa mjanja sana na kuona mbali akaogopa mgawanyiko alichofanya akamuingiza chief Mareale kwenye TANU akawa amemmaliza kabisa.Pengine leo hii Kilimanjaro ingekuwa kataifa kadogo ndani ya taifa kubwa la Tanzania kama ilivyo Lesotho ilivo ndani ya Africa kusini
 
Eneo la lower Moshi kuja Himo na kwenda Kia linatosha kuufanya mji Moshi kuwa mkubwa kuliko jiji la Dar. Sio lazima upanuzi uende milimani, kule tayari ni kama mjini kwa population density iliyopo tena ni maeneo ya luxury kwa uzuri wake na hali ya hewa nzuri mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…