kitila mkumbo ni msingida mkuu.Hata mbunge wa ubungo ...ambaye pia ni waziri ..kiasili ni mtu wa moshi kitila mkumbo
Swali la kijinga hili, tupe vigezo vya magari kwa maeneo ambayo mataa yamewekwa...Sasa moshi kuna magari gani mpaka waweke taa?
Stend mpya hiyo ujenzi unaendelea... Mkandarasi anadai malipo ya bilioni moja na ushee amalize kazi fasta....Anzeni kuomba kujengewa stend kwanza, inatia aibu
Stend imeanza na gharama zake ni zaidi ya 21 bilioni mkuu....Tuombe wakati hela tunazo??
Bilioni 17 zipo tayari na mradi umeshaanza stendi inajengwa karibu na Kiborloni.
Hata hivyo, stendi iliyopo ni nzuri ila inahitaji kuhamishiwa pembeni ya Mji
Stend imeanza na gharama zake ni zaidi ya 21 bilioni mkuu.... View attachment 1704765
Yan Moshi Hakuna magari? Unajua kuwa karibu nusu ya kampuni zote za mabasi Ni za watu wa Moshi? Na route MAMA Ni Moshi. ?Sasa moshi kuna magari gani mpaka waweke taa?
Cc"Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa inayoongoza kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara ukiondoa majiji machache yalioyopo Tanzania, hii ni kwa mujibu wa TARURA. www.tarura.go.tz
Nini kinashindikana kuziweka hizi taa?"
Mtoa mada kutoa jibu na swali lake kwa wakati mmoja.
Moshi kuna mtandao mzuri sana wa barabara, na ninakubaliana na TARURA na mleta mada.
Mimi binafsi nikitokea, mfano, barabara ya International School nikipita Round about/keep left ya Mahakamani, wakati wa kutoka mjini sina haja tena ya kurudi na njia hiyo maana huko mbele kuna njia si chini ya nne za kutoka.
Hakuna sehemu yenye uhitaji wa mataa kwa mji wa Moshi. Roand about zipo kila Kona, na barabara zimejotosheleza.
wanapenda mbege kuliko taa za barabaraniWakuu imebidi niuize ili nijue.
Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari.
Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa inayoongoza kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara ukiondoa majiji machache yalioyopo Tanzania, hii ni kwa mujibu wa TARURA. www.tarura.go.tz
Nini kinashindikana kuziweka hizi taa?
Moshi ya wapi, msingida yule.Hata mbunge wa ubungo ...ambaye pia ni waziri ..kiasili ni mtu wa moshi kitila mkumbo
Ni kweli mji wa Moshi hauna taa za barabarani licha ya kuwa mji muhimu unaoiunganisha kanda ya Kaskazini.Wakuu imebidi niuize ili nijue.
Ni kwanini mji wa Moshi ambao ndio makao makuu ya Mkoa wa Kilimanjaro hauna taa za kuongozea magari, ili hali miji midogo kama Singida, Shinyanga na Babati naona wameweka taa za kuongoza magari.
Ifahamike kuwa mpaka sasa Manispaa ya Moshi ndio manispaa inayoongoza kwa kuwa na mtandao mpana wa barabara ukiondoa majiji machache yalioyopo Tanzania, hii ni kwa mujibu wa TARURA. www.tarura.go.tz
Nini kinashindikana kuziweka hizi taa?