Mkoa ulikuwa na Airport ikafa
Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena
Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori
Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa
Ni mkoa ambao hauna hata stendi
Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa
Lawama hawawezi kupewa CCM, mikoa yote ipo chini ya CCM lakini ipo yenye afadhali