Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

WEWE UNAUMWA MAVI NA AKILI ZIMEKUTKA, miili mikubwa Tanzania ni mikoa gani na gani ? ni Mwanza, Shinyanga, Mbeya, bukoba, Musoma , Moshi , Arusha kote kuna maendeleo tena sana , miiili midogo ni Mtwara, Lindi, Songea, njombe ebu niambie huko wakoje kimaendeleo?
Ongezea na Dodoma. Ni giantism tu kule.
 
Nafikiria kama sanduku limeshindwa, maandamano yamebuma, uchawi na nuksi umeferi. hapa ni kwenda ana kwa ana, panga na marungu. policcm tuwatafutie ile dawa ya kinjengetile ya risas kuwa maji tutawafyeka kiulaini sana.
Una maana tupigane vita ya majimaji?
huo ni uchawi..nasiamini uchawi
umiza head kama umeshindwa niache nikavute kwanza ganja ntafute wazo jipya!
 
Ila kweli mara wana kamji kadogo sana, ukitembea kwa harakaharaka nusu saa unamaliza kamji kote

Ni kweli pia Hawana Stand KABISA

sijui pale kuna nini Wallah, labda ugali mwekundu wa mtama
 
WEWE UNAUMWA MAVI NA AKILI ZIMEKUTKA, miili mikubwa Tanzania ni mikoa gani na gani ? ni Mwanza, Shinyanga, Mbeya, bukoba, Musoma , Moshi , Arusha kote kuna maendeleo tena sana , miiili midogo ni Mtwara, Lindi, Songea, njombe ebu niambie huko wakoje kimaendeleo?
Taratibu mkuu 🤣
 
Sio kila lawama apewe ccm, Kuna mikoa mingi haina hata rasilimali nyingi na ipo chini ya ccm lakini kuna afadhali, stendi zipo, viwanja vipo, vyuo vipo, airport zipo, masoko ya kisasa yapo, huduma za maji wanajitahidi, n.k.
Miaka 65 almost ya uhuru wanaongoza CCM, nani alaumiwe kwa umaskini? hata mikoa unayosema iko afadhari ni hoi vibaya sana, fikiria miaka ya 80 Vietnam alikuwa maskini kuliko Tanzania,leo GDP yake 520 billion sisi 79 billions 🤔
 
miili mikubwa Tanzania ni mikoa gani na gani ? ni Mwanza, Shinyanga, Mbeya, bukoba, Musoma , Moshi , Arusha..
Ondoa Moshi hapo. Unakuta Mpare mwanaume mtu mzima wa miaka 50 ana urefu futi 3½ na uzito 35kg
miiili midogo ni Mtwara, Lindi, Songea, njombe
Usisahau Tanga kwenye hiyo orodha ya wafupi, au huwafahamu Wazigua?

Kurudi kwenye mada, mwandishi alimaanisha mkoa wa Mara (ramani).

Wa kalaumiwa hapa sio akina Mura wenye miili tembo, bali ni mafisadi ya Mbogamboga ambao nao wana miili mlima maana ni wazawa wa huko
 
Back
Top Bottom