LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
ni kwa riafande mura na GENTAMYCINENi mkoa gani huo wadau
wenye miili mikubwa km mimi?!
ni kwa riafande mura na GENTAMYCINENi mkoa gani huo wadau
wenye miili mikubwa km mimi?!
Basi mara ya kwanza kumuona huyo jamaa nilitaka kukimbia ila nikajikazaKama ulikuwa hujui Mara ndio wanaongoza kwa miili mikubwa hasa urefu, Hapa nchini mtu mrefu zaidi ni wa huko Mara ni mugizaji yupo kwenye video ya Rose Muhando
View attachment 3533125
Usinifananishe na vitu vya ajabu mkuu.
Huwezi iondoa CCM kwenye lawama maana mara watu wanajituma sana kuanzia kilimo, uchimbaji madini, mbuga ya serengeti n.k ila hayo mapato hayarudishwi kwenye kuendeleza mkoa.View attachment 3533102
Lawama hawawezi kupewa CCM, mikoa yote ipo chini ya CCM lakini ipo yenye afadhali
Huyo mtu wa ligi bora Huja mtag!ni kwa riafande mura na GENTAMYCINE
Ni CCM hio hio pamoja na mapungufu yake mengi imeshajenga miradi mingi tu mikoa yote.Huwezi iondoa CCM kwenye lawama maana mara watu wanajituma sana kuanzia kilimo, uchimbaji madini, mbuga ya serengeti n.k ila hayo mapato hayarudishwi kwenye kuendeleza mkoa.
Mfano tu barabara ya musoma-mugumu-loliondo-Arusha haiwekewi lami? Yote tu ili watalii wa serengeti waishie Arusha na sio kulala Musoma au mugumu!!
Hata hiyo Airport inafelishwa kwa manufaa ya KIA na Arusha wapokee watalii huko huko hela isije directly Mara.
Hata madini yamegunduliwa ndani ya mbuga ila hakuna kitu wananchi wa Serengeti wananufaika!! Same can be said to Tarime na Nyamongo!!
CCM ni adui wa maendeleo.
Kijana mimi ni mtu smart, ni mtakatifu pale MT Andrew.
Kijana usinifananishe na vitu vya kipuuzi, kila siku nahangaika kuwalaani mbogamboga hapa jukwaani namana huonagi juhudi zangu hadi unataka kunipaka kinyesi!Kwani tuna shida yoyote na wewe mkuu?
au wee ni chawa wale pumpkin empty head ya kijani?
Kama nimekuhusisha na mbogamboga yale mapimbi ya kijani niwie radhi sanaKijana usinifananishe na vitu vya kipuuzi, kila siku nahangaika kuwalaani mbogamboga hapa jukwaani namana huonagi juhudi zangu hadi unataka kunipaka kinyesi!
Hahaha mna staili moja ya uandishiKama nimekuhusisha na mbogamboga yale mapimbi ya kijani niwie radhi sana
kuhusu utaka tifu wako tuliache hilo swala kwa leo!
Kivipi mkuu?Hahaha mna staili moja ya uandishi
Ameen, hapo umetema madini tupu, kuanzia leo mimi na wewe ni shati na kaptula.Kama nimekuhusisha na mbogamboga yale mapimbi ya kijani niwie radhi sana
kuhusu utaka tifu wako tuliache hilo swala kwa leo!
HahahaAmeen, hapo umetema madini tupu, kuanzia leo mimi na wewe ni shati na kaptula.
Mema ya nchi ni lazima tugawane pasu kwa pasu siyo wamekaa wanajaza vitambi vyao tu.Hahaha
tuungane pamoja tule yale mambogamboga yapo mengi humu!
Tunafanyaje sasa kuyatoa haya mapimbi?Mema ya nchi ni lazima tugawane pasu kwa pasu siyo wamekaa wanajaza vitambi vyao tu.
Nafikiria kama sanduku limeshindwa, maandamano yamebuma, uchawi na nuksi umeferi. hapa ni kwenda ana kwa ana, panga na marungu. policcm tuwatafutie ile dawa ya kinjengetile ya risas kuwa maji tutawafyeka kiulaini sana.Tunafanyaje sasa kuyatoa haya mapimbi?
maana yameshikilia bomba kwa mda mrefu
Tunafanyaje kuyatoa?
Umiza kichwa!