Wengi ni wafupi ila wana miili minene, si unajua kule chakula kipo cha kutosha na maparachichiMbona mbeya wana miili mikubwa lakin wanajitahidi?
WEWE UNAUMWA MAVI NA AKILI ZIMEKUTKA, miili mikubwa Tanzania ni mikoa gani na gani ? ni Mwanza, Shinyanga, Mbeya, bukoba, Musoma , Moshi , Arusha kote kuna maendeleo tena sana , miiili midogo ni Mtwara, Lindi, Songea, njombe ebu niambie huko wakoje kimaendeleo?View attachment 3533102
Mkoa ulikuwa na Airport ikafa
Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena
Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori
Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa
Ni mkoa ambao hauna hata stendi
Sabato Sabato SabatoView attachment 3533102
Mkoa ulikuwa na Airport ikafa
Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena
Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori
Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa
Ni mkoa ambao hauna hata stendi
Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa
Hio miji mingine angalau ina afadhali sana tu, hata Bukoba wana airport, bandari, Meli, Chuo wamejengewa kimezinduliwa, viwanda vikubwa, n.k.WEWE UNAUMWA MAVI NA AKILI ZIMEKUTKA, miili mikubwa Tanzania ni mikoa gani na gani ? ni Mwanza, Shinyanga, Mbeya, bukoba, Musoma , Moshi , Arusha kote kuna maendeleo tena sana , miiili midogo ni Mtwara, Lindi, Songea, njombe ebu niambie huko wakoje kimaendeleo?
Mkuu uchangiaji wako una shabihana na Ule wa Mjusi SharobaloNi mkoa gani huo wadau
wenye miili mikubwa km mimi?!
Kama ulikuwa hujui Mara ndio wanaongoza kwa miili mikubwa hasa urefu, Hapa nchini mtu mrefu zaidi ni wa huko Mara ni mugizaji yupo kwenye video ya Rose MuhandoWanamara hatuna miili mikubwa. Kama unawananga watani zetu akina Mwaipaja, Mwaipumbu na Anengisye wewe endelea tu japo hawajawahi kuwa na kiwanda cha nguo tangu ukoloni.
Usinifananishe na vitu vya ajabu mkuu.Mkuu uchangiaji wako una shabihana na Ule wa Mjusi Sharobalo
Wanamara hatuna miili mikubwa. Kama unawananga watani zetu akina Mwaipaja, Mwaipumbu na Anengisye wewe endelea tu japo hawajawahi kuwa na kiwanda cha nguo tangu ukoloni.
Sio kila lawama apewe ccm, Kuna mikoa mingi haina hata rasilimali nyingi na ipo chini ya ccm lakini kuna afadhali, stendi zipo, viwanja vipo, vyuo vipo, airport zipo, masoko ya kisasa yapo, huduma za maji wanajitahidi, n.k.Mara wana ardhi nzuri sana, ziwa kubwa na border ya Kenya, kwanini ni maskini sana, CCM ni janga mafanikio ni kugawana umaskini na kuwafanya watu wapumbavu wasiofikiria kama kina Lucas Msandambwa na mapolisi
Huyu Mjusi Sharobalo mbona huwa tunatofautiana naye sana. ..Mkuu uchangiaji wako una shabihana na Ule wa Mjusi Sharobalo
kipi ni cha uongo, kwamba vitu niliyoandika vimekufa au vimechakaa ni uongo ?Ninge coment ila ngoja nipite tu mtoa mada ana chuki na mkoa uwo si vingine
Kwani tuna shida yoyote na wewe mkuu?Usinifananishe na vitu vya ajabu mkuu.