Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Hivi huyu jamaa kumbe ni mtu wa Mara. Miaka ya nyuma sana kabla hajawa maarufu nilikua namuonaga Mbeya, nikawa nafikiri ni mtu wa MbeyaKama ulikuwa hujui Mara ndio wanaongoza kwa miili mikubwa hasa urefu, Hapa nchini mtu mrefu zaidi ni wa huko Mara ni mugizaji yupo kwenye video ya Rose Muhando
View attachment 3533125
Ongezea na Dodoma. Ni giantism tu kule.WEWE UNAUMWA MAVI NA AKILI ZIMEKUTKA, miili mikubwa Tanzania ni mikoa gani na gani ? ni Mwanza, Shinyanga, Mbeya, bukoba, Musoma , Moshi , Arusha kote kuna maendeleo tena sana , miiili midogo ni Mtwara, Lindi, Songea, njombe ebu niambie huko wakoje kimaendeleo?
Una maana tupigane vita ya majimaji?Nafikiria kama sanduku limeshindwa, maandamano yamebuma, uchawi na nuksi umeferi. hapa ni kwenda ana kwa ana, panga na marungu. policcm tuwatafutie ile dawa ya kinjengetile ya risas kuwa maji tutawafyeka kiulaini sana.
Sawa ila angalia sana huo moshi, usije ukarudi na boxer kichwani badala ya kiunoni!Una maana tupigane vita ya majimaji?
huo ni uchawi..nasiamini uchawi
umiza head kama umeshindwa niache nikavute kwanza ganja ntafute wazo jipya!
sawa sawa upo sahihiOngezea na Dodoma. Ni giantism tu kule.
Siwezi mkuu mimi ni mkufunzi na nina cheti cha kimataifa pia nina tuzo 4 za ganjaSawa ila angalia sana huo moshi, usije ukarudi na boxer kichwani badala ya kiunoni!
Sawa mamoshi mema kwako mkuu!Siwezi mkuu mimi ni mkufunzi na nina cheti cha kimataifa pia nina tuzo 4 za ganja
wewe niombee tu nije na wazo la kuwatoa haya mapimbi ya kijani
ntakutag saa nne usiku!
Taratibu mkuu 🤣WEWE UNAUMWA MAVI NA AKILI ZIMEKUTKA, miili mikubwa Tanzania ni mikoa gani na gani ? ni Mwanza, Shinyanga, Mbeya, bukoba, Musoma , Moshi , Arusha kote kuna maendeleo tena sana , miiili midogo ni Mtwara, Lindi, Songea, njombe ebu niambie huko wakoje kimaendeleo?
Miaka 65 almost ya uhuru wanaongoza CCM, nani alaumiwe kwa umaskini? hata mikoa unayosema iko afadhari ni hoi vibaya sana, fikiria miaka ya 80 Vietnam alikuwa maskini kuliko Tanzania,leo GDP yake 520 billion sisi 79 billions 🤔Sio kila lawama apewe ccm, Kuna mikoa mingi haina hata rasilimali nyingi na ipo chini ya ccm lakini kuna afadhali, stendi zipo, viwanja vipo, vyuo vipo, airport zipo, masoko ya kisasa yapo, huduma za maji wanajitahidi, n.k.
Ondoa Moshi hapo. Unakuta Mpare mwanaume mtu mzima wa miaka 50 ana urefu futi 3½ na uzito 35kgmiili mikubwa Tanzania ni mikoa gani na gani ? ni Mwanza, Shinyanga, Mbeya, bukoba, Musoma , Moshi , Arusha..
Usisahau Tanga kwenye hiyo orodha ya wafupi, au huwafahamu Wazigua?miiili midogo ni Mtwara, Lindi, Songea, njombe