Nadhani anaongelea wateule. Mwondoe Makamu wa Rais, Speaker, siyo wateule.Makamu wa Raisi, katibu mkuu kiongozi, wazir mkuu, Gavana BOT, Spika wa Bunge , hzo ndo ngazi za juu ni yupi anatokea kanda ya ziwa?
Sawa ndito engomos ino thanksGharama za kuhamisha siyo gharama za kufanya sherehe. Soma halafu uelewe. Do not lean on fatuousness.
Sasa mzee hayo yapo kwenye akili yako.Ni ukabila. Na kwa bahati mbaya sana hajaanza leo hivyo sina shaka yoyote kuwa amevutiwa na ukabila.
Wasukuma wanafaidikaje na hizi sherehe?Mkuu, wanabisha jambo ambalo wanajua wazi kuwa Rais anafanya hivi kama kupeleka fadhila kwa wasukuma kama ambavyo amekuwa akifanya. Wanataka kupindisha ukweli kwa hoja zao za kijinga kabisa!
Nyumbani kwa Rais ni mwanza?Kwahiyo mzunguko uanze 2019 tens nyumbani kwa Rais..Haya bwana! Ninachojua ni kuwa ameenda kubembeleza kura za wasukuma kama kawaida yake maana sherehe zijazo tutakuwa tumemaliza uchaguzi mkuu.
Na kwa nini tusianzie mwanza?Sawa, naomba unipe sababu kuu ya Magufuli kupeleka sherehe za Uhuru Mwanza. Tafadhali epuka maneno ya "Tumeamua iwe sasa ni mzunguko" Maana nitakuuliza "Ni kwanini kwa mara ya kwanza tuanzie nyumbani kwa kabila la Rais?" Najua kutokuwa na jibu hivyo yaepuke maneno hayo!
Hukuelewa nilichomaanisha.Tofauti ni kubwa. Mleta mada hajaelewa kwamba maandishi ni sawa na maneno yatokayo mdomoni, siku zote huumba.
Mauaji ya Rwanda yalianza na maneno ya watangazaji wa radio.
Kakojoe ulale kesho tutaongeaHuku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.
Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?
Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.
Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.
Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.
Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.
Ndo umetoka bleed eeee...!!!Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.
Swali la msingi ni kwanini sherehe hizo ziende jijini Mwaanza eneo ambalo limetawaliwa na kabila atokalo Rais Magufuli? Ni hoja gani hasa iliyotumika kuzipeleka jijini humo?
Ni jambo la ajabu kuona serikali ikikumbatia waziwazi upendeleo wa ukanda! Haya yanayofanywa yanatupa sisi ari ya kujiridhisha kuwa tumetawaliwa na upendeleo wa waziwazi wa kikabila awamu hii ya uongozi.
Kwa maana hiyo sasa jeshi, viongozi wote wa juu pamoja na wageni wanapelekwa Mwanza ili kuhudhuria sherehe za uhuru.
Siwezi kusema mengine yaliyotokea huko nyuma katika utawala huu yakionyesha mwenendo mbaya wa kikabila ila kiukweli jambo hili halileti picha nzuri hata kidogo.
Hii ni Tanzania imejengwa ila kiobomoa ni kazi rahisi sana.
Mwache Huyo jamaa kichwa kimejaa mawazo mabaya leo.Wasukuma wanafaidikaje na hizi sherehe?
G Sam una lako jambo, Mwanza ni sehemu ya Tanganyika, Uhuru ni sherehe ya taifa, walioko madarakani wanaamua ifanyikie popote pale ili mradi ni Tanganyika, tatizo tulikaririshwa kila kitu ni dar.....hata Mwanza na mikoa mingine wanahitaji exposure kama DSMIlihamishiwa Dodoma kwakuwa yaliandaliwa kuwa makao makuu ya serikali. HUKO MWANZA KUNA MAKAO MAKUU YA SERIKALI?
Aifute dar kwenye ramani kwa kutumia correction fluid au ?Mara nyingine Magufuli mnamuonea bure. Mnafahamu fika Chato ilikuwa Kagera, Kagera wana jadi yao na Mwanza jadi yao iweje leo eti Magufuli anatoka kabila la Mwanza? Hata kama bado hajavuka mipaka ya nchi.
Halafu watu wa Dar es Salaam na Arusha nimegundua hampendi maendeleo yapelekwe sehemu nyingine za nchi. Ningelikuwa Magufuli kwanza Dar es Salaam ningeifuta kwenye ramani ya taifa hili maana ndio chanzo cha umaskini sehemu nyingine za taifa hili.
Kama mnaona ukanda basi peleka mswada bungeni tuwe na states ambazo zitasimama Kama Kanda uione mtavyoburuzwa.
Watu wa ajabu sana nyie.
Fadhila za kupigiwa gwaride la kijeshi live? Au hizo sherehe huwa zina kuwa na mgao wa pesa kwa wananchi?Mkuu, wanabisha jambo ambalo wanajua wazi kuwa Rais anafanya hivi kama kupeleka fadhila kwa wasukuma kama ambavyo amekuwa akifanya. Wanataka kupindisha ukweli kwa hoja zao za kijinga kabisa!
Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali serikali ilipohamia Dodoma.