Hapana.Mkuu 55mil ni kibosi sana, au mazingira yanachangia pia, manake gharama za nyumba inayojengwa Masaki ni tofauti kabisa na ile inayojengwa Kiluvya, hata ukiweka vitu vingi constant.
Yeppemba mnazi kigamboni sio?
Yes. Mazingira huchangia pia. Sana tu.Hongereni mkuu, 55mil kwa budget zetu za mtaani nyumba ingekuwa imefika mbali mno. Ningeweka roughly 20-25mil kwa foundation tu mkuu, japo landscape inachangia, aina ya udongo, mafundi unaotumia, mazingira uliyopo nk. Factors ni nyingi.
Na nondo ndo tumeweka ile yenyewe ya msauzi mkuu. Nondo yenye ujazo wa kutoshaHapana.
Kwa mfano, aina za foundations zinatofautiana.
Eneo Moja ukubwa mmoja Ila inategemea labda footings zako ni ngapi na zinabeba column ya ukubwa gani each. Ukubwa wa nondo na ngapi unahitaji.
Beams zitaenda chini kiasi gani na nondo zake utasuka ngapi na kwa ukubwa upi (diameter).
Slabs (kumbuka zipo mbili, Moja reinforced).
Sanasana utakula nondo nyingi na hapo ndiyo wengine wanaamua kupunguza nondo mradi awe na ghorofa.
Sijakuelewa kuhusu kutanua mabawa Ila hapo itakuwa ume-do a thing different.Tanua mabawa mkuu, utanishukuru baadaye ,winners don't do different things , they just do things differently
Baaas baba , huko ambapo kila kitu kipo overated just kwa sababu ya status ya eneo ? Nna chalii yangu amenunua kiwanja huko kwa mil 80 , hata hakifanani.Hii ni mbezi beach makonde
Mbona hata Kigamboni viwanja vinapimwa kwa bei hiyo!
Kama kuna kiwanja cha milion 5 aniite ninunueUkweli ni kwamba hakuna kiwanja cha milioni tano mjini.
Sorry Kama nitakuwa nimemaanisha kitu tofauti cha kukukwaza , nilikuwa unamaanisha jifunze vitu kwa watu tofauti tofauti , that's all , kama imemaanisha kitu offending kwako tuishie hapa na unisamehe bure.Sijakuelewa kuhusu kutanua mabawa Ila hapo itakuwa ume-do a thing different.
There's being "like" and looking "alike".
And sometimes when you loose, you win. When you win, you actually loose.
Mkuu unamaanisha? Watu tuna njaa zetu ujue?Milion 5 kiwanja labda uende chanika
Nenda Goba ukipata kiwanja cha sqm 600+ kwa milion 10 niite ninunue..viwanja hata hapa bongo bado vipo juu..goba kiwanja kizuri kinaanzia milion 15+
No not at all.Sorry Kama nitakuwa nimemaanisha kitu tofauti cha kukukwaza , nilikuwa unamaanisha jifunze vitu kwa watu tofauti tofauti , that's all , kama imemaanisha kitu offending kwako tuishie hapa na unisamehe bure.
Hakikisha una mchoro uliochorwa na wataalam (Architect & Engineer), kisha ukapitishwa manispaa au Halmashauri husika. Usikariri gharama, angalia hesabu. Kwa mfano, nyumba ya ghorofa ya familia moja (vyumba 3-4) itatumia nondo kati ya tani 3-4. Na bei za nondo tani moja ni kati ya 1,600,000-2,200,000.Usikubali kujengewa foundation ya ghorofa kwa 14mil. Ghorofa ni foundation.
Ukiharibu hapo, utajuta.
ucsahau miji inakua kwa kasiKm 37 kutoka town centre mbali sana hapo ni sawa na mtu atoke arusha mjini akanunue kiwanja kikatiti huko ndani ndani halafu aseme amenunua mjini, Hapo no sawa na kupoteza ela yako sababu hata ukija kutaka kuuza au kutaka uiweke dhamana wale watu wanaofanya valuasheni huwa wanaangalia nyumba kiwanja kiko umbali gani kutoka city centa kwa hio jinsi nyumba kuwanja chako kinavyokua mbali na mji ndivyo unavyojiweka mbali na mafanikio. Nunua kiwanja mjini.
Hapana. Material sanasana, kwani ukijenga mbezi beach material ndo unanunulia mbezi beach? Maduka yako kibao. Unaweza ununue mturuki, mjerumani, mchina ama mbongo. Na pia mafundi bora. Si kila fundi ni fundi boraBaaas baba , huko ambapo kila kitu kipo overated just kwa sababu ya status ya eneo ? Nna chalii yangu amenunua kiwanja huko kwa mil 80 , hata hakifanani.
Ila tumalize tu ubishi kuwa gharama za ujenzi zinategemeana na status mjenzi mwenyewe
Hakuna lift kwani😅Ukizeeka huwezi panda juu ghorofan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kwa wanaojua wandamba wa mofu ifakara. Ghorofa ni jadi yao na ni asili tu yao. Wanajenga ghorofa za udongo au tofali za kuchoma. Kwao ni kulinda eneo na nikwaajili ya privacy.
Alafu ww unayesema mijini roughly milioni tano kiwanja upo mji gani ww?
Kwani nondo mmenunua tani moja shilingi ngapi? 12mmNa nondo ndo tumeweka ile yenyewe ya msauzi mkuu. Nondo yenye ujazo wa kutosha