DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Wapi huko?400 to 600sqm unapata kwa 5million na ni kiwanja tambarare na mchanga hununui kabisa! Tena mchanga mweupee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko?400 to 600sqm unapata kwa 5million na ni kiwanja tambarare na mchanga hununui kabisa! Tena mchanga mweupee.
Dar city centre, the rest ni bush tuKwani mjini ndio wapi!?
Mkuu acha kutisha watu , inawezekana jamaa zako wanaibiwa na mafundi , msingi wa ghorofa ya vyumba vinne hauwezi kufika mil 45 , hata Kama ardhi ni ya kuhamisha.Kwa watu kadhaa waliokua wanajenga nimeona msingi range 45mil to 55. Na ni hizo hizo room 4 za kulala ukiacha store na vingine. Hapa naenda site ya ndugu yangu katumia 55.
Kwani ghorofa lazima iwe nyumba yako ya kuishi ?Hakuna lolote..hao watu wengi wanakuja kwangu kufanya nini
Na aliyekuambia anainiwa na mafundi ni nani? Materials inayotumika baba.nothing more than that. Hivi kila kitu lazima gharama zifanane mkuu?Mkuu acha kutisha watu , inawezekana jamaa zako wanaibiwa na mafundi , msingi wa ghorofa ya vyumba vinne hauwezi kufika mil 45 , hata Kama ardhi ni ya kuhamisha.
Sidhani kama upo serious.Mkuu acha kutisha watu , inawezekana jamaa zako wanaibiwa na mafundi , msingi wa ghorofa ya vyumba vinne hauwezi kufika mil 45 , hata Kama ardhi ni ya kuhamisha.
Kanishangaza kweli jamaa. Na hapo anabisha ukute hana update yoyote ya kuhusu ghorofa wala hajawahi kujenga wala kumiliki wala kivyovyote. Sikuaga najua kama ni gharama hivi mpaka nilipokuja kushuhudia mwenyewe na si kwa mtu mmojaSidhani kama upo serious.
Kuhusu slab gharama zake ziko hiviSawa,nasubiri tuwekane sawa.nahitaji maelezo ya slab ya kati tu.A-Z.
Aibu tunashindwa kuangaliana asubuhi maana nikikaa kwangu naona chumbani kwao direct. Wanajitahidi kufunga mapazia ila kuna kipindi kutokana na joto wanaacha wazi.Sasa wewe hiyo inakushughulisha nini?
Wewe kula raha, life's too short
Ndo maana nikatumia terminology 'kutisha' najua materials zinatofautiana sana , uskishajiona unatumia extravagant material automatically unakosea mandate ya kuwa reflected sababu si kila mtu ana uwezo huo wako,Na aliyekuambia anainiwa na mafundi ni nani? Materials inayotumika baba.nothing more than that. Hivi kila kitu lazima gharama zifanane mkuu?
Nimekuelezea kuna tofauti ndogo ya nyumba ya kawaida na nyumba ya ghorofa moja kama unajenga kupitia wataalamu utaona hizo tofauti ila kama unajenga kupitia mafundi wa mitaani huwezi kutambua tofauti.Mkuu hapa umeongopa. Gharama ya msingi wa ghorofa unaijua kweli? Yaan ule msingi ni nyumba kamili na chench inabaki tusiongopeane
Mkuu kwaheriNimekuelezea kuna tofauti ndogo ya nyumba ya kawaida na nyumba ya ghorofa moja kama unajenga kupitia wataalamu utaona hizo tofauti ila kama unajenga kupitia mafundi wa mitaani huwezi kutambua tofauti.
Mtaalamu anakupigia hesabu ya kila nyumba ya kawaida na nyumba ya ghorofa ni vifaa gani vinatumika.
Sijagusia ghorofa mbili na kuendelea.
Nimezungumzia tofauti ndogo jaribu kusoma na kuelewa.
Na ukitema mate yanaishia hewani[emoji23]Ghorofa raha bwana weee. Kuishi juu km ndege? Unakula upepo tu kwa siri yako. Na mmeo mzuri mzuri. Mbali na heshima ni raha sana isiyo kifani. pia hasa ziwe ghorofa 3 [emoji160][emoji160][emoji160][emoji160][emoji38]kwenda juu unaweza usiwe unakula lkn unanenepa tu.
hkn kelele huko juu!!! kushuka chini mara moja moja sana.
km kariakoo jamani ukiishi ghorifani utadhani uko shamba. kimyaaaa!!! hkn vumbi km zilivo gorofa za salasala! mpyutuu! angalia unaishi wapi.
Sijamtisha mtu kwakua ndo uhalisia niliouona mkuuNdo maana nikatumia terminology 'kutisha' najua materials zinatofautiana sana , uskishajiona unatumia extravagant material automatically unakosea mandate ya kuwa reflected sababu si kila mtu ana uwezo huo wako,
Msingi kwa mil 45 ghorofa ya vyumba vinne si ujenzi wa kawaida
Any way soda ya sh 500 kitaa unaweza kuuziwa 5000 hapa hapa mjini .
sawa mkuu...shukrani sana kwa ushauri na hongera kwa kuhodhi ardhiKama unafanya kazi mitaa ya Posta sikushauri uishi mitaa hii. Ni almost impossible.
Ila kama unataka kuhodhi ardhi, this area has all the trimmings of becoming a very vibrant and independent urban area.
Kwa kijana, ningekushauri ununue ardhi huku. Kuna ujenzi wa factories, sports complexes, Shule na vyuo, hotels na watu wengi wanashusha nyumba za maana huku ingawa ni early stages.
Ni 22 km from ferry/posts na Bei elekezi ni 5,000shs per sqm. Market price ni 10,000 mpaka 20,000 per sqm na karibu kote kuna town plan.
In early 2000s, 3mil ilinipa 35 acres...(Not to be bragging)
Mkuu tunaweza tukatofautiana kwenye exposure ya mambo flani flan ,Ila the best thing human can do ni kuwa tayari kujifunza any time , mil 45 msingi wa ghorofa sio ujenzi wa kawaida .Sidhani kama upo serious.
Mie miwili iliyopita nilisimamia ujenzi wa jengo la ghorofa 1, liko Mwandege mkuranga. Ina vyumba vi4 na nguzo 11, Kama sikosei msingi haukuzidi 14,000,000 . Sasa huo msingi wa 45,000,000 Duh!!!!!!!, Anyway labda material yanatoka CaliforniaNdo maana nikatumia terminology 'kutisha' najua materials zinatofautiana sana , uskishajiona unatumia extravagant material automatically unakosea mandate ya kuwa reflected sababu si kila mtu ana uwezo huo wako,
Msingi kwa mil 45 ghorofa ya vyumba vinne si ujenzi wa kawaida
Any way soda ya sh 500 kitaa unaweza kuuziwa 5000 hapa hapa mjini .
Watu wanatumia drewa nadhan badala ya mchanga figure zako zipo sahihi sana mkuu japo bado ni on the high side sababu naamini mkuranga material zote zinatoka mbali ukiacha mchanga.Mie miwili iliyopita nilisimamia ujenzi wa jengo la ghorofa 1, liko Mwandege mkuranga. Ina vyumba vi4 na nguzo 11, Kama sikosei msingi haukuzidi 14,000,000 . Sasa huo msingi wa 45,000,000 Duh!!!!!!!, Anyway labda material yanatoka California
Mwanuhuzi sehememu gani!?majengo au mshikamano?Au uje huku meatu,kiwanja laki 5 tu