Nakumbuka kuna mada yako moja umejenga gorofa kwa garama ndogo,ifufue tujikumbushie inashawishi sana.Mimi najenga gorofa kwa sababu napenda sana design za gorofa, ndio ugonjwa wangu kwa kifupi.
Hujafanya vizuri cost analysis kati ya nyumba za kawaida na ghorofa. Naomba nikupe mwongozo kidogo tu. Kwa mfano unahitaji nyumba 2 zinazofanana. Itakuwa faida kwako ukijenga katika mfumo wa ghorofa au ujenge moja moja?Kwa msingi wa ghorofa unaweza kununua viwanja viwili.
vipo vingi tu inategemea unataka ukubwa ganiUkweli ni kwamba hakuna kiwanja cha milioni tano mjini.
400 to 600sqm unapata kwa 5million na ni kiwanja tambarare na mchanga hununui kabisa! Tena mchanga mweupee.Kuna kiwanja cha shilingi million 5 mjini????!!!! Kina ukubwa gani???
Yote kwa yote ghorofa ni for business lakini kama kuishi tuu familia moja bora nyumba ya chini. Hayo mambo ya ghorofa mbwembwe za kibinadamuHujafanya vizuri cost analysis kati ya nyumba za kawaida na ghorofa. Naomba nikupe mwongozo kidogo tu. Kwa mfano unahitaji nyumba 2 zinazofanana. Itakuwa faida kwako ukijenga katika mfumo wa ghorofa au ujenge moja moja?
Faida za Ghorofa.
-ukijenga ghorofa ni sawa na kupata eneo jingine bure kabisa (Saving)
-Ukijenga ghorofa, ni kweli gharama ya msingi itaongezeka (Kwa 120%-150%) ukilinganisha na nyumba ya kawaida. Lakini kumbuka huo msingi unabeba nyumba 2 (hiyo ni saving)
-Kumbuka floor iliyopo ina serve kazi mbili.1 Ni paa kwenye nyumba ya chini,2 ni msingi kwenye nyumba ya juu. (2 in 1 hiyo ni saving)
-kwenye ghorofa, huhitaji kuweka ceiling kwenye nyumba ya chini (Hiyo ni serving)
Hayo ni Kwa uchache tu faida za Ghorofa. Lakini ukijenga nyumba 2 tofauti, gharama zitakuwa Mara 2 , tofauti na kwenye ghorofa hazitakuwa double kwa sababu ya baadhi ya vitu kuwa shared. Hata waswahili walisema umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.
Pia chukulia familia mbili tofauti zenye watu watatu watatu. Zikiungana kuwa moja, gharama za matumizi zitakuwa ndogo ukilinganisha na pale Kila familia inaishi kivyakevyake.
Kwa hiyo "Sharing factor" siku zote hupunguza gharama (unit cost) kwenye mambo mengi hata kwenye ujenzi pia (ghorofa).
Nimeeleza kwa uchache ngoja niishie hapo. Lakini pia na declare interest kuwa Mimi Ni Quantity Surveyor (QS) kwa hiyo nimesomea ujenzi, na ninauzoefu wa kutosha kwenye ujenzi wa majengo na barabara kwa zaidi ya miaka 10.
Wapi huko mzee nije niwekeze400 to 600sqm unapata kwa 5million na ni kiwanja tambarare na mchanga hununui kabisa! Tena mchanga mweupee.
Auntie atakuwa haishi bongo,Tazama muda alioanzisha mada huko ni jioni.[emoji28][emoji28][emoji28] jamani nyie Kuna watu wanafurahisha sana, Hichi kipande looks so funny
Mjini ni mjini hata ukerewe ni mjini mkuu.Wapi huko mzee nije niwekeze
Kumbuka kila mmoja ana mahitaji yake. Kwa hiyo bado ghorofa in serve zaidi hata kwa matumizi ya familia moja tu.Yote kwa yote ghorofa ni for business lakini kama kuishi tuu familia moja bora nyumba ya chini. Hayo mambo ya ghorofa mbwembwe za kibinadamu
Kigamboni .... njooni vijana muujenge mji huku, bado upepo mzuri na hamna vumbi.Wapi huko mzee nije niwekeze
Kigamboni sehemu gani? Ila huko maji ya visima hayana chumvi mzee?Kigamboni .... njooni vijana muujenge mji huku, bado upepo mzuri na hamna vumbi.
Nashangaa watu wanaokimbilia sijui Goba huko kumekaa hovyo.
Kuzima kelele za marafiki... Unajenga ghorofa kali kuwazidi ili kuwakata kilimi!Wazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni ghali sana. Kupata kiwanja cha kujenga nyumba inakulazimu uwe na kuanzia milioni 20 kwa pesa ya Tanzania. Wanasema ukijenga ghorofa hukosi mpangaji na wewe unapata na sehemu yako ya kuishi kwa amani.
Wengine wanasema wanajenga ghorofa kuyaona matunda ya mafanikio yake kwa macho. Sasa ninajiuliza sisi ardhi tunayo kubwa sana. Mpaka sasa bei ya kiwanja ni wastaniwa milioni tano mijini. Ni kwanini unawaza kujenga ghorofa kama una wazo hilo au ni kwanini ulijenga ghorofa?
View attachment 1661029
Hayana, maji meupe yapo fresh tu .... Mwasonga Dar es salaam zoo, maji uhai, uwanja wa Yanga mitaa ile unajichukulia kiwanja na kusubiri.Kigamboni sehemu gani? Ila huko maji ya visima hayana chumvi mzee?
Aisee Kigamboni kuzuri sana, mimi kama mkazi wa huku napata amani sana ya moyoKigamboni .... njooni vijana muujenge mji huku, bado upepo mzuri na hamna vumbi.
Nashangaa watu wanaokimbilia sijui Goba huko kumekaa hovyo.
Vipi maeneo ya kibada?Hayana, maji meupe yapo fresh tu .... Mwasonga Dar es salaam zoo, maji uhai, uwanja wa Yanga mitaa ile unajichukulia kiwanja na kusubiri.
Huo ndiyo ujanja.
Buy land and wait .... Don't wait to buy land.
[emoji3][emoji3]Vitu vingine ni kujitafutia tu kurogwa
Dada cha kushangaza hapa Arusha hakuna kiwanja cha milion 5,labda huko ndani kijijini kabisa.Nikisema mjini si Dar es Salaam au Arusha tu. hata Manundu Korogwe ni mjini.