Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

Mimi najenga gorofa kwa sababu napenda sana design za gorofa, ndio ugonjwa wangu kwa kifupi.
Nakumbuka kuna mada yako moja umejenga gorofa kwa garama ndogo,ifufue tujikumbushie inashawishi sana.
Kwa wenye pesa zao wajenge magorofa kwakweli,nawaunga mkono ni uwekezaji mzuri.Pale unapo kwama kibiashara unaweza kukopea fedha za kutosha,ukiiuza pia unapata fedha za kutosha.
 
Kwa msingi wa ghorofa unaweza kununua viwanja viwili.
Hujafanya vizuri cost analysis kati ya nyumba za kawaida na ghorofa. Naomba nikupe mwongozo kidogo tu. Kwa mfano unahitaji nyumba 2 zinazofanana. Itakuwa faida kwako ukijenga katika mfumo wa ghorofa au ujenge moja moja?

Faida za Ghorofa.
-ukijenga ghorofa ni sawa na kupata eneo jingine bure kabisa (Saving)
-Ukijenga ghorofa, ni kweli gharama ya msingi itaongezeka (Kwa 120%-150%) ukilinganisha na nyumba ya kawaida. Lakini kumbuka huo msingi unabeba nyumba 2 (hiyo ni saving)
-Kumbuka floor iliyopo ina serve kazi mbili.1 Ni paa kwenye nyumba ya chini,2 ni msingi kwenye nyumba ya juu. (2 in 1 hiyo ni saving)
-kwenye ghorofa, huhitaji kuweka ceiling kwenye nyumba ya chini (Hiyo ni serving)

Hayo ni Kwa uchache tu faida za Ghorofa. Lakini ukijenga nyumba 2 tofauti, gharama zitakuwa Mara 2 , tofauti na kwenye ghorofa hazitakuwa double kwa sababu ya baadhi ya vitu kuwa shared. Hata waswahili walisema umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu.

Pia chukulia familia mbili tofauti zenye watu watatu watatu. Zikiungana kuwa moja, gharama za matumizi zitakuwa ndogo ukilinganisha na pale Kila familia inaishi kivyakevyake.

Kwa hiyo "Sharing factor" siku zote hupunguza gharama (unit cost) kwenye mambo mengi hata kwenye ujenzi pia (ghorofa).

Nimeeleza kwa uchache ngoja niishie hapo. Lakini pia na declare interest kuwa Mimi Ni Quantity Surveyor (QS) kwa hiyo nimesomea ujenzi, na ninauzoefu wa kutosha kwenye ujenzi wa majengo na barabara kwa zaidi ya miaka 10.
 
Yote kwa yote ghorofa ni for business lakini kama kuishi tuu familia moja bora nyumba ya chini. Hayo mambo ya ghorofa mbwembwe za kibinadamu
 
[emoji28][emoji28][emoji28] jamani nyie Kuna watu wanafurahisha sana, Hichi kipande looks so funny
Auntie atakuwa haishi bongo,Tazama muda alioanzisha mada huko ni jioni.
Siko mjini katikati ila Jirani yangu hapa anauza kiwanja miguu 30kwa30 anataka miliioni 30.
 
Yote kwa yote ghorofa ni for business lakini kama kuishi tuu familia moja bora nyumba ya chini. Hayo mambo ya ghorofa mbwembwe za kibinadamu
Kumbuka kila mmoja ana mahitaji yake. Kwa hiyo bado ghorofa in serve zaidi hata kwa matumizi ya familia moja tu.
Kwa mfano , badala ya kujenga nyumba moja kubwa yenye vipimo vya mita 8 x 14, mwingine akaamua ajenge ghorofa yenye ukubwa wa mita 8 x 8. Kwa hiyo mahitaji yanaweza kuwa yaleyale kabisa. Ila huyu nyumba imejaa kiwanja na mwingine nyumba Ni kiduchu tu ila zimepandiliana
 
Kigamboni .... njooni vijana muujenge mji huku, bado upepo mzuri na hamna vumbi.
Nashangaa watu wanaokimbilia sijui Goba huko kumekaa hovyo.
Kigamboni sehemu gani? Ila huko maji ya visima hayana chumvi mzee?
 
Wazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni ghali sana. Kupata kiwanja cha kujenga nyumba inakulazimu uwe na kuanzia milioni 20 kwa pesa ya Tanzania. Wanasema ukijenga ghorofa hukosi mpangaji na wewe unapata na sehemu yako ya kuishi kwa amani.

Wengine wanasema wanajenga ghorofa kuyaona matunda ya mafanikio yake kwa macho. Sasa ninajiuliza sisi ardhi tunayo kubwa sana. Mpaka sasa bei ya kiwanja ni wastaniwa milioni tano mijini. Ni kwanini unawaza kujenga ghorofa kama una wazo hilo au ni kwanini ulijenga ghorofa?

View attachment 1661029
Kuzima kelele za marafiki... Unajenga ghorofa kali kuwazidi ili kuwakata kilimi!
 
Hayana, maji meupe yapo fresh tu .... Mwasonga Dar es salaam zoo, maji uhai, uwanja wa Yanga mitaa ile unajichukulia kiwanja na kusubiri.
Huo ndiyo ujanja.
Buy land and wait .... Don't wait to buy land.
Vipi maeneo ya kibada?
 
Kama walivyosema wadau. Ukiwa na ghorofa unakuwa na floor area kubwa na pia privacy yako ukiwa huko juu inakuwa poa sana. Siyo kupigizana makelele huku chini.
 
Back
Top Bottom