Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

Chief umenigusa kidogo, nina mpango wa kujenga fremu ya ghorofa lakini nahofia gharama za ujenzi mpaka sasa.. Eneo ni linatosha fremu 5 hivi, unaweza kunisaidia hata kupiga hesabu za rough?
 
Baadaye utauliza kwanini tutumie bati wakati nyasi zipo, baadaye kwanini tuweke tiles
Unatuchosha
 
mkuu wale samaki prones bado wa napatikana huko

kitambo sana kumbe kumekuwa kuzuri sana

vipi barabara ina lami kwa sasa kuelekea huko baharini
 
Pemba mnazi, Kimbiji bado bei iko chini na unaweza kupata eneo la kujenga na kupata upepo mwanana wa kutoka baharini...mkuu nitafute nikupe eka kwa milioni sita tu ujimwage na kupata upepo wa baharini
 
Auntie atakuwa haishi bongo,Tazama muda alioanzisha mada huko ni jioni.
Siko mjini katikati ila Jirani yangu hapa anauza kiwanja miguu 30kwa30 anataka miliioni 30.
Ni sehemu gani hiyo
 
Ila ukijenga ghorofa ombea usije kufulia tu
Maana ghorofa nalo litafulia kimuonekano

Ova
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna utafiti ulifanyika kila mtu aeleze maana ya umasikini.
1. Kuna waliosema umasikini ni hali ya kukosa uhakika wa chakula.

2. Kuna waliosema uhakika wa mahitaji muhimu kama chakula, malazi na nguo za kujistiri ukivikosa wewe ni masikini.

3. kuna waliosema kushindwa kununua ticket ya ndege ya business class ni dalili ya umasikini

3. Kuna waliosema kununua wine badala ya champagne ni dalili ya umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…