Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

Status
Not open for further replies.
Ameuliza kwa nini, ulitakiwa ujibu swali
Hizo sababu zinazo wafanya nyinyi muishobokee Israel pamoja na kuwaona kama mavi ndo hizo hizo zinazo fanya na wengine waipende china hivyo hilo ndo jibu.
 
Ila marekani ndiyo anaongoza kuvuruga nchi za waislamu kuliko hao China na Russia sasa hapo unategemea nini kutoka kwa waislamu?

Iraq ilishawaambia marekani watoe majeshi yao wanakataa kazi ya kuiba mafuta.

Syria haitaki majeshi ya marekani katika nchi yao lakini, wao wameng'ang'ana ili kuidhoofisha hiyo nchi na kuiba mafuta sasa hapo unategemea nini kutoka kwa waislamu?

Kama marekani ataacha kuvuruga hapo mashariki ya kati akawa kama China, Russia, Canada, au nchi zingine za namna hiyo basi chuki za waislamu kwa marekani na uingereza itapungua sana
 
Haya mataifa mawiri yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za magharibi

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao

Tatizo ninini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.
TUMIA AKILI ...CHINA NA URUSSI AZIJAVUKA MIPAKA ZENYEWE KAMA ZINA MATATIZO NA WAISLAMU BASI NI WANDANI YA NCHI YAO ...TOFAUTI NA MAREKANI YEYE WAISLAMU WALIO NCHI NYINGINE NDIYO ANAWACHUKIA NA KUWAFANYIA FITINA USIKU NA MCHANA
stormryder
 
Ajabu ni kuwa wanapenda sana Ulaya.

Wengi utawakuta Uingereza na nchi nyingine za ulaya.
 
Ins
Haya mataifa mawiri yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za magharibi

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao

Tatizo ninini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.

Haya mataifa mawiri yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za magharibi

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao

Tatizo ninini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.
Ina maana hujui chanzo cha hizo chuki serious? Hujui marekani ndiyo nchi inayoongoza kuzivuruga nchi za waislamu hapo mashariki ya kati? Halafu unategemea nini kutoka kwa waislamu
 
Nimeshangaa kuskia kuna sehemu inapendwa na Waislamu, hawa nimewazoea kama watu wenye majungu majungu na hasira wasiopenda chochote au popote.
 
Ni kwa sababu ni mataifa makubwa lakini hayana Ukristo, ni hilo tu hakuna lingine
Screenshot_2024-01-06-08-20-30-521_com.android.chrome.jpg

Screenshot_2024-01-06-08-20-54-204_com.android.chrome.jpg

Screenshot_2024-01-06-08-21-49-294_com.android.chrome.jpg
 
Tatizo lenu akili zenu zimejaa uisilamu na ukristo wenzenu wanawaza pesa. Uingereza ama USA Wana Encourage waarabu wa Gulf waende Nchi zao, mtu anatoka Oman kama anataka kwenda uingereza anatakiwa tu atoe taarifa masaa 24 kabla na anaweza akakaa miezi kadhaa haulizwi kitu, ila wewe hata uwe mkristo Umesoma miaka 40 hupewi priveldge hizo, nchi zote kubwa Duniani unazozisikia Zina Bei, Kuna kiasi kadhaa Cha pesa ukishakua nacho Basi priveldge zote unapewa.

Nchi zisizotakiwa ni zile ambazo ni za Masikini bila kujali una Dini Gani wote wanabaguliwa.

Soma hapa Visa waiver ya UK

Ukiwa unatoka hizo nchi za Gulf, unasoma tu UK wanakupa Uraia ili uwe na Uraia pacha, hawasumbuki hao kwenda USA ama UK wanaenda tu kama wewe unavyoenda Morogoro ama Mwanza.

Inakadiriwa asilimia 16 ya thamani ya Majengo yote uingereza yanamilikiwa na waarabu wa middle East.
But muislam toka Tanzania, Irani, Iraq, Morocco , Yemeni na Palestine hawi treated kama kutoka Gulf. Na huwezi kuwasikia wenzetu kutoka Gulf wanajitoa muhanga au kuua watu wengine. Gulf ni Waislamu wenye pesa na wanajipenda sana na pia si wasiasa kali. Mi mwenyewe nataka nikapate uraia wa Gulf..... Qatar, Dubai,
 
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu.

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za Magharibi.

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao.

Tatizo ni nini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.

Kama nyinyi wakristo mnavyoipenda Israeli na kujipendekeza kwao lakini wayahudi wanawafukuza na kuwatukana lakini badoooo mnajipendekeza kama malaya

View: https://www.youtube.com/shorts/vaMWogdX4Kc

Yesu kaangushwa chini na mayahudi na kuvunjwa Jerusalem

View: https://www.youtube.com/shorts/v2w14c3wXlU
 
Hakuna watu wanafiki kama waislamu nchi za kiislamu ndo zinaongoza kushiriki bahati nasibu ya kwenda marekani...
Inasemekana yule mmama mtu mzima anayeongoza kuutukana Ukristo humu ndani FaizaFoxy anaishi Canada, nchi ya Kikristo.
 
Murussia Hanaga masihara na magaidi ya kiislamu hivyo mara nyingi Putin husema "Kazi ya kuwapeleka magaidi Kwa Mungu ni yake ila kazi ya kuwahukumu ni ya Mungu mwenyewe.
Gaidi hana Dini mkuu! Russia kuna Waislamu kibao na ile Chechnya unayoisikia na Waislamu tupu ilo jimbo
 
Hii ni perception na haina uhusiano wowote na dini, Ni lini waislam walikaa na wewe wakakwambia wanaichukia Marekani na wanaipenda China na Russia?
Kwanini kila jambo watu mnalitazama kidini hii inaashiria hata Dini yako imeendekeza udini. Kimsingi Dini zote zipo kwajili ya Vilaza tu.
 
Ila marekani ndiyo anaongoza kuvuruga nchi za waislamu kuliko hao China na Russia sasa hapo unategemea nini kutoka kwa waislamu?

Iraq ilishawaambia marekani watoe majeshi yao wanakataa kazi ya kuiba mafuta.

Syria haitaki majeshi ya marekani katika nchi yao lakini, wao wameng'ang'ana ili kuidhoofisha hiyo nchi na kuiba mafuta sasa hapo unategemea nini kutoka kwa waislamu?

Kama marekani ataacha kuvuruga hapo mashariki ya kati akawa kama China, Russia, Canada, au nchi zingine za namna hiyo basi chuki za waislamu kwa marekani na uingereza itapungua sana
Kwahiyo kabla US na UK hawajaingia huko uarabuni mlikuwa mkiwapenda?
 
Wanawapenda Ruzzia mdomoni tu na katika ligi za kipumbavu za mitandaoni ila kiuhalisia wakipewa kuchagua kuishi watachagua Marekani.
FaizaFoxy mwenyewe anasema na kujivunia amesoma Canada
 
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu.

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za Magharibi.

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao.

Tatizo ni nini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.

Kwa taarifa yako China watu wanasilimu sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom