Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

Status
Not open for further replies.
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu.

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za Magharibi.

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao.

Tatizo ni nini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.
Kosa la US ni kusupport ushoga
 
Unataka tusapoti ushoga Kama USA na Israeli?
Msapoti ushoga mara ngapi wakati huko pwani mliko ndio hali mbaya,kama zenji kutoka raia,askari hadi wafungwa wamefikia kiwango cha kucheza hadi filamu,nyie ni magwiji wa huo uchafu.Mfano mzuri humu jukwaani haipiti muda mmeutaja kwakuwa ndicho mnachokipenda sisi wengine hata kutaja tu ni kinyaa.
 
Msapoti ushoga mara ngapi wakati huko pwani mliko ndio hali mbaya,kama zenji kutoka raia,askari hadi wafungwa wamefikia kiwango cha kucheza hadi filamu,nyie ni magwiji wa huo uchafu.Mfano mzuri humu jukwaani haipiti muda mmeutaja kwakuwa ndicho mnachokipenda sisi wengine hata kutaja tu ni kinyaa.
Kumbe kanisa la mashoga la kipentekoste la Mbeya ni Zanzibar?
 
China however policy yao ni kuto kuacha dini kuwa na nguvu. Pale wanapoona dini ina rise wanaishughulikia. Thats policy yao

Hii policy Safi Sana hii, ingetumika Afrika huku, maana Kuna nyumbu nyingi zinawaza dini tu kuliko chochote.

Yaani mwafrika anaona muisrael au mwarabu ndugu yake kuliko mwafrika mwenzake kwasababu ya tofauti ya Imani tu, stupid Africans.
 
Mlitaka kuandamana kwa Magu akatuma Wajeda na vifagio YES VIFAGIO mkalala mbele
Sasa kuna nchi wanaruhusu maandamano na kuna wauwaji hawataki kusikia wakikosolewa
 
Dunia ni kubwa sana mkuu ngoja nijaribu kadri ya uwezo wangu kuelezea

1. China Wana Ugomvi na Waisilamu wenye Asili ya Turkic (Ughuyr) ila wapo vizuri na Waislamu wenzao wenye Asili ya Hui so ni Mixture ya Ubaguzi wa Dini na Rangi, hao Hui japo ni Waisilamu nao wanapigana pia na Ughuyr, kwa point of view ya uislamu tunateteta Waislamu wenzetu popote walipo ila kwa point of view ya Kichina ni Ubaguzi wa Mchina kwa asie Mchina. Ughuyr na minorities wengi China ndio wanakuwa pisi Kali pia.

2. Urusi Ugomvi wao na Waislamu uliisha zamani, Sasa hivi Chechen wengi ndio wanaotumika na Putin kuimarisha nguvu yake. Pia Waislamu wengi zinaenda na wakristo wa Orthodox na madhehebu mengine ya East, Russia ni Orthodox na sio Russia Tu Armenia, Lebanon na Nchi nyingine za huo Ukanda zenye wakristo wengi utaona pia allies wao ni Waislamu, Kuna Ugomvi mkubwa wa maelfu ya miaka baina ya Kanisa la Magharibi na Mashariki.

3. Bottom line kinachogombaniwa ni pesa, ukiwa Muislamu toka Gulf unatokea Qatar, Saudia ama Kuwait unagombaniwa popote Duniani, ila ukiwa Muislamu Masikini unatokea Afrika, Afghanistan, Pakistan, Bangladesh utawekewa maelfu ya vikwazo.
Hapo kwenye Ughuyr na upisi kali naomba uongeze maelezo kwa faida yangu
 
Kama hii?,Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan":

Hadithi Idadi 16 :246 hadithi ya MK254

1704548730541.jpeg
 
Si ndio mkajazana huku Zanzibar mnatafuta mabasha,huku mkijaribu kujenga makanisa yenu ya mashoga
Huko ndio tabia yenu hiyo tunafahamu hata wewe ni mke wa mtu na unaifurahia.

Nikija huko huwa naleta mzigo wa kitimoto soko kubwa liko huko.

Nikuletee kilo ngapi??
 
Huko ndio tabia yenu hiyo tunafahamu hata wewe ni mke wa mtu na unaifurahia.

Nikija huko huwa naleta mzigo wa kitimoto soko kubwa liko huko.

Nikuletee kilo ngapi??

Huku nako ni Zanzibar

1704549027978.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom