Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

Status
Not open for further replies.
Hadithi Idadi 16 :246 hadithi ya MK254

View attachment 2863696
Tunawaambia misikitini mnafundishana ujinga hamsikii,soma Aya hizi hapa ujione ulivyo mjinga:
Mathayo 8:3-13
3 Yesu akanyosha mkono, akamgusa, akisema Nataka; takasika. Na mara ukoma wake ukatakasika.
4 Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; ila enenda zako, ukajionyeshe kwa kuhani, ukaitoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.
5 Hata alipoingia Kapernaumu, akida mmoja alimjia,
6 akamsihi, akisema, Bwana, mtumishi wangu amelala nyumbani, mgonjwa wa kupooza, anaumwa sana.
8 Yule akida akamjibu, akasema, Bwana, mimi sistahili wewe uingie chini ya dari yangu; lakini sema neno tu, na mtumishi wangu atapona.
9 Kwa maana mimi nami ni mtu niliyewekwa chini ya mamlaka, mwenye askari chini yangu; nikimwambia huyu, Nenda, huenda; na huyu, Njoo, huja; na mtumwa wangu, Fanya hivi, hufanya.
10 Yesu aliposikia hayo, alistaajabu, akawaambia wale waliomfuata, Amin, nawaambieni, Sijaona imani kubwa namna hii, kwa ye yote katika Israeli.
11 Nami nawaambieni, ya kwamba wengi watakuja kutoka mashariki na magharibi, nao wataketi pamoja na Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo katika ufalme wa mbinguni;
12 bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
13 Naye Yesu akamwambia yule akida, Nenda zako; na iwe kwako kama ulivyoamini. Mtumishi wake akapona saa ile ile.
 
Usivunge mkuu.

Nikuletee kilo ngapi za kitimoto.

Nakuwekea Nabii wako huyo nabii Tito mpelekee kitimoto

1704549298137.jpeg
 
Biblia ipi hiyo unayoinukuu ??
 
Soma biblia yote tu,siku nyingine ukilishwa tango pori na sheikh wako jilidhishe kwanza utakuja kupata aibu,maana masheikh wengi hata darasa la saba ni wasi wasi.

Mbona hujaniambia unasoma biblia ipi ?? Unaona aibu ??
 
View attachment 2863710

Hii ni biblia inayosema hivyo
Usiwe mjinga haya hii hapa:
3 Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamjaribu, wakimwambia, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe kwa kila sababu?
Mathayo 19:3

4 Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke,
Mathayo 19:4

5 akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Mathayo 19:5

6 Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
Mathayo 19:6

7 Wakamwambia, Jinsi gani basi Musa aliamuru kumpa hati ya talaka, na kumwacha?
Mathayo 19:7

8 Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.
Mathayo 19:8

9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Mathayo 19:9

10 Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.
Mathayo 19:10

11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.
Mathayo 19:11
12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
Mathayo 19:12
 
Kiswahili kinakupiga chenga ??

Hapo umenukuu kutoka biblia ipi ??
 
Kwasababu Marekani anashirikiana na Papa kueneza ushoga duniani
 
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA.

Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani

Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani kuhusu Uhuru wa kuabudu.

Utashangaa watu wametoka nchi za kiislamu, wako USA au Europe na wanapewa Uhuru wa Kuandama na wanazitukana hizi nchi za Magharibi.

Utashangaa Uhuru huo hawana wakiwepo hizo nchi zao.

Tatizo ni nini? Taifa la China linatamani hata kesho kuufuta uislam lakini waislam ndiyo kwanza wanaisifia.

Ni kwa sababu hizo China na Urusi hazifuati ushoga wa ndani ya bibilia

1704551677204.jpeg
 
Kwahiyo kabla US na UK hawajaingia huko uarabuni mlikuwa mkiwapenda?
Unachotakiwa kuelewa ni kwamba marekani na baadhi ya washirika wake wanachukiwa na jamii kubwa ya waislamu kutokana na matendo yao ya kuvuruga amani katika nchi zenye waislamu wengi na kuisaidia Israel katika kufanya dhuluma kwa wapalestina ambao kwa kiasi kikubwa ni waislamu ingawaje suala la palestina sio la kidini.

Kosa hayo mambo hakuna waislamu wenye chuki na nchi yoyote kutokana na dini yao na kama wapo basi wana matatizo yao vichwani mwao.
Na hii ndiyo inapelekea jamii ya kiislamu iiunge mkono nchi yoyote inayoipinga marekani na uingereza .
Hivi ulishawahi ona waislamu wanachuki na Brazil,venezuela au nchi zingine zozote tofauti na zile zinazotibua amani hapo middle east?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom