Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Nadhani mtoa post umeongea mengine ya kweli ila swala la waliofeli kuwa walimu ni uongo, mwl wa certificate lazima awe na division 1-3 , wakati nursing wanachukua mpaka division 4. Kinachogharimu sekta ya elimu ni utawala kutolipa posho zingine kama, housing, teachin, allowance n.k watumishi wengine wa umma wanalipwa posho japo mishahara yao haipishani sana na ya walimu. Posho ndio kila kitu kwa mtumishi. Kabla hujanyooshea vidole kada ya ualimu, iulize serikali walimu waliwakosea nini?
 
Sio kweli, walimu wamemzidi polisi tu kwenye mshahara basi, lakini kazi yoyote ya kudumu ya serikali ukiacha polisi wote wana Mishahara kuliko mwalimu, hata mtendaji wa kijiji anapata mshahara mkubwa kuliko mwalimu wa grade A
 
Kwa Kweli inashangaza sana!

Huku vijijini kazi yao kutembea na kuzaa na wanawake wauza pombe za kienyeji na kutekeleza watoto!

Kila atakapohamishiwa kikazi wanawake wao ni aina hiyo!

Wauza pombe za kienyeji!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Halafu hilo kweli hata hapa kijijini kwetu walimu wote ni Walevi wanazaa na Malaya wanaojiuza kwenye mabar na matahila.
 
Kinachoendelea sasa ni zao la NECTA 2012 baada ya standardization kufuatia kufeli CSEE
Hiyo class yote ishamaliza chuo

Watoto wa leo wanamaliza form 4 ila ni kama hawana la maana kichwani
 
Sababu wameamua kuishi kwa kutetea watawala na kutegemea tenda kama uchaguzi na sensa
 
weka wazi tu kuwa hauwapendi walimu kisa walikunyoosha sehemu,
bila waalimu usingekuwa hapo ulipo
 
Kebehi kama zipi hizo kiongozi
Umeelezea ki hasi mno kuhusu matatizo yao. Ni wewe uwaonavyo hivyo walimu, lakini ni kada inayo heshimika sana kwa jamii. Ni msomi you ambae hakuwezeshwa na mwalimu? Hata ambae hakusoma lakini ana kumbuka jinsi mtoto wake, wa nduguye au wa jirani alie vuka kielimu, kwa kufundishwa na walimu. Usinyanyapae walimu. Ni serikali tu ambayo inawapa malipo yasio linganana na kazi yao na yasio kidhi matumizi yao.
 
Mkuu unauliza walimu walichokosea ni hiki hapa
 
Wanaowadharau walimu sio vyema Mungu anawaona

Tungekuwa wapi kama sio hao, walimu wanamchango mkubwa sana na siku hizi mambo yamebadilika walimu ni watu waliofaulu vizuri tu form six

I bet kuna walimu walifaulu vzr kuliko mtoa maada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…