Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana.

Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi.

Mbona wanawake miaka ya 2000 down hawakuwa hivyo. Hizi tabia siku wamezitoa wapi.

Wanawake wamekuwa vyanzo vikubwa vya uvunjifu wa ndoa. Wanawake hawaheshimi tena waume zao. Hawa watu wamevamiwa na nini? Wanawake wameiharibu mno dunia. Wanafanya umalaya utafikili mbwa. Wamegeuka kuwa ombaomba kwa kutumia jinsia zao.

Sijui wamepatwa na nini
Wanataka 50/50 huku wanauza Nyapu.

Hawako serious.
 
Technological progress.
Mambo yamebadilika uwepo wa mitandao unafanya watu wajifunze tabia mpya Binti yako uliemlea kwa maadili ya kujiheshimu siku akishika smartphone akamuona gigy money anaishi maisha mazuri(feki) akiulizwa kazi yake ni nini haoni aibu kusema ana danga/umalaya siyo ajabu na yeye akaona kumbe inawezekana na umalaya siyo kitu cha ajabu.

Sahivi mabint hawaoni aibu kusema wana danga na wako proud kabisa wakati zamani ilikua ni aibu, hivyo hivyo kwa wanaume wanaokua mashoga.
Hiki kimechangia sana. Kuna Msichana akihangaika sana kimaisha kwa sababu ya Kuwasikiliza akina Uwoya na demu wake Hamoniza( simjui jina) kwa kusikiliza stori zao za Insta.

Nilimweleza usiwasikilize sana hao tazama mazingira yako.

Yeye akawa anaamini story zao eti Walianza biashara na mtaji wa elfu 15 sasa wanaagiza bidhaa China na Uturki
😂😂😂

Stress kidigo zimuue
 
Huo umalaya wanaufanya wakiwa peke yao wanawake Kwa wanawake au? Hiyo yakusema hawaheshiki waume zao Sema hivi wamejitambua na manyanyaso yanawaumiza, hakuna haki pasina wajibu, mnynuase mtu halafu utake akuheshimu uliona wapi hiyo!
 
Halafu wazazi wa kipindi hiki fundisheni watoto wenu wakiume, maana wasiku hizi wengi wao hamna kitu mwanaume kuhimili ndoa yake hawezi yaani maamuzi mpaka aongee na dada zake au mama yake, afadhali hata aongee na baba yake lakini anaongea na jinsia ya mkewe unategemea nini hapo mkewe ajifunze, anaona kabisa hapa naishi na ndama anayenyonya kwa mama yake lazima awe mbabe.
 
Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa waovu Sana.

Wanawake wengi wamejaa ujeuri, umalaya, roho mbaya, uongo, Ukatili, kukosa utu, kupenda pesa kupita kiasi.

Mbona wanawake miaka ya 2000 down hawakuwa hivyo. Hizi tabia siku wamezitoa wapi.

Wanawake wamekuwa vyanzo vikubwa vya uvunjifu wa ndoa. Wanawake hawaheshimi tena waume zao. Hawa watu wamevamiwa na nini? Wanawake wameiharibu mno dunia. Wanafanya umalaya utafikili mbwa. Wamegeuka kuwa ombaomba kwa kutumia jinsia zao.

Sijui wamepatwa na nini
Athari za utandawazi
 
Athari za utandawazi.
 
Ni matokeo ya utandawazi na Feminism...one of the most dangerous agenda aimed at destroying the traditional family as we know it. Dunia nzima imewekeza sana kwa mtoto wa kike; na mtoto wa kiume ameachwa ajihangaikie mwenyewe. Unategemea nini?

Na matokeo haya ni rasharasha tu mvua zenyewe bado. Huko tunakoelekea hata sijui itakuwaje!

Screenshot_20240311_210011_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom