Ni kwanini wanawake siku hizi wamekuwa wabaya sana?

Wanataka 50/50 huku wanauza Nyapu.

Hawako serious.
 
Hiki kimechangia sana. Kuna Msichana akihangaika sana kimaisha kwa sababu ya Kuwasikiliza akina Uwoya na demu wake Hamoniza( simjui jina) kwa kusikiliza stori zao za Insta.

Nilimweleza usiwasikilize sana hao tazama mazingira yako.

Yeye akawa anaamini story zao eti Walianza biashara na mtaji wa elfu 15 sasa wanaagiza bidhaa China na Uturki
😂😂😂

Stress kidigo zimuue
 
Huo umalaya wanaufanya wakiwa peke yao wanawake Kwa wanawake au? Hiyo yakusema hawaheshiki waume zao Sema hivi wamejitambua na manyanyaso yanawaumiza, hakuna haki pasina wajibu, mnynuase mtu halafu utake akuheshimu uliona wapi hiyo!
 
Halafu wazazi wa kipindi hiki fundisheni watoto wenu wakiume, maana wasiku hizi wengi wao hamna kitu mwanaume kuhimili ndoa yake hawezi yaani maamuzi mpaka aongee na dada zake au mama yake, afadhali hata aongee na baba yake lakini anaongea na jinsia ya mkewe unategemea nini hapo mkewe ajifunze, anaona kabisa hapa naishi na ndama anayenyonya kwa mama yake lazima awe mbabe.
 
Athari za utandawazi
 
Athari za utandawazi.
 
Ni matokeo ya utandawazi na Feminism...one of the most dangerous agenda aimed at destroying the traditional family as we know it. Dunia nzima imewekeza sana kwa mtoto wa kike; na mtoto wa kiume ameachwa ajihangaikie mwenyewe. Unategemea nini?

Na matokeo haya ni rasharasha tu mvua zenyewe bado. Huko tunakoelekea hata sijui itakuwaje!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…