Kila mtu apambane na hali yakeMwanaume asiyempenda (anayemsaliti au anayemnyanyasa) mkewe hastahili kuheshimiwa na mkewe, period.
[emoji23] [emoji23]Mipaka muhimu.... Chimba biti moja ikibidi tumia panga ili ajue upo serious...... Na kitu kingine ni ujauzito, ukiona mwanamke analeta dharau jua ana imani potofu kuwa mwanaume na mwanamke wapo sawa. Sawa ingia nae kitandani, bidua sawa sawa hadi uhakikishe baada ya wiki mbili anaanza kutema mate hovyo.
Ukiweka kama tatu hapo za mfululizo adabu itakuja na watoto watamkeep busy atasahau kubishana na wewe maana atakuwa ameshajua kuwa wewe ni mwaume na yeye ni mwanamke.....
Case za kukutana na wanaume vichomi zipo tu ila sio major issues kama kukutana na wanawake wakorofi hasa wanaoanza tabu wakiolewa. Kidume kama mlevi hata kipindi cha uchumba hafichiKwahiyo hata mwanamke akipata mwanaume mwenye sifa mbaya zinazoshabihiana na hizo na huyo mwanamke naye achepuke si ndiyo?
Hilo lipo wazi kabisaaNa Ke watambue wanaandaa watoto wetu wa kiume na wa kike wataokuja kuwa Waume za Wanawake na Wake za Wanaume ktk kizazi kijacho, so kama hawatajitambua kusimamia nafasi zao vyema kiuwajibikaji ktk ndoa kwa kujilinganisha na Waume zao kwa pepo la "HAKI SAWA" basi wataambulia kupata Mabachela tu sababu wata-copy na ku-paste tabia zake(Mama yao Mzazi)
Eh hio inakuwa kama hand brake ya ulimi. Maana kuna wanawake wana midomo bana. Ukiwa na kidomo unaambiwa nyamaza basi yaishe unaropoka unapata banzi la uponyajiEti unakula Kofi la ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana
Extrovert alishakueleza 7bu ni ninyi wenyewe, hata ktk ule mfano unanena wazi kuwa kamwe hakuna Mwanamke anayeweza kuwa na mabwana wawili 7bu atampenda huyu na kumchukia yule, hujiulizi kwanini huo mfano haukumuhusu Mwanaume?Naomba niletee andiko kwenye biblia linalomruhusu mwanaume kumsaliti mkewe au kuoa mke zaidi ya mmoja kwa sababu yoyote ile ukiniletea andiko hata moja tu mimi nitakuletea maandiko matano yanayokataza
Na usitolee mifano ya kina Solomon na David wale walikuwa binadamu kama sisi na matendo yao hayakuwa sheria halafu kibaya zaidi ni kwamba walipewa adhabu na walikuja kutubu naomba andiko lililosimama peke yake kama sheria inayoruhusu hayo nasubiri
eeh tuna factory reset kidogo.Hahaaa...unafanya "the brain re-installation" au siyo Mzee Baba [emoji848][emoji1787]
Mama yangu mrombo na Baba yangu nshomile.Waulize walalamikaji.
Kila kesi ina chanzo chake cha kipekee
Kweli lkn wewe ni mbavu yangu 1 tu sababu ulitokana na mimi lkn mimi niliumbwa na Mungu, so usishindane na kiumbe kilichouona mwanzo kabla yako Bibiye [emoji851]Hata mwanaume kumsaliti mkewe au kuoa mke zaidi ya mmoja tu kwa wakristo siyo maadili na ni kwenda kinyume na amri na sheria za Mungu
hivi mama umeolewa?Wanaume kabla hamjalalamika jilaumuni kwanza kwa kushindwa kusimamia vyema 'uanaume wenu', Just imagine, umefanya kitu kisichomfurahisha na yeye mwanaume anakununia! Seriously?? Mwanamke anune na mwanaume anune???
Niliwahi date guy flani nilikuwa na act kama Mama yake kuliko mpenzi wake kila siku I am being like 'babe please stop this, babe please do this' the same thing applied everyday..!! Unakuja niambia hapa nimuheshimu while yeye mwenyewe hawezi kujiendesha???
Tunapenda sana na kumuheshimu mwanaume anajua yeye ni nani na anasimamia nafasi yake, we all love strong men they make us feeling so secured.!!
Guys, hata kama huna hata 100 simamia nafasi yako kwa mpenzi wako, I swear atakuheshimu.!! Changes begins with you..!!
Mama yangu mrombo na Baba yangu nshomile.
Lakini sijawah ona ndoa nzr kama hii .
Mama anamuheshimu Sana Mme wake. Na Wana zaidi ya miaka 30 sasa.
Natamani sana ndoa yangu iwe hivyo ingawa sitaoaga mchaga.
"Ktk kuishi nanyi kwa akili" 7bu hekima haizingatii upole tu ndiyomaana Baba wa hekima "Suleiman" alitoa amri ya Mtoto kuuwawa kwa upanga aliyekuwa anang'ang'aniwa na Wanawake wawili.Sawa mtoto anatakiwa apigwe ila wapi pameandikwa kuwa mwanamke inatakiwa apigwe?
strongestbeliefsecret nina kachembe chembe ka hio kanda ya nyonyo mkuu maana maza alitokea huko, ila mzee baba ni wa Kilimanjaro huku. Tuko pamoja lazima tuonyeshe mfano, lasivyo vijana wetu watateseka.Asante, bila shaka umetokea kanda ya ziwa, maana si kwa misimamo hiyo Mzee Baba, ndipo pekee Me wenye misimamo thabiti ktk mahusiano tulikobakia...[emoji851]
...ndo hali halisi ilivyoDuuuh...! [emoji15] [emoji134]
Mi naadhibiwa vzr sana kama huamini waulize Wakurya watakujulisha.Acha uongo ni wanaume wangapi walio kwenye ndoa wanaadhibiwa kwa staili hiyo kama uliyosema?
Hakuna sifa za mume mwema ila hakuna sehemu uliyoambiwa umpige, umsaliti, umnyanyase mkeo au uoe mke mwingine hata mkeo afanye kosa gani na kuna maandiko yanaonyesha jinsi gani mume anatakiwa aweLete huo mstari unaoeleza kuhusiana na Mume mwema.
Mwanamke ni kiumbe dhaifu tu kwa Mwanaume ndiyomaana Mungu alivyotuumba Wanaume alituasa tuishi nanyi kwa akili na kutupatia mamlaka ya kuwa vichwa vya familia ktk ndoa.
Toka huko uwe Mke Mwema
HahahahaNjoo ninapoishi au inbox maana si kila kitu cha kuelezea hapa jukwaani.
Banzi la uponyaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Eh hio inakuwa kama hand brake ya ulimi. Maana kuna wanawake wana midomo bana. Ukiwa na kidomo unaambiwa nyamaza basi yaishe unaropoka unapata banzi la uponyaji
Mwanamke ni kiumbe dhaifu tu kwa Mwanaume so kipigo kipo pale pale patapohitajika kutumika lkn sijasema nitakuwa nakupiga kwa kila kosa hiyo ni BIG NOMithali inasema Mtoto usimnyime mapigo
Ukimpiga kwa fimbo hatokufa Bali utakuwa umemnyoosha katika njia njema.
Kipigo hutolewa pale tu mtoto anapokosea na kwenda kinyume
Kumbe Kama yupo katika njia njema Haina haja ya kupewa kipigo.
Mlee mtoto njia ipasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee
Haijasema mwanamke usimnyime mapigo