Wewe ukikosea unaadhibiwa na nani?Nilijua tu unaogopa stiki, we mi sikupigi maana unaogopa kupigwa which means hutatengeneza mazingira ya kupigwa hata siku moja.
Wanawake aina yako ni wale mume sura ikibadilika tu anaufyata na kujiwahi kuomba samahani na anakuwa mdogo gomvi linaisha chap.
Tabu iko kwa wale ambao mume akishachange anazidisha sauti ili uumie tu maana anajua akikujibu shit utaumia. Sasa sie wengine hizo kauli za tarabu huwa hatuzingoji ukileta fyoko ukaambiwa tulia ukaleta ubishi ujue utanyamazishwa na kelebu.
Kuna tofauti kati ya kutumia akili na kutumia nguvu Mungu alisema muishi na sisi kwa akili na siyo kwa nguvu sasa kwa kutumia logic ya kawaida tu kupiga ni kutumia nguvu na siyo akili kitu ambacho hamjaambiwa
Mbona nachekaga mkuu? Yaani laiti kama mngenijua maisha yangu nje ya jamii forums hata msingenidhania hivyo mnavyonidhani na kuniita majina yenu hayoHatimaye leo umecheka [emoji849][emoji87]
Sikatai kukiri kosa na namtaka radhi mwenzangu bila kujitutumua. Plus najitahidi kutokurudia ama kufanya yanayomkwaza mwenzangu. Hapo nadhani utaona level ya juu ya hekima inavyoepusha matatizo zaidi.Wewe ukikosea unaadhibiwa na nani?
Hongera kama wewe unafanya hivyo na hakuna mwanamke atakayekuwa na shida na mwanaume anayefanya hivyo ila jiulize ni wanaume wangapi wanafanya hivyo?Sikatai kukiri kosa na namtaka radhi mwenzangu bila kujitutumua. Plus najitahidi kutokurudia ama kufanya yanayomkwaza mwenzangu. Hapo nadhani utaona level ya juu ya hekima inavyoepusha matatizo zaidi.
Mapakashume A.K.A "mashankupe" ya hapa mjini yakikukosea yanakataa kata kata na kukulazimisha wewe ndiwe ukiri alipokosea yeye na kumwomba radhi.Sikatai kukiri kosa na namtaka radhi mwenzangu bila kujitutumua. Plus najitahidi kutokurudia ama kufanya yanayomkwaza mwenzangu. Hapo nadhani utaona level ya juu ya hekima inavyoepusha matatizo zaidi.
Hapa Sasa unaanza kuharibu mkuuYah, mwanamke ni kama mtoto, jinsi unavyoishi nae ndio anavyoadapt na mazingira. Ukimdekeza atafikia siku akuite msenge wakati amenyonyesha watoto wako wawili. Hii ni asili ya mwanamke hivyo lazima umchoree mipaka.
Akiwa na kichwa kizuri anabadilika na kuwa mtu poa tu. Saingine ni umri ndio unasumbua hasa hapo 21-24 ni shida tupu.
hahah hapo ndipo Ali Mfuweni anapotumika mubashara, aisee mie ni mwepesi wa kukiri kosa na kujirekebisha ila mke ndio ajifanye bangi mtu na maneno ya khanga ataipenda show.Mapakashume A.K.A "mashankupe" ya hapa mjini yakikukosea yanakataa kata kata na kukulazimisha wewe ndiwe ukiri alipokosea yeye na kumwomba radhi.
Hizi akili hata mlevi hawezi kuzivumilia kabisa [emoji56][emoji87]
Sawa hatukatai lakini angalieni na makosa ya kupiga halafu vipi kuhusu wale wanaume ambao wakikosea kidogo tu wanapiga wake zao, wanakimbilia kwa michepuko wanasusia k na wanapunguza hadi heshima na upendo kwa mke?Kama mungu hatambui matumizi ya nguvu basi kusingekuwa na story za motoni, gharika na kuruhusu mapigo. Angeenda nasisi haste haste tu bila kutushughulikia.
Mwanamke mjeuri huwezi kumtenganisha na adhabu. Approach tunazotumia wanaume hutofautiana tu. Wengine hususia mbunye, wengine hukimbilia michepuko, wengine huchapa makofi na kukomaa nanyi hapohapo.
Ukioa Mwanamke wa Kaskazini na ww sio wa kaskazini Jiandae kwa hili. Ni wababe balaa. Ukiyumba kiuchumi unaweza hama nchi
zingatia hilo neno..."saa ingine" kwa kilugha cha malkia "sometimes"Hapa Sasa unaanza kuharibu mkuu
21-24 ndo tuna Nini vile?
Nimekwambia ukiona mwanamke kakukosea halafu anakugeuzia kibao na anakulazimisha wewe ndo uombe msamaha basi huyo ni mjeuri na mgomvi wa asili tuMapakashume A.K.A "mashankupe" ya hapa mjini yakikukosea yanakataa kata kata na kukulazimisha wewe ndiwe ukiri alipokosea yeye na kumwomba radhi.
Hizi akili hata mlevi hawezi kuzivumilia kabisa [emoji56][emoji87]
its the best thing they can do maana vipigo ni inevitable wakenda tofautiHuwa wanawasingizia wanawake wa kikurya eti ni wakorofi, Wanawake wa kaskazini ni wababe sana.Wanawake wa kikurya mi nawaona kama ni wanawake ambao wako very submissive.
Na ndio mtu kama huyo mi huchapa makofiNimekwambia ukiona mwanamke kakukosea halafu anakugeuzia kibao na anakulazimisha wewe ndo uombe msamaha basi huyo ni mjeuri na mgomvi wa asili tu
Hongera kama wewe unafanya hivyo na hakuna mwanamke atakayekuwa na shida na mwanaume anayefanya hivyo ila jiulize ni wanaume wangapi wanafanya hivyo?
Jibu unalo kuwa ni wachache yaani wanaume wengi wanaona kama vile kukiri makosa yao mbele ya wake zao ni kuonyesha udhaifu wa hali ya juu kitu ambacho si kweli
Kwa mwanamke anayejielewa hawezi kuendelea kupayuka mwakati mumewe ameshakiri kosa na kuomba msamaha na kutaka yaishe ukiona mwanamke anaambiwa hiyo na bado anaendelea kuropoka ujue huyo ni mgomvi wa asili tu
Ila wanaume wengi siku hizi kukiri makosa hawataki wakifanya makosa wao ndo kwanza wanakuwa wakali na wanajiona wako sawa kabisa na wanadai eti huo ndo uanaume unakuta mwanaume kapata mke mpole tu ila kutwa kumuonea na kumnyanyasa
Hao tumewaweka kwenye Novena maalum. Watabadilika tu mtumishi😁Sawa hatukatai lakini angalieni na makosa ya kupiga halafu vipi kuhusu wale wanaume ambao wakikosea kidogo tu wanapiga wake zao, wanakimbilia kwa michepuko wanasusia k na wanapunguza hadi heshima na upendo kwa mke?
Wanaamini kwamaba mwanaume kwenye familia ndiye mwenye maamuzi ya mwisho na anahitaji utii.its the best thing they can do maana vipigo ni inevitable wakenda tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongera kubwa kama upo hivyo ila maneno yako unayotumia ndo yananiachana hoi huwaga naassume tu kuwa una lafudhi ya kichaga halafu ndo unaongea hivyo najikutaga nacheka tu sasa sijui una lafudhi ya kichaga kweli sijui unaongea kawaida tuhahah hapo ndipo Ali Mfuweni anapotumika mubashara, aisee mie ni mwepesi wa kukiri kosa na kujirekebisha ila mke ndio ajifanye bangi mtu na maneno ya khanga ataipenda show.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo sawazingatia hilo neno..."saa ingine" kwa kilugha cha malkia "sometimes"