Sasa kwani siku zote hizo tulizokuwa tunabishana mlikuwa wapi kuongea haya yote? Seriously mjue leo ndo nimeona mmeenda direct na nimeanza kuwaelewa kuwa kumbe hatutofautiani sana mawazo ila basi tu mlikuwa mnataka tuendeleze ligi zisizo na maana
😅😅Ingekuwa sio ulevi wangu ningekuweka ndani mwanamke una busara sana
Hapa ndipo utata ulipo, maana kwa mandate ya mume utafanya biashara au kazi then baadae uje useme unamsaidia as if unamfanyia favours kwenda huko kazini au biasharani.😂😂😂 wakati umeenda kwa ridhaa yake.Unasemaje siyo sawa wakati ni huyo mwanaume amekuruhusu kufanyakazi ama biashara!?? Pengine nimekuoa ukiwa hujui lolote kuhusu biashara,nimekujengea uwezo hadi nikakufungulia biashara,biashara yako ikakua pengine kuliko ya kwangu Sababu ya majukumu. Tumekubaliana tusadiane kuchangia gharama za nyumbani,km vile chakula,maradhi,ada nk. Kwa nn ujione ww hustahili kufanya hayo wakati tunajenga Nyumba moja!??
we ni mtoto mzuriAfadhali sijajumlishiwa humo[emoji23][emoji23]
Maana
Mkuu ni sawa ulichoeleza,lakini mambo yamebadirika sana siku hizi. Wanawake wengi wanataka wawe juu,hata kama hana uwezo kumzidi mume wake. Nina mifano tosha mkuu. Mpaka mwanamke anaweza kuongea ningekuwa nina uwezo,ningefanya....... hasa mwanamke akiingia kwenye ndoa anaona yeye ndio final say. Wanawake siku hizi wachache wanaojielewa kuhusu maswala ya ndoaMwanamke anayetawala ni yule anayetafuta hela na kufanya majukumu ya mwanaume na huyo ni haki yake maana uanaume siyo nafasi tu bali pia ni kutimiza wajibu na majukumu ukiona mwanamke hafanyi majukumu ya mwanaume halafu anataka kutawala ujue huyo ni special case
Na wapo wachache sana wa hivyo fuatilia ndoa nyingi ambazo mwanamke hana heshima kwa mumewe utagundua ni zile ndoa ambazo mwanamke anasaidia majukumu ya mumewe nusu kwa nusu yaani pasu kwa pasu kitu ambacho siyo sahihi na hakitakiwi
Mimi ni mseto ama Hybrid.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo wewe siyo mtu wa Kilimanjaro? Ila hata hivyo kuna swaga fulani kwenye uandishi wako unaziweka huwa nahisi labda una accent ya kawaida tu na siyo ya kichaga ila sawa kama kweli unapenda mwanamke wako afurahi
Mkuu umenichekesha aisee kumbe ndo akil zao hiziMwanamke ana tabia za kutest mitambo, akiona umelegea anakutia hata kidole cha matakoni. Hilo huwa siruhusu na anajua sahivi maisha safi tu hamna kelele. Ameshaelewa mie ni mtu wa aina gani.
Kabisa [emoji3526][emoji3526][emoji120][emoji120][emoji120]we ni mtoto mzuri
Lakini wewe si miongoni mwa 99 bali 1%. Ukiina mwanamke hapa JF anahamaki na kutukana yupo katika 99%Ooh. Sawa. Hapana Mkuu usinipe mifano. 🙏
Unasemaje siyo sawa wakati ni huyo mwanaume amekuruhusu kufanyakazi ama biashara!?? Pengine nimekuoa ukiwa hujui lolote kuhusu biashara,nimekujengea uwezo hadi nikakufungulia biashara,biashara yako ikakua pengine kuliko ya kwangu Sababu ya majukumu. Tumekubaliana tusadiane kuchangia gharama za nyumbani,km vile chakula,maradhi,ada nk. Kwa nn ujione ww hustahili kufanya hayo wakati tunajenga Nyumba moja!??
Ndiyo najua pia wema wapo ila kinachoshangaza ni hao wema nao kuwatetea waovu eti kwa sababu tu ni wanaume wenzaoNi hali ya hewa tu, shida ni generalizing matters. Ukitaka kuchukulia wote ni waovu hapo ndipo mwisho haupatikanagi kirahisi. Assume wema pia wapo
Hao wanawake wanaotaka kuwa final say wakati wanawategemea waume zao ni wababe tu wa asili ila siku zote mwanaume anayetimiza majukumu yake ndo final sayMkuu ni sawa ulichoeleza,lakini mambo yamebadirika sana siku hizi. Wanawake wengi wanataka wawe juu,hata kama hana uwezo kumzidi mume wake. Nina mifano tosha mkuu. Mpaka mwanamke anaweza kuongea ningekuwa nina uwezo,ningefanya....... hasa mwanamke akiingia kwenye ndoa anaona yeye ndio final say. Wanawake siku hizi wachache wanaojielewa kuhusu maswala ya ndoa
Mimi ni mseto ama Hybrid.
Sio mwanamke wangu tu, mwanamke yeyote ambaye nakutana nae huwa napenda awe na experience nzuri na mimi tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi afurahie tu wasaa mchache atakao kuwa na mimi.
Hata wewe ulivyofurahi basi nimepata amani sana.
Hakika na iwe hvyo mkuu[emoji28][emoji28]
MUNGU atakusaidia utaacha Mkuu..!!
sema uje pm nikueleze kitu muhimu sana.Kabisa [emoji3526][emoji3526][emoji120][emoji120][emoji120]
kwanini unakosa amani sasa mamii, maisha ndio haya haya tuyafurahie. What happens in Vegas stays in Vegas.Mmhh na unavyonikashifu hivyo? Mimi sijapata amani kabisa nimeamua nikupe tu sifa yako lakini unavyonifikiria duuh
this is very trueUkioa Mwanamke wa Kaskazini na ww sio wa kaskazini Jiandae kwa hili. Ni wababe balaa. Ukiyumba kiuchumi unaweza hama nchi
Hatushindwi kufanya,lkn namna tulivyoumbwa nadhani unafahamu km tunatofautiana kwa kila kitu. Ili kuweka uwiano sawa ndo maana kuna majukumu tunayaacha upande huu na mengine upande huu. Mfumo wetu wa maisha hauna tofauti sana na wanyama mkuu,tofauti yetu sisi tuna matumizi mazuri ya akili ya akili ukilinganisha na wanyama. Kwa hiyo mwanamke kupika,kuosha vyombo,kuogesha watoto na mwanaume anaenda kupiga tofali na Kazi zingine zinazofanana na hizo ni utaratibu wa kawaida tu. Twende tu kwenye hoja uliyoiweka ukiainisha sababu za mwanamke kutawala!?Kwani kazi anazofanya mke wanaume mnashindwa kuzifanya? Mnaweza ila kwanini mnataka mfanyiwe?
Sawasema uje pm nikueleze kitu muhimu sana.