Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

Peleka chalii kwa bibi huko timua mwanamke tuma tu matumiz mabibi hawana hiyana mm chalii 2 zipo kwa bibi soon nyingine naipeleka huko
Mnawaua mama zenu kwa majukumu hayo ya uzeeni.

Kashkash za watoto kina bibi wengi hawaziwezi hasa hawa watoto wa kipindi hiki, pesa yako mara nyingi huwa haitoshi haijalishi unamtumia kiasi gani ila hawez kuendesha maisha yake+wajukuu kwa kuitegemea pesa yako tu.

Wajukuu waend kwa bibi kumsalimia labda atake yeye kuishi na walau mjukuu mmoja ila sio kuzalisha huko, hulei unaenda kuwabwaga kwa bibi.

Kama kulea huwezi kwanini unamwagia ndani???
 
Ndiyo mkuu, bado nko nazo alafu siyo za uboifrendini ni za uchumbani ila zimepungua siyo kama long time ago in uchumbani
Mmh muwamba ngoma.... anyway hakuna mkamilifu kila mtu ana kero zake nawe unazo zako pia, jitahidi tu kumkwepa mtu anaekukera namaanisha kuzikwepa nyakati za kero.

Uvumilivu ni msingi pia watoto ni wahanga wakubwa wa wazazi kutengana.
 
Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa.
Ndio hivyo walivyo bablay, inabidi uishi nae kwa akili hapo fasi ya dwasi

Wanafichuaga makucha yao, mwanzoni wanakudere tu
 
Mnawaua mama zenu kwa majukumu hayo ya uzeeni.

Kashkash za watoto kina bibi wengi hawaziwezi hasa hawa watoto wa kipindi hiki, pesa yako mara nyingi huwa haitoshi haijalishi unamtumia kiasi gani ila hawez kuendesha maisha yake+wajukuu kwa kuitegemea pesa yako tu.

Wajukuu waend kwa bibi kumsalimia labda atake yeye kuishi na walau mjukuu mmoja ila sio kuzalisha huko, hulei unaenda kuwabwaga kwa bibi.

Kama kulea huwezi kwanini unamwagia ndani???
Upo sahihi kabisa Chief...vijana waache kukwepa majukumu na kuwabebesha wazee wao ila wawajibike kwa watoto wao.
 
Mnawaua mama zenu kwa majukumu hayo ya uzeeni.

Kashkash za watoto kina bibi wengi hawaziwezi hasa hawa watoto wa kipindi hiki, pesa yako mara nyingi huwa haitoshi haijalishi unamtumia kiasi gani ila hawez kuendesha maisha yake+wajukuu kwa kuitegemea pesa yako tu.

Wajukuu waend kwa bibi kumsalimia labda atake yeye kuishi na walau mjukuu mmoja ila sio kuzalisha huko, hulei unaenda kuwabwaga kwa bibi.

Kama kulea huwezi kwanini unamwagia ndani???
Unajua ugumu wa kumwaga nje ww ni Sawa ujafanya mapenzi tu Mara ya mwisho kumwaga nje labda nilivyopiga punyeto

Kwahyo unataka niendelee kumvumilia mwanamke kiburi, jeuri kisa kanizalia
Hao chalii 2 ni mwanamke alinisusia akazan ananikomoa nikapeleka kwa bibi huko Nina chalii 1 Mama ake ndye aliondoka naye mkorof sana yule mbulu [emoji856][emoji856]
 
😜 Ili uje utangaze nimemla manz wa JF yule mwongeaji sana.Code nyepesiiii Kila man anainyaka.Mama*
Ebu elezeni kwani tatizo lipo wapi ikijulikana kuwa mmekulana....sii mmepeana maraha. Watu wengi tuu hapa jf uasherati ndio hobby yao
 
[emoji23][emoji23]unaongea kwa mzaha
Seriously nakwambia wanaona akikuachia watoto anakukomoa tunatumia mbinu za Cuba uzur bibi angu anapenda watoto na Mama angu bado yupo na anapenda watoto soon Mama naye naanza kumpelekea chalii
 
Pole sana kwa changamoto ila hizi tabia za kuficha makucha kabla ya ndoa hata kwa Wanaume pia zipo siyo kwa Wanawake tu.
 
Pole sana ndivyo hali ilivyo wakati wa kampeni za ndoa
 
Back
Top Bottom