Wanawake wengi wanaofanya mazoezi Magumu au Yale yakwenda Gym kunyanyua vitu vizito, SIO WA KUOA .
Na hili mlielewe hivo, Hawa viumbe Huwa wanajiletea Imbalance ya Oestrogen hormone matokeo yake, Homoni hii inashukaa, na Kwa kadiri inavyoshuka Utaona anakua na matendo ya kiunaume yaan Mkali, mgonv, hasira, mbabe ,Jeuri n k matendo ambayo ni ya kiume sababu wanaume ndio tuna Testosterone Hormone .
Kuna mademu wamejiondolea Uwezo wa kuzaa sababu ya Mazoez yalopitiliza .. utaniuliza kiaje ??? Kwa wanawake mazoez kupita kiasi hupelekea Ongezeko ya Endorphins , homoni ambayo ikiwa in excess inaenda kuingilia uzalishaji wa homoni za LH , FSH . n.k ... Akishika mimba , Njooo nikusalimie Shikamoo !!!
Sasa Mwanamke kama huyu, Ndani mtaishije ?? Anajiona nayeye Mwanaume
Waambieni Wanawake zenu wanaoenda GYM , kua Daktari
Carlos The Jackal , MD kasema hivi, waachane na mazoezi mazito mazito
Mazoezi fanya Kwa wiki angalau Kwa siku tano... Kika siku tumia dakika 30 naaaaa hakikisha mazoez yakutie jasho .
Mfikishieni Taarifa, Demu wa Harmonize !!.