Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

Huyo adriz kuna uzi tulinyukana kisawasawa akanikimbia, ana mrengo wa dini fulani anaitetea sana. Bujibuji Simba Nyanaume ni mgumu kumbandua kwenye hoja zake, kunyukana naye itaka pumzi kubwa. Daudi mchambuzi huyu member sijawahi kunyukana naye namuona ni mpole fulani hivi. Anyway humu tupo members wenye kazi na ujuzi mbalimbali tutaendelea kunyukana kwa hoja tukitofautiana fikra pevu
 
Nasikia nawe uko SSIT Mkuu je, ni kweli?
 
Kuna mjomba wangu mmoja anafanya kazi wizara fulani yaani yule jamaa sijui utake namba ya nani Tanzania asikupe ambayo hana labda za mama samia ukitaka namba ya ofisi ya mtu wowote yule namba personal chap anakupa unawasiliana nae mpaka home tunahisi jamaa ni usalama.
 
Back
Top Bottom